Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Marekani

  • Marais wa DRC na Rwanda wasaini makubaliano chini ya upatanishi wa US huku mapigano yakiendelea

    Marais wa DRC na Rwanda wasaini makubaliano chini ya upatanishi wa US huku mapigano yakiendelea

    Dec 05, 2025 07:10

    Rais wa Marekani Donald Trump amewasifu marais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na Rwanda kwa kile alichokiita "ujasiri" wao wa kusaini makubaliano mapya yanayolenga kukomesha mzozo wa muda mrefu mashariki mwa Kongo DR na kufungua njia ya kuchotwa rasilimali muhimu za madini katika eneo hilo na Marekani na makampuni ya Kimarekani.

  • Spika wa Bunge: Iran iko wazi kwa diplomasia lakini usalama wa taifa na nguvu ya ulinzi haviwezi kujadiliwa

    Spika wa Bunge: Iran iko wazi kwa diplomasia lakini usalama wa taifa na nguvu ya ulinzi haviwezi kujadiliwa

    Dec 05, 2025 02:58

    Spika wa Bunge la Iran, Mohammad-Baqer Qalibaf amesema ingawa Iran iko wazi kwa diplomasia, lakini haitalegeza kamba katika suala la usalama wa taifa na nguvu zake za ulinzi.

  • Wasomali wamjia juu Trump baada ya kuwaita

    Wasomali wamjia juu Trump baada ya kuwaita "takataka", na kwamba nchi yao "inanuka"

    Dec 05, 2025 02:36

    Matamshi ya dharau yaliyotolewa na Rais wa Marekani, Donald Trump, kuhusu watu na nchi ya Somalia yamesababisha wimbi la hasira na majibu makali.

  • Meya wa Minneapolis apinga matamshi ya Donald Trump dhidi ya Wasomali

    Meya wa Minneapolis apinga matamshi ya Donald Trump dhidi ya Wasomali

    Dec 04, 2025 07:45

    Maafisa katika mji wa Minneapolis nchini Marekani wameungana ili kuondoa hofu iliyotanda miongoni mwa jamii kubwa ya Wasomali katika mji huo.

  • Kwa nini Marekani inafanya njama za kuidhibiti Venezuela?

    Kwa nini Marekani inafanya njama za kuidhibiti Venezuela?

    Dec 02, 2025 07:15

    Rais Nicolas Maduro wa Venezuela amesisitiza kuwa, nchi yake itaendelea kulinda rasilimali zake kwa nguvu zote mbele ya tamaa ya kuchupa mipaka ya Marekani.

  • Mshindi wa Tuzo ya Nobel, Denis Mukwege: Makubaliano ya amani kati ya Kinshasa na M23 ni 'haramu'

    Mshindi wa Tuzo ya Nobel, Denis Mukwege: Makubaliano ya amani kati ya Kinshasa na M23 ni 'haramu'

    Dec 02, 2025 06:23

    Mshindi wa Tuzo ya Amani ya Nobel raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Dkt. Denis Mukwege amelaani mchakato wa amani unaoendelea kati ya serikali ya Kinshasa na waasi wa M23 unaolenga kukomesha mapigano mashariki mwa DRC.

  • Araghchi: Ni Marekani ndiyo inayopaswa kurudi kwenye diplomasia kwa kuifanya Iran iwe na imani nayo

    Araghchi: Ni Marekani ndiyo inayopaswa kurudi kwenye diplomasia kwa kuifanya Iran iwe na imani nayo

    Dec 02, 2025 03:10

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Sayyid Abbas Araghchi amesema, ni Marekani ndiyo inayopaswa kurudi kwenye diplomasia kwa kuifanya Iran iwe na imani nayo.

  • Sababu za Marekani kuitambua harakati ya Ikhwanul Muslimin kuwa ni tishio la kigaidi

    Sababu za Marekani kuitambua harakati ya Ikhwanul Muslimin kuwa ni tishio la kigaidi

    Nov 30, 2025 02:33

    Rais Donald Trump wa Marekani ametia saini amri ya utendaji dhidi ya Ikhwanul Muslimin (Muslim Brotherhood), na kuyaweka baadhi ya matawi ya kundi hilo la Kiislamu katika orodha ya "mashirika ya kigeni ya kigaidi".

  • US yakiri kuwa Yemen ni tishio katika ulinzi wa anga baada ya F-16 kuvurumishiwa makombora

    US yakiri kuwa Yemen ni tishio katika ulinzi wa anga baada ya F-16 kuvurumishiwa makombora

    Nov 29, 2025 11:11

    Jeshi la Anga la Marekani limekiri kuwa ndege zake za kivita aina ya F-16 ziliandamwa na mashambulizi makali ya mitambo ya ulinzi wa anga ya Yemen wakati ndege hizo zilipokiuka anga ya nchi hiyo.

  • Kumbukumbu ya Uhalifu wa Magharibi - Wounded Knee Massacre; Mauaji ya Wahindi Wekundu huko South Dakota, 1890

    Kumbukumbu ya Uhalifu wa Magharibi - Wounded Knee Massacre; Mauaji ya Wahindi Wekundu huko South Dakota, 1890

    Nov 24, 2025 03:19

    Mauaji makubwa ya Wounded Knee Massacre hapo 1890 huko South Dakota, Marekani, yalikuwa mojawapo ya ukatili wa umwagaji damu mkubwa zaidi dhidi ya Wahindi Wekundu katika historia ya Marekani, ambayo yalisababisha mauaji ya mamia ya watu wa jamii ya Lakota na kukomesha mapambano yao makubwa katika karne ya 19.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS