-
Rais Rouhani: Marekani inatiwa kiwewe na ustawi na maendeleo ya Iran
Jan 16, 2019 12:01Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Wamarekani wameamua kuliwekea taifa la Iran vikwazo vikubwa mno kwa sababu wana kiwewe na maendeleo, ustawi na uwezo wa taifa hili la Kiislamu.
-
Mwanasiasa Uturuki: Kufeli Saudia Yemen kumebatilisha njozi za US za kuanzisha Mashariki ya Kati mpya
Jan 16, 2019 01:13Mtaalamu wa masuala ya kisiasa nchini Uturuki amesema kuwa, kushindwa Saudi Arabia kuidhibiti Yemen katika vita vyake dhidi ya nchi hiyo, kumebatilisha ndoto za Marekani za kuanzisha Mashariki ya Kati mpya.
-
Marekani na njama zake chafu dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran
Jan 15, 2019 04:35Mtaalamu wa masuala ya kisiasa nchi Uturuki amesema kuwa, kikao cha Marekani cha kukabiliana na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran huko nchini Poland, kimepangwa kufanyika kupitia njama chafu za White House kwa ajili ya kuibua mifarakano kati ya nchi za eneo la Mashariki ya Kati na kufunika mgogogro unaonedelea kufukuta ndani ya Marekani.
-
Bahram Qassemi: Iran itatoa majibu dhidi ya vitendo vya kiuadui dhidi yake
Jan 14, 2019 23:11Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Tehran itachukua hatua ya lazima na mwafaka mkabala na kitendo chochote kile cha kiuadui ambacho kitakuwa dhidi ya maslahi ya kitaifa ya Iran.
-
Uturuki yasema haibabaishwi na vitisho vya Trump
Jan 14, 2019 23:11Waziri wa Mambo ya Nje ya Uturuki Mevlüt Çavuşoğlu amesema nchi hiyo haibabaishwi wala kutiwa kiwewe na kauli ya vitisho ya Rais Donald Trump kwamba Marekani itausabababishia matatizo uchumi wa Ankara.
-
Wamarekani wamlaumu Trump kwa kufungwa taasisi za serikali ya nchi hiyo
Jan 14, 2019 12:07Aghalabu ya wananchi wa Marekani wamesema kuwa Rais Donald Trump ndiye anayepaswa kubebeshwa dhima ya kufungwa kwa taasisi za serikali nchini humo tokeo mwezi uliopita hadi sasa.
-
Tishio kali la Trump dhidi ya Uturuki
Jan 14, 2019 09:42Baada ya Rais Donald Trump wa Marekani kutangaza hapo tarehe 19 mwezi Disemba mwaka jana uamuzi wa kuondoa askari vamizi wa nchi hiyo huko Syria, baadhi ya wachambuzi wa mambo waliuchukulia uamuzi huo kuwa sehemu ya juhudi zake za kutaka kuiridhisha Uturuki.
-
Utafiti: Uchafuzi wa hali ya hewa duniani umekithirisha kuharibika kwa mimba
Jan 13, 2019 04:14Utafiti mpya umebainisha kuwa, uchafuzi wa hali ya hewa duniani umepelekea kuongezeka idadi ya mimba kuharibika au wanawake kujifungua kabla ya wakati.
-
Qassemi: Iran ingali imefungamana na makubaliano ya nyuklia JCPOA
Jan 13, 2019 04:06Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekanusha uvumi kwamba Tehran imejiondoa katika makubaliano ya nyuklia yanayofahamika kwa kifupi kama JCPOA.
-
Ukosoaji wa Russia kwa EU kwa kufeli mtihani wa kutekeleza kivitendo makubaliano ya JCPOA
Jan 12, 2019 04:43Makubaliano ya nyuklia, yanayojulikana kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA) ni makubaliano muhimu sana katika uga wa kudumisha amani na usalama wa kimataifa. Lakini uamuzi iliochukuliwa na Marekani mnamo mwezi Mei 2018 wa kujitoa kwenye JCPOA, ulikuwa hatua hasi iliyotekelezwa kwa nia ya kuyasambaratisha makubaliano hayo.