-
Waitifaki wa Saudia na Imarati waendelea kutwangana risasi na kuuana nchini Yemen
Jul 15, 2020 09:24Mapigano kati ya wanamgambo wa Baraza la Mpito linaloungwa mkono na Imarati na wale wanaoungwa mkono na Saudi Arabia katika mkoa wa Abyan kusini mwa Yemen yameshtadi na kupamba moto.
-
Waziri Mkuu Sudan aahidi kutimiza matakwa ya Wasudan katika wiki mbili zijazo
Jul 05, 2020 09:53Waziri Mkuu wa Sudan amesema kuwa amekutana na makundi mbalimbali ya kisiasa na kijamii katika siku chache zilizopita na kupokea miito inayomtaka asahihishe mwelekeo wa serikali yake na kutimiza malengo ya mapinduzi ya Wasudani yaliyomuondoa madarakani rais wa zamani wa nchi hiyo, Omar al Bashir.
-
Watu 287 wauawa katika mapigano ya kikabila Sudan Kusini
May 21, 2020 03:20Mamia ya watu wameuawa katika mapigano ya kikabila katika jimbo la Jonglei, mashariki mwa Sudan Kusini.
-
Mapigano ya kikabila Darfur, Sudan yaua watu 30
May 07, 2020 03:28Kwa akali watu 30 wameuawa huku wengine wengi wakijeruhiwa katika mapigano ya kikabila baina ya Waarabu na wasiokuwa Waarabu katika mkoa wa Darfur Magharibi nchini Sudan.
-
Baada ya kushindwa kutatua mgogoro wa Libya, Arab League yasema inasikitishwa na mapigano wakati huu wa kushughulikia corona
Apr 04, 2020 22:22Baada ya Jumuiya ya Nchi za Kiarabu (Arab League) kushindwa kutatua mgogoro wa Libya na kukomesha mapigano katika nchi hiyo ya Kiarabu ya kaskazini mwa Afrika, Katibu Mkuu wa jumuiya hiyo ameishia kusema anasikitishwa na vita vinavyoendelea huko Libya badala ya kuelekezwa nguvu katika kupambana na ugonjwa wa COVID-19.
-
Wasi wasi wa Umoja wa Ulaya kuhusu kuendelea mapigano nchini Yemen, undumakuwili wa EU
Apr 01, 2020 05:11Tangu mwezi Machi 2015, Saudi Arabia iliunda muungano kwa kushirikiana na Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) na kuanzisha vita vya kidhalimu dhidi ya watu wa Yemen na hadi sasa makumi ya maelfu ya raia wa nchi hiyo wameshauawa shahidi na kujeruhiwa.
-
Polisi na raia wa Ugiriki wapambana na wahajiri wanaoingia Ulaya
Mar 02, 2020 22:54Polisi na kundi la raia wa Ugiriki wamekabiliana na wahajiri wanaovuka mpaka kuelekea Ulaya.
-
Makumi wauawa katika mapigano ya kikabila Ethiopia na Somalia
Feb 29, 2020 10:02Watu wasiopungua 12 wameuawa katika mapigano mapya ya kikabila katika jimbo la Gambella, magharibi mwa Ethiopia.
-
Ghasia za umwagaji damu baina ya wapingaji na waungaji mkono wa sheria mpya ya uraia nchini India
Feb 26, 2020 22:54Kwa akali watu 23 wamefariki dunia na wengine zaidi ya 150 wamejeruhiwa katika mji mkuu wa India New Delhi, kufuatia ghasia zilizoibuka kati ya wapingaji na waungaji mkono wa sheria tata ya kuwapa uraia wa nchi hiyo watu wasio Waislamu.
-
Watu 13 wafariki dunia na 150 wajeruhiwa katika ghasia za mjini New Delhi, India
Feb 26, 2020 01:10Watu 13 wamefariki dunia na wengine 150 wamejeruhiwa katika ghasia zilizoibuka kati ya wapingaji na waungaji mkono wa sheria tata ya kuwapa uraia wa nchi hiyo watu wasio Waislamu.