Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Marekani

  • Zarif: Kongamano lijalo la Marekani dhidi ya Iran huko Poland ni sarakasi

    Zarif: Kongamano lijalo la Marekani dhidi ya Iran huko Poland ni sarakasi

    Jan 12, 2019 04:13

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu amesema mkutano wa Marekani na waitifaki wake dhidi ya Iran unaotazamiwa kufanyika mwezi ujao katika mji mkuu wa Poland, Warsaw ni mwendelezo wa michezo ya kuigiza na sarakasi za Wasington.

  • Russia yatilia shaka tangazo la Marekani la kuanza kuondoa askari wake Syria

    Russia yatilia shaka tangazo la Marekani la kuanza kuondoa askari wake Syria

    Jan 11, 2019 12:37

    Russia imetilia shaka tamko la Marekani kwamba imeanza mchakato wa kuondoa vikosi vyake nchini Syria.

  • Marekani; sababu kuu ya ukosefu wa amani katika Mashariki ya Kati

    Marekani; sababu kuu ya ukosefu wa amani katika Mashariki ya Kati

    Jan 10, 2019 21:43

    Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, kadiri Wamarekani watakavyoondoka haraka nchini Syria ndivyo itakavyokuwa bora kwa wananchi wa nchi hiyo.

  • Zarif: Iran haitasitisha mpango wake wa kurusha roketi anga za mbali, licha ya makelele ya Marekani

    Zarif: Iran haitasitisha mpango wake wa kurusha roketi anga za mbali, licha ya makelele ya Marekani

    Jan 09, 2019 23:19

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Tehran itaendelea na mpango wake wa kurusha roketi katika anga za mbali licha ya onyo, vikwazo na pingamizi la Marekani.

  • Kiongozi Muadhamu: Taifa la Iran litapata ushindi wa kihistoria usiowahi kushuhudiwa dhidi ya vikwazo vya Marekani

    Kiongozi Muadhamu: Taifa la Iran litapata ushindi wa kihistoria usiowahi kushuhudiwa dhidi ya vikwazo vya Marekani

    Jan 09, 2019 13:34

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema: Marekani inasema kwa furaha kwamba vikwazo vya sasa dhidi ya taifa la Iran havijawahi kushuhudiwa katika historia; lakini taifa la Iran litapata ushindi dhidi yake katika suala hilo ambao pia haujawahi kushuhudiwa katika historia.

  • Mbunge wa Marekani alalamikia uungaji mkono wa Ikulu ya White House kwa Saudi Arabia

    Mbunge wa Marekani alalamikia uungaji mkono wa Ikulu ya White House kwa Saudi Arabia

    Jan 08, 2019 21:31

    Mjumbe wa Baraza la Wawakilishi nchini Marekani, Ro Khanna amesema kuwa uungaji mkono wa ikulu ya White House kwa muungano wa kijeshi unaoongozwa na Saudi Arabia katika vita dhidi ya Yemen, ni kitendo kisicho cha kibinaadamu.

  • Marais wa zamani wa Marekani hawaungi mkono shinikizo la Trump la kujengwa ukuta

    Marais wa zamani wa Marekani hawaungi mkono shinikizo la Trump la kujengwa ukuta

    Jan 08, 2019 21:30

    Marais wanne wa zamani wa Marekani wamekanusha madai ya Rais Donald Trump kwamba wanaunga mkono azma ya kujengwa ukuta katika mpaka wa nchi hiyo na Mexico.

  • Mwakilishi Mwislamu nchini Marekani apinga hoja yenye kuwaunga mkono Wazayuni

    Mwakilishi Mwislamu nchini Marekani apinga hoja yenye kuwaunga mkono Wazayuni

    Jan 08, 2019 11:01

    Mwakilishi Mwislamu wa Baraza la Wawakilishi nchini Marekani, amepinga hoja iliyowasilishwa na Seneta mmoja wa nchi hiyo ya kuwaunga mkono Wazayuni.

  • Admeri Shamkhani: Hakuna nchi yenye uthubutu wa kuishambulia kijeshi Iran

    Admeri Shamkhani: Hakuna nchi yenye uthubutu wa kuishambulia kijeshi Iran

    Jan 07, 2019 23:03

    Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amezungumzia uwezo wa kiulinzi wa Jamhuri ya Kiislamu na kusema kuwa, taifa hili lina nguvu na uwezo kiasi kwamba, hakuna nchi inayoweza kuthubutu kuishambulia kijeshi.

  • Malalamiko ya Syria kutokana na kuendelea jinai za muungano vamizi wa Marekani

    Malalamiko ya Syria kutokana na kuendelea jinai za muungano vamizi wa Marekani

    Jan 07, 2019 04:50

    Kwa mara nyingine Wizara ya Mambo ya Nje ya Syria imewatumia barua mbili tofauti Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa na Rais wa Baraza la Usalama la umoja huo, ikilalamikia jinai zinazofanywa na muungano vamizi unaojiita eti dhidi ya Daesh (ISIS) unaoongozwa na Marekani huko katika jimbo la Deir ez-Zor nchini humo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS