Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Marekani

  • Trump akanyaga ardhi ya Korea Kaskazini na kukutana na Kim Jon-un

    Trump akanyaga ardhi ya Korea Kaskazini na kukutana na Kim Jon-un

    Jun 30, 2019 03:20

    Rais Donald Trump amekuwa rais wa kwanza wa Marekani kukanyaga ardhi ya Korea Kaskazini.

  • Makombora ya Marekani yanaswa Libya katika ngome ya Haftar

    Makombora ya Marekani yanaswa Libya katika ngome ya Haftar

    Jun 30, 2019 03:13

    Wanajeshi wa serikali ya Umoja wa Kitaifa inayoongozwa na Waziri Mkuu Fayez al-Sarraj na ambayo inaungwa mkono na jamii ya kimataifa wamenasa makombora ya Marekani yaliyokuwa yakitumiwa na vikosi vinavyojiita Jeshi la Kitaifa linaloongozwa na kamanda muasi Khalifa Haftar.

  • Iraq yaitaka Marekani ithibitishe madai yake kuhusu shambulizi la drone dhidi ya Saudia

    Iraq yaitaka Marekani ithibitishe madai yake kuhusu shambulizi la drone dhidi ya Saudia

    Jun 29, 2019 23:45

    Iraq imeitaka Marekani ioneshe ushahidi kuhusu madai kwamba ndege isiyo na rubani iliyoshambulia taasisi za mafuta za Saudi Arabia ilitokea katika ardhi ya Iraq.

  • Shutuma za Amnesty International kwa siasa za wahajiri za Trump

    Shutuma za Amnesty International kwa siasa za wahajiri za Trump

    Jun 28, 2019 23:32

    Rais wa Marekani, Donald Trump daima alikuwa akisema katika kampeni za uchaguzi uliopita wa rais kwamba ataweka sheria kali za kuwazuia wageni kuingia Marekani. Hivi sasa maafa ya siasa hizo za kibeberu za Trump yanaonekana uwazi kabisa.

  • Iran yaitaka Marekani iangamize silaha zake za kemikali

    Iran yaitaka Marekani iangamize silaha zake za kemikali

    Jun 28, 2019 10:34

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inaitakidi kuwa, dunia itakuwa pahala salama iwapo Marekani itaangamiza silaha zake hatari za kemikali.

  • Korea Kaskazini yaikosoa vikali Marekani kwa kurefusha tena vikwazo dhidi yake

    Korea Kaskazini yaikosoa vikali Marekani kwa kurefusha tena vikwazo dhidi yake

    Jun 26, 2019 07:33

    Serikali ya Korea Kaskazini imesema kuwa, hatua ya Washinton ya kurefusha vikwazo kwa muda wa mwaka mmoja dhidi ya Pyongyang ni kielelezo cha uhasama wa wazi wa nchi hiyo.

  • Kamanda wa IRGC: Marekani haina ubavu na ujasiri wa kuishambulia Iran

    Kamanda wa IRGC: Marekani haina ubavu na ujasiri wa kuishambulia Iran

    Jun 26, 2019 03:11

    Kamanda mwandamizi wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) amesema hakuna nchi yoyote ile duniani ikiwemo Marekani yenye ujasiri, ubavu na uthubutu wa kuishambulia Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.

  • Magaidi wa Marekani wauawa baada ya Pompeo kufanya safari ya kificho Afghanistan

    Magaidi wa Marekani wauawa baada ya Pompeo kufanya safari ya kificho Afghanistan

    Jun 26, 2019 02:43

    Muungano wa Kijeshi wa Nchi za Magharibi NATO umetangaza habari ya kuuawa askari magaidi wawili wa Marekani nchini Afghanistan leo Jumatano.

  • Misimamo ya kimasharti ya troika ya Ulaya kuhusu JCPOA

    Misimamo ya kimasharti ya troika ya Ulaya kuhusu JCPOA

    Jun 26, 2019 02:17

    Huku muda uliowekwa na Iran wa kuongeza kiwango cha kutochunga ahadi zake ndani ya mapatano ya nyuklia ya JCPOA kutokana na upande wa pili wa mapatano hayo kutotekeleza kabisa ahadi zao ukikaribia, troika ya Ulaya yaani nchi tatu za Ujerumani, Ufaransa na Uingereza zimeanzisha harakati za kidiplomasia na kipropaganda za kujaribu kuizuia Iran isichukue hatua zaidi za kupunguza utekelezaji wa ahadi zake.

  • Rais wa Iraq: Hatutairuhusu Marekani itumie ardhi yetu kuishambulia Iran

    Rais wa Iraq: Hatutairuhusu Marekani itumie ardhi yetu kuishambulia Iran

    Jun 26, 2019 02:11

    Rais Barham Salih wa Iraq amesema katu nchi hiyo ya Kiarabu haitairuhusu Marekani itumie ardhi yake kuanzisha shambulizi lolote la kijeshi dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS