Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Marekani

  • Sheikh Naim Qassim: Daima Marekani imekuwa ikifuatilia kuzusha machafuko Lebanon

    Sheikh Naim Qassim: Daima Marekani imekuwa ikifuatilia kuzusha machafuko Lebanon

    Dec 05, 2022 22:47

    Naibu Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, Marekani daima imekuwa ikifutilia kuzusha vurugu na machafuko nchinii Lebanon.

  • Russia yakataa masharti ya Biden kukutana na Putin

    Russia yakataa masharti ya Biden kukutana na Putin

    Dec 04, 2022 06:09

    Siku ya Ijumaa, Ikulu ya Rais wa Russia, Kremlin, ilikataa sharti ambalo Rais wa Marekani Joe Biden alikuwa ameliweka kwa ajili ya mazungumzo na Vladimir Putin kuhusu mgogoro wa Ukraine na kutangaza kwamba mashambulizi ya Russia dhidi ya Ukraine yataendelea.

  • Baqeri: Marekani imeshindwa kuifanya dunia ifuate amri zake

    Baqeri: Marekani imeshindwa kuifanya dunia ifuate amri zake

    Dec 04, 2022 00:13

    Kamanda Mkuu wa Jeshi la Iran amesema Wamarekani wanatambua wazi kuwa wamefeli katika juhudi zao za kuunda dunia yenye kufuata sera, amri na mienendo ya Washington.

  • Indonesia yakataa kumpokea mjumbe maalumu wa kutetea ubaradhuli wa Marekani

    Indonesia yakataa kumpokea mjumbe maalumu wa kutetea ubaradhuli wa Marekani

    Dec 03, 2022 07:14

    Marekani imelazimika kufuta safari ya mjumbe wake maalumu wa kutetea eti haki za mabaradhuli (LGBTQ) nchini Indonesia, baada ya nchi hiyo ya kusini mashariki mwa Asia kusema kuwa haitampokea afisa huyo wa Washington.

  • Vifo vya wazee kwa kutumia mihadarati vyaongezeka Marekani

    Vifo vya wazee kwa kutumia mihadarati vyaongezeka Marekani

    Dec 03, 2022 07:06

    Ripoti mpya ya utafiti inaonesha kuwa, idadi ya wazee wenye umri wa miaka 65 na zaidi wanaopoteza maisha kutokana na matumizi ya mihadarati nchini Marekani imeongezeka sana.

  • Safari ya Macron mjini Washington na ukosoaji mkubwa wa vita vya kibiashara vya Marekani dhidi ya Ulaya

    Safari ya Macron mjini Washington na ukosoaji mkubwa wa vita vya kibiashara vya Marekani dhidi ya Ulaya

    Dec 02, 2022 06:46

    Katika siku ya kwanza ya ziara yake rasmi ya siku tatu mjini Washington, Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron amewaambia wabunge wa Marekani kwamba ruzuku inayotolewa kwa viwanda vya nchi hiyo dhidi ya makampuni ya Ufaransa ni "hujuma isiyo ya kawaida".

  • Marekani yaiwekea vikwazo vipya Hizbullah ya Lebanon

    Marekani yaiwekea vikwazo vipya Hizbullah ya Lebanon

    Dec 02, 2022 04:24

    Katika kuendeleza sera zake za mashinikizo ya juu zaidi dhidi ya harakati ya Hizbullah ya Lebanon, serikali ya Marekani imewawekea vikwazo watu watatu na makampuni mawili ya Lebanon kwa kisingizio cha kutoa huduma za kifedha kwa harakati hiyo.

  • Njama na hila za adui wa taifa la Iran za kulazimisha JCPOA 2 na JCPOA 3

    Njama na hila za adui wa taifa la Iran za kulazimisha JCPOA 2 na JCPOA 3

    Nov 27, 2022 09:28

    Baada ya Iran na nchi zilizounda kundi la 5+1 kufikia mwafaka Julai 2015 juu ya kadhia ya nyuklia ya Iran na kusaini Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji, kwa kifupi JCPOA, nchi za Magharibi zikiongozwa na Marekani, -iwe ni baada ya kuanza kutekelezwa JCPOA mnamo mwaka 2016 au baada ya kujitoa Marekani kwenye makubaliano hayo Mei 2018, na hata katika kipindi cha sasa kufuatia duru kadhaa za mazungumzo ya Vienna ya uondoaji vikwazo vya kidhalimu-

  • Uungaji mkono wa Marekani kwa makundi yanayotaka kujitenga ya Iran

    Uungaji mkono wa Marekani kwa makundi yanayotaka kujitenga ya Iran

    Nov 25, 2022 23:01

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani imelaani operesheni za kijeshi Iran dhidi ya makundi ya kigaidi ya Wakurdi wanaotaka kujitenga yaliyoko kaskazini mwa Iraq na imeitaka Tehran kusitisha mashambulizi hayo.

  • Moscow yajibu mpango wa CIA wa kuwasajili raia wa Russia

    Moscow yajibu mpango wa CIA wa kuwasajili raia wa Russia

    Nov 24, 2022 06:43

    Ubalozi wa Russia mjini Washington umesema azma ya Shirika la Ujasusi la Marekani (CIA) ya kutaka kuwasajili raia wa Russia katika taasisi hiyo ni ithibati nyingine inayoonesha kuwa Marekani inafanya juu chini ili kuidhalilisha nchi hiyo. Hata hivyo ubalozi huo umesisitiza kuwa njama hizo za Washington hazitafua dafu.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS