-
Rouhani: Iran itatoa jibu mwafaka iwapo anga yake itahujumiwa tena
Jun 25, 2019 22:54Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Tehran haifuatilii kuingia vitani na Marekani lakini itatoa jibu mwafaka iwapo anga yake itahujumiwa tena na Marekani.
-
Waziri Mkuu wa Palestina: Wapalestina wanataka uhuru na si sadaka
Jun 25, 2019 22:27Waziri Mkuu wa Palestina amesema kuwa mhandisi na mtayarishaji wa mpango wa Kimarekani wa eti amani ya Mashariki ya Kati wa Muamala wa Karne unaosimamiwa na mkwe wa Rais Donald Trump, Jared Kushner na wenzake hawaelewi kuwa Wapalestina hawataki sadaka bali wanadai haki zao za kuwa huru na kukomeshwa uvamizi wa Israel na udhibiti wa dola hilo haramu wa maisha na uchumi wao.
-
'Kutunguliwa droni ya Marekani kumeibua fahari, izza na ghera ya Wairani'
Jun 25, 2019 07:53Waziri wa Ulinzi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kutunguliwa ndege isiyo na rubani (drone) ya Marekani baada ya kukiuka anga ya Iran ni jambo ambalo limeibua ghera, izza na furaha ya Wairani.
-
Iran: Vikwazo vipya vinaashiria namna Marekani isivyoheshimu sheria za kimataifa
Jun 25, 2019 03:19Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa amesema vikwazo vipya vya Marekani dhidi ya viongozi wa ngazi za juu wa Jamhuri ya Kiislamu ni ithibati nyingine tosha kuwa utawala wa Washington hauko tayari kuheshimu sheria za kimataifa.
-
Zarif: Vikwazo vya Marekani vinalemaza vita dhidi ya mihadarati
Jun 24, 2019 08:22Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema vikwazo vya upande mmoja vya Marekani na ugaidi wa kiuchumi wa nchi hiyo ya kibeberu dhidi ya taifa la Iran umekuwa kizingiti kikubwa katika ushirikiano wa kimataifa hususan katika vita dhidi ya mihadarati.
-
Wanazuoni wa Kiislamu wa Lebanon, Palestina wasusia 'Muamala wa Karne'
Jun 24, 2019 08:18Wanazuoni na wasomi wa Kiislamu wa Lebanon na Palestina wamelaani njama ya Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Wapalestina iliyopewa jina la 'Muamala wa Karne'.
-
Zarif: Timu B ilijaribu kumtia mtegoni Trump aingie katika vita na Iran
Jun 23, 2019 23:01Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Mohammad Javad Zarif amesema tukio la hivi karibuni la drone ya Marekani kukiuka anga ya Iran katika Bahari ya Oman ilikuwa sehemu ya njama pana za wapenda vita (Timu B) kumtia mtegoni Rais Donald Trump wa Marekani ili aingie katika vita na Iran.
-
Sanders: Trump amelazimika kuzima moto aliouwasha dhidi ya Iran
Jun 23, 2019 22:30Seneta Bernie Sanders ambaye ametangaza azma yake ya kugombea tena urais katika uchaguzi wa urais nchini Marekani mwaka ujao amesema Rais Donald Trump wa nchi hiyo amelazimika kuzima moto wa mgogoro na taharuki aliouwasha mwenyewe dhidi ya Iran.
-
Hamas: Hila ya Marekani ya kutaka kutekeleza "Muamala wa Karne" haitafanikiwa
Jun 23, 2019 03:13Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) amesema kuwa hila ya serikali ya Marekani ya kutaka kutekeleza mpango kwa jina la Muamala wa Karne haitafanikiwa.
-
Jeshi la Marekani latumia helikopta kuwaokoa magaidi wa Daesh Afghanistan
Jun 22, 2019 08:47Jeshi la Marekani limetumia helikopta zake kuwaokoa wanachama wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh (ISIS) nchini Afghanistan, kufuatia operesheni kali ya wapiganaji wa Taliban ya kulitokomeza genge hilo la ukufurishaji mashariki mwa nchi.