Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Marekani

  • Magaidi Syria wakutwa na silaha za Marekani na utawala haramu wa Israel

    Magaidi Syria wakutwa na silaha za Marekani na utawala haramu wa Israel

    Jan 07, 2019 00:56

    Wanajeshi wa serikali ya Syria wamenasa silaha zilizotegenezwa Marekani na katika utawala haramu wa Israel ambazo zilikuwa zinatumiwa na magaidi wakufurishaji katika mkoa wa Dara'a kusini maghairbi mwa nchi hiyo.

  • Trump atishia kutangaza hali ya hatari kushinikiza ujenzi wa ukuta

    Trump atishia kutangaza hali ya hatari kushinikiza ujenzi wa ukuta

    Jan 06, 2019 03:47

    Huku shughuli za serikali zikiendelea kufungwa kwa wiki ya tatu sasa nchini Marekani, Rais Donald Trump ametishia kuwa ikilazimu atatangaza hali ya hatari ili kushinikiza ujenzi wa ukuta katika mpaka wa nchi hiyo na Mexico.

  • Wabunge wenye asili ya Afrika Ufaransa watishiwa kuuawa

    Wabunge wenye asili ya Afrika Ufaransa watishiwa kuuawa

    Jan 05, 2019 23:11

    Wabunge wenye asili ya Afrika nchini Ufaransa wametumiwa barua zenye vitisho kwamba watauawa huku vitendo vya kuwabagua Waafrika vikiripotiwa kuongezeka katika nchi hiyo ya Ulaya.

  • Majanga yazidi kumwandama Trump, Kongresi kuchunguza uhalifu wa makampuni yake

    Majanga yazidi kumwandama Trump, Kongresi kuchunguza uhalifu wa makampuni yake

    Jan 05, 2019 11:57

    Mbunge wa chama cha Democratic katika Kongresi ya Marekani amesema kuwa ataanzisha uchunguzi kuhusu tuhuma za kuhusika taasisi na makampuni ya Rais wa nchi hiyo Donald Trump katika uhalifu wa utakatishaji wa fedha chafu na kuhusu uhusiano wake na Saudi Arabia.

  • IRGC: Nguvu za kijeshi na kisiasa za Marekani ziko katika ncha ya kuporomoka

    IRGC: Nguvu za kijeshi na kisiasa za Marekani ziko katika ncha ya kuporomoka

    Jan 05, 2019 04:35

    Naibu Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran (SEPAH) amesema taifa la Iran limetoa pigo sio tu kwa mfumo wa kisiasa wa Marekani, lakini pia kwa jeshi la nchi hiyo ya kibeberu.

  • Marekani yatumia kisingizio cha uchaguzi wa DRC kutuma askari Gabon

    Marekani yatumia kisingizio cha uchaguzi wa DRC kutuma askari Gabon

    Jan 05, 2019 04:20

    Rais Donald Trump amesema Wizara ya Ulinzi ya Marekani (Pentagon) imetuma makumi ya askari wa nchi hiyo nchini Gabon, kwa ajili ya eti kuwalinda Wamarekani na ubalozi wa nchi hiyo katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, kufuatia uchaguzi mkuu wa wiki iliyopita katika nchi hiyo kubwa ya katikati mwa Afrika.

  • Uwezo wa makombora wa Iran; suala lililo nje ya irada na matakwa ya Marekani

    Uwezo wa makombora wa Iran; suala lililo nje ya irada na matakwa ya Marekani

    Jan 04, 2019 23:10

    Kwa mara nyingine tena, harakati ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika maendeleo ya kielimu na kisayansi, ikiwemo kutuma maroketi ya kubebea satalaiti katika anga za mbali na vilevile kustawisha uwezo na nguvu za makombora yake, imewalazimisha viongozi wa Marekani kufungua midomo tena na kuanza kupayuka.

  • Zarif ajibu matamshi ya Pompeo, asema dawa ya moto ni moto

    Zarif ajibu matamshi ya Pompeo, asema dawa ya moto ni moto

    Jan 03, 2019 23:53

    Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekadhibisha madai yaliyotolewa na Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani kuhusu majaribio ya makombora na miradi ya masuala ya anga ya Iran.

  • Kulegeza msimamo Trump kuhusiana na Syria

    Kulegeza msimamo Trump kuhusiana na Syria

    Jan 03, 2019 22:55

    Baada ya kupita miaka saba tangu Syria ikumbwe na mgogoro uliosababishwa na uingiliaji wa Marekani pamoja na waitifaki wake wa Ulaya wa Kiarabu katika masuala ya ndani ya nchi hiyo kwa kuyaunga mkono makundi ya kigaidi ili kuipindua serikali halali ya nchi hiyo; hivi sasa mlingano wa nguvu umebadilika kikamilifu kwa maslahi ya serikali ya Syria na waitifaki wake.

  • Trump akiri wameshindwa Syria, asema, Iran ina satua ya kufanya chochote nchini humo

    Trump akiri wameshindwa Syria, asema, Iran ina satua ya kufanya chochote nchini humo

    Jan 03, 2019 04:19

    Rais wa Marekani, Donald Trump amekiri kushindwa njama za Marekani na vibaraka wake nchini Syria na kusema kuwa, Iran ina ushawishi wa kufanya wanalopenda katika nchi hiyo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS