Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Marekani

  • Mwandishi wa habari asema Trump alimbaka miaka ya 1990

    Mwandishi wa habari asema Trump alimbaka miaka ya 1990

    Jun 22, 2019 08:42

    Rais Donald Trump wa Marekani anaandamwa na kashfa nyingine ya ufuska baada ya mwanadishi wa habari kwa jina E. Jean Carroll, kufichua kuwa kiongozi huyo wa Marekani wakati huo akiwa mjasiriamali alimbaka katikati ya miaka 90.

  • Russia yalaani vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran

    Russia yalaani vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran

    Jun 22, 2019 08:16

    Vikwazo vya upande mmoja dhidi ya Iran ni vikwazo vilivyo kinyume cha sheria na vinavyokinzana na makubaliano ya nyuklia ya JCPOA. Nchi za kundi la 4+1 limelaani vikwazo hivyo dhidi ya Iran.

  • Jibu Kali la Iran dhidi ya uchokozi wa Marekani katika Ghuba ya Uajemi

    Jibu Kali la Iran dhidi ya uchokozi wa Marekani katika Ghuba ya Uajemi

    Jun 22, 2019 03:13

    Kulinda mipaka ya nchi kavu, majini na angani ni haki ya kila nchi na hatua ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ya kutungua ndege isiyo na rubani ya Marekani iliyoingia katika anga yake kusini mwa nchi imeonesha tena kwamba Iran haitazembea hata kidogo katika kulinda mipaka yake.

  • Seneti ya Marekani yapinga mauzo ya Trump ya silaha kwa Saudia

    Seneti ya Marekani yapinga mauzo ya Trump ya silaha kwa Saudia

    Jun 21, 2019 06:57

    Bunge la Seneti la Marekani limeunga mkono azimio la kupinga mauzo ya silaha zenye thamani ya dola bilioni 8.1 kwa Saudi Arabia na Umoja wa Falme za Kiarabu, yaliyoidhinishwa hivi karibuni na utawala wa Rais Donald Trump bila idhini ya Kongresi.

  • Russia yakosoa vikali chokochoko za jeshi la Marekani dhidi ya Iran

    Russia yakosoa vikali chokochoko za jeshi la Marekani dhidi ya Iran

    Jun 21, 2019 04:48

    Baada ya kujitoa kinyume cha sheria katika mapatano ya nyuklia ya JCPOA, Marekani imekuwa ikitekeleza siasa za 'mashinikizo ya juu zaidi' dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.

  • Zarif: Iran italinda mipaka yake ya maji, ardhi na anga

    Zarif: Iran italinda mipaka yake ya maji, ardhi na anga

    Jun 21, 2019 03:06

    Mohammad Javad Zarif, Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kuwa, Iran itatumia nguvu zake zote kulinda mipaka yake ya maji, ardhi na anga.

  • China na Korea Kaskazini zakosoa siasa za kimabavu za Marekani

    China na Korea Kaskazini zakosoa siasa za kimabavu za Marekani

    Jun 21, 2019 02:57

    Akizungumza na Rais Xi Jinping wa China, Kim Jong-un, Kiongozi wa Korea Kaskazini amekosoa vikali siasa za uhasama za Marekani.

  • Saeb Erekat: Siasa za Marekani katika mkutano wa Bahrain zitafeli

    Saeb Erekat: Siasa za Marekani katika mkutano wa Bahrain zitafeli

    Jun 21, 2019 02:53

    Katibu wa Chama cha Ukombozi wa Palestina (PLO), Saeb Erekat amesema kuwa siasa za Marekani katika kikao cha uchumi kinachosimamiwa na Washington nchini Bahrain, zitashindwa tu.

  • Wafanyabiashara wa Kipalestina wasusia mkutano wa Trump, Bahrain

    Wafanyabiashara wa Kipalestina wasusia mkutano wa Trump, Bahrain

    Jun 21, 2019 00:08

    Wafanyabiashara na wawekezaji mashuhuri wa Kipalestina wametangaza bayana kuwa hawatoshiriki mkutano wa 'kiuchumi wa Manama' nchini Bahrain ulioitishwa na Marekani, wenye lengo la kuzindua 'Muamala wa Karne', wakisisitiza kuwa kile ambacho Wapalestina wanahitajia ni uhuru wao na wala sio fedha.

  • Hizbullah ya Iraq: Uwepo wa askari wa kigeni ni tishio kwa usalama wa taifa na kwa majirani

    Hizbullah ya Iraq: Uwepo wa askari wa kigeni ni tishio kwa usalama wa taifa na kwa majirani

    Jun 20, 2019 07:15

    Kwa mara nyingine Harakati ya Hizbullah ya Iraq imesisitizia kuondoka askari magaidi wa Kimarakeni katika ardhi ya nchi hiyo kama njia ya kuimarisha uthabiti na usalama wa Iraq.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS