-
Ripoti: Kiwango cha ufisadi kimekithiri Marekani katika utawala wa Trump
Jan 29, 2019 21:41Ripoti ya shirika la kutathmini viwango vya ufisadi duniani la Transparency International imesema kiwango cha ufisadi na visa vya rushwa vimeogezeka pakubwa nchini Marekani tangu Rais Donald Trump aingie madarakani.
-
Kuongezeka harakati za kisiasa za Russia Asia Magharibi; kukabiliana na hatua za Marekani
Jan 27, 2019 04:38Katika miaka ya karibuni Russia imezidisha pakubwa harakati zake katika eneo la Asia Magharibi na kaskazini mwa Afrika. Nukta muhimu kuhusu jitihada hizo za Russia ni kuimarisha uwepo wake wa kijeshi huko Syria tangu Septemba mwaka 2015 kwa lengo la kupambana na makundi ya kigaidi na kuiunga mkono serikali halali ya Syria.
-
Hizbullah ya Lebanon: Daima Uingiliaji wa Marekani umekuwa na madhara kwa mataifa mengine
Jan 26, 2019 23:06Mkuu wa mrengo wa kisiasa wenye mafungamano na Harakati ya muqawama katika bunge la Lebanon umelaani uingiliaji wa Marekani katika masuala ya ndani ya Venezuela na kusema kuwa, uingiliaji wa Washington daima umekuwa na madhara kwa mataifa mengine na ni doa ambalo linapaswa kusafishwa katika historia ya mwanadamu.
-
Marzieh Hashemi atahadharisha kuhusu uwekwaji kizuizini watu wasio na hatia nchini Marekani
Jan 26, 2019 10:44Mwandishi wa habari na mtangazaji wa kanali ya televisheni ya Press TV ametahadharisha kuhusu kutokuwepo uadilifu katika mfumo wa vyombo vya mahakama vya Marekani na uwekwaji kizuizini nchini humo watu wasio na hatia yoyote.
-
Zarif: Iran inaliunga mkono taifa la Venezuela dhidi ya njama za Marekani
Jan 26, 2019 01:07Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran sambamba na kulaani uingiliaji wa Marekani katika masuala ya ndani ya Venezuela, amesema Iran inaliunga mkono taifa hilo la Amerika ya Latini na itasimama nalo dhidi njama ya mapinduzi inayopikwa na Marekani.
-
Mapinduzi ya kisiasa ya Marekani dhidi ya Rais Maduro wa Venezuela
Jan 25, 2019 10:10Tangu kuingia madarakani nchini Venezuela serikali ya mrengo wa kushoto hapo mwaka 1999 hadi sasa, Marekani daima imekuwa ikifanya juhudi za kudhoofisha na kuingo'a mamlakani serikali hiyo.
-
Dunia yalaani uingiliaji wa Marekani katika masuala ya ndani ya Venezuela
Jan 25, 2019 01:09Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imeungana na nchi nyingine duniani kulaani uingiliaji wa Marekani katika masuala ya ndani ya Venezuela.
-
Waziri wa Ulinzi Venezuela: Marekani ndio inapanga mapinduzi ya kijeshi dhidi ya Rais Maduro
Jan 25, 2019 01:06Waziri wa Ulinzi wa Venezuela, Vladimir Padrino López amesema kuwa, Marekani na washirika wa White House ndio wanatekeleza mapinduzi ya kijeshi na vita vya kiuchumi dhidi ya nchi hiyo.
-
Viongozi wa Russia wakosoa uingiliaji mambo wa Marekani nchini Venezuela
Jan 24, 2019 04:42Viongozi kadhaa wa kisiasa nchini Russia wamekosoa uamuzi wa Rais Donald Trump wa Marekani wa kumtambua kiongozi wa chama cha upinzani nchini Venezuela, Juan Guaido kuwa rais wa muda wa nchi hiyo.
-
Waziri wa Ulinzi wa Venezuela: Hatumtambui Juan Guaidó kuwa rais
Jan 24, 2019 04:38Waziri wa Ulinzi wa Venezuela amesisitiza kwamba, jeshi la nchi hiyo halimuungi mkono Juan Guaidó aliyejitangaza kuwa rais mpya.