-
Mgawanyiko mkubwa nchini Marekani juu ya matukio ya hivi karibuni huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu
Oct 12, 2023 23:05Matukio ya hivi karibuni ya Palestina inayokaliwa kwa mabavu hususan operesheni ya Kimbunga cha al-Aqsa na mashambulizi ya kinyama ya utawala wa Kizayuni, kwa hakika mauaji ya halaiki ya Wapalestina katika Ukanda wa Ghaza, yameubua migawanyiko kati ya wanasiasa wa Marekani.
-
NYT: Ukuaji wa uchumi wa Russia utaupiku wa US na EU
Oct 11, 2023 23:02Gazeti la New York Times limeripoti kuwa, uchumi wa Russia ni imara na madhubuti kinyume na matarajio ya serikali za Magharibi, ambazo zilitazamia uchumi huo utalemazwa kikamilifu na vikwazo vyao dhidi ya Moscow.
-
Msimamo tofauti wa Russia na China kuhusu operesheni ya Kimbunga cha al-Aqswa
Oct 11, 2023 23:01Licha ya uungaji mkono kamili wa Marekani na washirika wake wa magharibi kwa utawala wa Kizayuni wa Israel baada ya operesheni ya Kimbunga ya al-Aqswa na hata Washington kutuma misaada ya kijeshi na zana za kivita kwa utawala huo ghasibu, lakini Russia na China, yakiwa madola mawili hasimu na washindani wa Magharibi, yamechukua msimamo tofauti katika uwanja huu.
-
Tarehe 7 Oktoba; kumbukumbu ya uvamizi wa Marekani nchini Afghanistan
Oct 09, 2023 23:06Miaka 22 iliyopita, Marekani iliishambulia nchi ya Afghanistan kwa kisingizio cha kupambana na ugaidi na kurudisha amani nchini humo, jambo ambalo lilipelekea Waafghani kukabiliwa na matatizo na machungu mengi.
-
Hatua za kichochezi za Marekani kuunga mkono utawala wa Kizayuni
Oct 09, 2023 06:16Kufuatia mashambulizi makubwa ya makundi ya mapambano na ukumbozi wa Palestina katika maeneo yanayouzunguka Ukanda wa Ghaza, ambayo yamedhihirisha udhaifu na utepetevu mkubwa wa utawala wa Kizayuni, Marekani imepanga na kutekeleza hatua za kichochezi kwa kisingizio cha eti kuiunga mkono Tel Aviv na kuimarisha ari ya Wazayuni.
-
Kuongezeka pakubwa vifo vya ufyatuaji risasi miongoni mwa watoto na vijana nchini Marekani
Oct 08, 2023 10:28Matokeo ya uchambuzi uliochapishwa hivi karibuni yanaonyesha kuwa kiwango cha vifo vinavyosababishwa na matumizi ya silaha kati ya watoto na vijana huko Marekani kimeongezeka na kufikia asilimia 87 kutoka mwaka 2011 hadi 2021.
-
Kuuzuliwa Spika wa Baraza la Wawakilishi la Marekani: Jambo ambalo halijawahi kutokea
Oct 05, 2023 04:48Kevin McCarthy, Spika wa Bunge la Wawakilishi la Marekani kutoka chama cha Republican juzi Jumanne aliuzuliwa na wabunge wa bunge hilo katika vuta nikuvute kati ya wabunge wa chama cha Republican wenye siasa kali na wenye msimamo wa wastani.
-
Rais wa Mexico akosoa misaada ya kijeshi ya US kwa Ukraine
Oct 03, 2023 23:39Rais Andrés Manuel López Obrador wa Mexico ameikosoa vikali Marekani kwa kutumia mabilioni ya dola kuisheheneza kwa silaha Ukraine.
-
Iran kujiunga na mfumo wa BRICS PAY ili kukwepa vikwazo vya Marekani
Oct 01, 2023 03:52Spika wa Bunge la Iran, Mohammad Bagher Qalibaf amesema Iran itajiunga na BRICS PAY, mfumo wa kibenki wa kielektroniki unaotumiwa na muungano wa BRICS wa mataifa yanayoinukia kiuchumi, ili kukwepa vizuizi vya kibenki vilivyosababishwa na vikwazo vya Marekani.
-
Bashar Assad: Marekani inashirikiana na magaidi
Sep 30, 2023 03:46Rais Bashar al-Assad wa Syria amezungumzia kuwepo kwa magaidi katika maeneo ya kaskazini mashariki mwa nchi hiyo na jinsi Marekani ilivyo na udhibiti kamili wa maeneo hayo na kusisitiza kwamba Washington inashirikiana na magaidi.