-
Mafanikio ya Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran kikanda na duniani
Feb 10, 2025 02:40Leo Iran inaadhimisha miaka 46 ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu yaliyotokea mwaka 1979 chini ya uongozi wa hayati Imam Ruhullah Khomeini. Matokeo na mafanikio ya Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran daima yamekuwa na taathira kwa kanda ya Asia Magharibi na dunia kwa ujumla.
-
"Mapinduzi ya Kiislamu yaliathiri mapambano ya Afrika Kusini dhidi ya apartheid"
Feb 05, 2025 12:18Mwanahabari mkongwe mjini Cape Town, Farid Sayed amesema Mapinduzi ya Kiislamu na kuasisiwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kulikuwa na athari kubwa kwa mapambano ya Afrika Kusini dhidi ya mfumo wa ubaguzi wa rangi wa apartheid.
-
Mamilioni ya Wairani waadhimisha Mapinduzi ya Kiislamu, wasema yamehuisha Umma wa Kiislamu
Feb 11, 2024 12:13Mamilioni ya wananchi wa Iran walioshiriki katika maandamano ya kuadhimisha miaka 45 ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu hapa nchini wametangaza kuwa: Mapinduzi ya Kiislamu yameibua roho mpya katika mwili wa Umma wa Kiislamu na kupanua zaidi mapambano ya kupinga dhulma na uonevu.
-
Msemaji wa Maulamaa wa Palestina: Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran yamebadilisha historia ya dunia
Feb 10, 2024 10:40Mkuu wa Baraza la Ushauri na Msemaji wa Baraza Kuu la Maulamaa wa Palestina amesema kuwa, Mapinduzi ya Kiislamu ya nchini Iran si kwa ajili ya nchi hiyo tu bali ni kwa ajili ya ulimwengu mzima kwani yamebadilisha sura ya historia ya dunia.
-
Mafanikio ya Iran katika siasa za ndani za kipindi cha miaka 45 iliyopita
Feb 08, 2024 02:32Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imepata mafanikio makubwa katika siasa zake za ndani na nje kwenye kipindi cha miaka 45 ya Mapinduzi ya Kiislamu humu nchini.
-
Zakzaky akiwa Tehran: Mapinduzi ya Kiislamu yataleta mabadiliko duniani
Oct 11, 2023 12:09Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria (IMN) amesema anatumai Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran yataleta mabadiliko na mageuzi katika kona zote za dunia.
-
Iran yamshambulia Macron kwa kukutana na wanaopinga Mapinduzi ya Kiislamu
Feb 18, 2023 10:19Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amemjia juu Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa kwa kukutana na 'shakhsia' wanaopinga mfumo wa uongozi na Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran tokeo mwaka 1979.
-
Juhudi tasa za miongo minne za Marekani za kuuangusha mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran
Feb 12, 2023 12:09Mamilioni ya Wairani jana Jumamosi walishiriki katika maandamano ya maadhimisho ya tarehe 22 Bahman (Februari 11) na kuadhimisha kwa hamasa kubwa miaka 44 ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu.
-
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu asisitiza ulazima wa kuwepo umoja wa kitaifa na kukabiliana na mikakati ya adui
Feb 09, 2023 10:48Umoja wa kitaifa na umoja wa jamii una nafasi maalum kwa watu wa kila nchi. Bila kuwepo umoja wa kitaifa, uhai wa nchi na taifa hauwezi kupatikana. Umoja wa kitaifa unamaanisha umoja wa taifa kubwa na lenye fahari la Iran ambao ni siri ya ushindi wa taifa hili na sababu ya kuimarishwa jamii.
-
Rais Raisi: Licha ya fitna na njama zote, Mapinduzi ya Kiislamu yamezidi kudhihirika duniani
Jan 31, 2023 11:49Rais Ebrahim Raisi amesema: Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran chini ya uongozi wa Imam Khomeini (MA) yamedumu licha ya fitna na njama zote za adui na yamezidi kudhihirika duniani.