Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Marekani

  • Maelfu ya wanawake waandamana dhidi ya Trump Marekani na Ulaya

    Maelfu ya wanawake waandamana dhidi ya Trump Marekani na Ulaya

    Jan 20, 2019 04:13

    Maelfu ya wanawake wameshiriki maandamano katika miji mikubwa ya Marekani na Ulaya kupinga sera za kibaguzi za Rais Donald Trump.

  • Jeshi la Marekani lakiri: Iran ndiyo iliyopata ushindi katika matukio ya Mashariki ya Kati

    Jeshi la Marekani lakiri: Iran ndiyo iliyopata ushindi katika matukio ya Mashariki ya Kati

    Jan 19, 2019 21:42

    Jeshi la Marekani limekiri katika utafiti wake mpya kwamba, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ndiyo iliyopata ushindi katika matukio na mabadiliko yaliyojiri katika eneo la Mashariki ya Kati.

  • Wahajiri waendelea kuwa wahanga wa sera za kuwapiga vita wahamiaji za Trump

    Wahajiri waendelea kuwa wahanga wa sera za kuwapiga vita wahamiaji za Trump

    Jan 19, 2019 03:09

    Sera za kupiga vita wahajiri za Rais Donald Trump wa Marekani zimeendelea kutesa na kuwatia mashakani mamia ya watu baada ya polisi wa mpakani wa jimbo la New Mexico huko kusini magharibi mwa Marekani kuwatia nguvuni zaidi ya wahajiri 340 katika kituo cha mpakani cha Antelope Wells.

  • Mbunge Mwislamu wa Marekani ataka Washington isiiuzie silaha Saudia

    Mbunge Mwislamu wa Marekani ataka Washington isiiuzie silaha Saudia

    Jan 18, 2019 23:34

    Mbunge wa kwanza mwanamke Mwislamu katika Kongresi ya Marekani ametoa wito wa kusitishwa uuzaji wa silaha kwa utawala wa Saudi Arabia.

  • Wall Street Journal: Ulaya haitajiunga na muungano dhidi ya Iran wa Marekani

    Wall Street Journal: Ulaya haitajiunga na muungano dhidi ya Iran wa Marekani

    Jan 18, 2019 12:30

    Gazeti mashuhuri la The Wall Street Journal la Marekani limeandika kuwa nchi za Ulaya hazitajiunga na muungano uliodhidi ya Iran unaotaka kuundwa na Marekani na wala hazitashiriki katika mkutano wa Warsaw huko Poland.

  • Russia yakanusha madai ya Marekani kwamba imeipatia Korea Kaskazini teknolojia ya makombora

    Russia yakanusha madai ya Marekani kwamba imeipatia Korea Kaskazini teknolojia ya makombora

    Jan 18, 2019 12:08

    Balozi wa Russia nchini Korea Kaskazini amekanusha tuhuma za viongozi wa Marekani dhidi ya nchi yake kwamba Moscow imeipatia Pyongyang teknolojia ya makombora na kuongeza kwamba, tuhuma hizo ni za kuudhi kama ambavyo hazina msingi wowote. 

  •  Mtangazaji wa Press TV, Bi. Hashemi, kufikishwa mahakamani Marekani

    Mtangazaji wa Press TV, Bi. Hashemi, kufikishwa mahakamani Marekani

    Jan 18, 2019 04:46

    Mtangazaji wa Televisheni ya Press TV, Bi. Marzieh Hashemi, ambaye amekuwa akishikiliwa kwa siku kadhaa na polisi ya Marekani, FBI, bila kufahamishwa sababu za kukamatwa kwake anatazamiwa kufikishwa mahakamani mjini Washington DC leo Ijumaa.

  • Mtangazaji wa Press TV anashikiliwa kinyume cha katiba Marekani

    Mtangazaji wa Press TV anashikiliwa kinyume cha katiba Marekani

    Jan 18, 2019 00:25

    Mtaalamu wa masuala ya sheria nchini Marekani amesema kukamatwa na kufungwa gerezani mwandishi habari na mtangazaji wa Televisheni ya Press TV, Bi. Marzieh Hashemi pasina kufahamishwa makosa yake ni kinyume cha katiba ya Marekani.

  • Kukamatwa mtangazaji wa Press TV; kashfa mpya ya ukiukaji wa haki za binadamu wa Marekani

    Kukamatwa mtangazaji wa Press TV; kashfa mpya ya ukiukaji wa haki za binadamu wa Marekani

    Jan 17, 2019 04:50

    Marekani siku zote imekuwa ikijinadi kuwa moja ya nchi kuu zinazounga mkono uhuru na haki za binadamu duniani na mara kwa mara imekuwa ikizituhumu nchi nyingine kuwa zinakiuka haki za binadamu. Lakini kinyume chake, Marekani ni moja ya nchi zinazokiuka pakubwa haki za binadamu ulimwenguni.

  • Ripoti: Uchumi wa China kuupiku wa Marekani mwaka ujao

    Ripoti: Uchumi wa China kuupiku wa Marekani mwaka ujao

    Jan 17, 2019 04:18

    Ripoti ya Benki ya Standard Chartered imedokeza kuwa, kuna uwezekano mkubwa China kuipiku Marekani na kuwa nchi yenye uchumi mkubwa zaidi duniani mwaka ujao wa 2020.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS