-
Kan’ani Chafi: Hadaa ni sifa iliyoshamiri ya wanasiasa wa Marekani
Jul 14, 2022 06:01Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema hadaa na kusema uongo ni sifa ya kawaida katika kauli za wanasiasa wa Marekani.
-
China na Marekani zatunishiana misuli katika maji ya Visiwa vya Paracel
Jul 13, 2022 04:55Jeshi la Wanamaji la China limeitimua manowari ya makombora ya Marekani ya USS Benfold iliyoingia bila kibali kwenye eneo la mpaka wa majini wa nchi hiyo katika Bahari ya China Kusini.
-
Maseneta waitaka serikali ya Biden kuwajibika kuhusu uchunguzi wa mauaji ya Shireen
Jul 13, 2022 03:27Maseneta wa chama cha Democratic cha Marekani wameitaka serikali ya Rais Joe Biden wa nchi hiyo kuwajibika kuhusu uchunguzi unaohusu mauaji ya mwandishi wa habari wa Palestina wa televisheni ya Al Jazeera, Shireen Abu Akleh.
-
Msikiti washambuliwa New York katika hujuma ya chuki dhidi ya Uislamu
Jul 12, 2022 23:16Msikiti mmoja umevunjiwa heshima mjini New York, huo ukiwa ni muendelezo wa vitendo vya chuki dhidi ya Uislamu na Waislamu nchini Marekani.
-
Jaribio la Biden kuhalalisha safari yake ya Saudi Arabia
Jul 11, 2022 20:55Rais Joe Biden wa Marekani amedai katika makala iliyochapishwa kwenye gazeti la Washington Post kwamba katika kipindi cha miezi 18 ya uongozi wake, eneo la Asia Magharibi limekuwa shwari na salama zaidi kuliko hapo awali. Biden ameyasema hayo katika jitihada zake za kujaribu kuhalalisha safari yake tarajiwa nchini Saud Arabia.
-
Iran yapinga mpango wa US kuunda mfumo wa ulinzi katika eneo
Jul 11, 2022 06:59Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imeutaja mpango wa Marekani wa kutaka kuunda eti mfumo wa pamoja wa ngao ya makombora katika eneo hili kuwa ni wa kichochezi na kichokozi.
-
Kuendelea kupungua umaarufu wa Biden ndani ya Marekani kunahatarisha nafasi ya Wademocrat
Jul 10, 2022 22:05Uchunguzi mpya wa maoni uliofanywa nchini Marekani unaonyesha kuwa umaarufu wa rais wa nchi hiyo Joe Biden unazidi kupungua.
-
Tabia ya dharau ya polisi wa Marekani dhidi ya wahamiaji
Jul 09, 2022 03:18Kwa mujibu wa matokeo ya uchunguzi uliofanyika hivi karibuni, polisi wa kulinda usalama wa mipaka wa Marekani wamekuwa wakiamiliana na wahamiaji kwa njia ya dharau na kuwavunjia heshima.
-
Wakenya waijia juu Fox News ya Marekani kwa upotoshaji
Jul 08, 2022 05:33Viongozi na wananchi wa Kenya wameishutumu na kuikosoa vikali kanali ya televisheni ya Fox News ya Marekani kwa kueneza madai ya upotoshaji.
-
Russia yaharibu mifumo ya makombora ya Marekani nchini Ukraine
Jul 07, 2022 03:26Jeshi la Russia limetangaza habari ya kusambaratisha mifumo miwili ya makombora aina ya HIMARS ya Marekani mashariki mwa Ukraine.