Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Marekani

  • Zarif: Iran inao uwezo wa kuuza mafuta na kulinda uchumi wake

    Zarif: Iran inao uwezo wa kuuza mafuta na kulinda uchumi wake

    Oct 23, 2018 03:26

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Tehran inao uwezo wa kuuza mafuta yake na pia kulinda vyema uchumi wake.

  • Wagombea wenye chuki na Uislamu wameongezeka sana wakati wa urais wa Trump

    Wagombea wenye chuki na Uislamu wameongezeka sana wakati wa urais wa Trump

    Oct 22, 2018 23:31

    Uchunguzi mpya ambao ripoti yake imetolewa hivi karibuni unaonesha kuwa, kadiri muda wa uchaguzi mdogo wa bunge la Marekani unavyokaribia ndivyo wagombea wenye chuki na Uislamu wanavyozidi kujitokeza.

  • Kukataliwa na madola ya Magharibi simulizi za Saudia kuhusu hekaya ya mauaji ya Khashoggi

    Kukataliwa na madola ya Magharibi simulizi za Saudia kuhusu hekaya ya mauaji ya Khashoggi

    Oct 21, 2018 23:35

    Moja ya matukio makubwa zaidi ya ukiukaji haki za binadamu kuwahi kufanywa na utawala wa Aal Saud ni la mauaji ya Jamal Khashoggi, mwandishi wa habari na mkosoaji maarufu wa utawala huo wa kifalme yaliyotokea ndani ya ubalozi wake mdogo ulioko mjini Istanbul, Uturuki.

  • Syria yaitaka UN ichunguze jinai za kivita za US eneo la Dayr al-Zawr

    Syria yaitaka UN ichunguze jinai za kivita za US eneo la Dayr al-Zawr

    Oct 21, 2018 19:48

    Serikali ya Syria imeuandikia barua Umoja wa Mataifa ikiutaka ufanye uchunguzi wa wazi na usiogemea upande wowote juu ya mashambulizi ya anga ya hivi karibuni ya muungano wa kijeshi wa Marekani dhidi ya wakazi wa mkoa wa Dayr al-Zawr, mashariki mwa nchi hiyo ya Kiarabu.

  • Marekani na nia yake ya kujiondoa kwenye mkataba wa silaha za nyuklia za masafa ya kati

    Marekani na nia yake ya kujiondoa kwenye mkataba wa silaha za nyuklia za masafa ya kati

    Oct 21, 2018 04:47

    Miongoni mwa nyanja muhimu za mivutano ya mara kwa mara baina ya Russia na Marekani hususan katika kipindi cha utawala wa Rais Donald Trump wa nchi hiyo ni masuala ya kijeshi na silaha. Hivi sasa na baada ya Marekani kujiondoa katika mikataba kadhaa ya kimataifa kumeongezeka wasiwasi kwamba, yumkini nchi hiyo ikajiondoa pia katika baadhi ya mikataba wa silaha.

  • Uungaji mkono wa wakuu wa nchi za Asia na Ulaya kwa makubaliano ya JCPOA

    Uungaji mkono wa wakuu wa nchi za Asia na Ulaya kwa makubaliano ya JCPOA

    Oct 20, 2018 08:31

    Japokuwa Marekani ni miongoni mwa nchi sita ambazo zilifikia makubaliano ya nyuklia na Iran katika kalibu ya nchi zinazounda kundi la 5+1 mwezi Januari mwaka 2015 lakini Rais Donald Trump wa nchi hiyo ameonekana akichukua msimamo wa kuyapinga makubaliano hayo; huku akiyataja kuwa ni makubaliano mabaya zaidi kuwahi kufikiwa.

  • Trump: Licha ya kumuua Khashoggi, lakini Marekani ingali inaihitaji Saudia kupambana na Iran

    Trump: Licha ya kumuua Khashoggi, lakini Marekani ingali inaihitaji Saudia kupambana na Iran

    Oct 20, 2018 04:35

    Huku dunia ikiendelea kulaani mauaji ya Jamal Khashoggi, mwandishi mashuhuri wa habari wa Saudia, lakini Rais Donald Trump wa Marekani ameonekana kuendelea kuukingia kifua utawala wa Aal-Saud juu ya mauaji hayo.

  • Mashambulizi mapya ya anga ya US yaua makumi ya raia Syria

    Mashambulizi mapya ya anga ya US yaua makumi ya raia Syria

    Oct 20, 2018 04:32

    Kwa akali raia 32 wameuawa katika hujuma mpya ya anga iliyofanywa na ndege za kivita za muungano wa kijeshi unaongozwa na Marekani katika mkoa wa Dayr al-Zawr, mashariki mwa Syria.

  • Liberia yachunguza visa vya ubakaji katika taasisi ya Marekani

    Liberia yachunguza visa vya ubakaji katika taasisi ya Marekani

    Oct 20, 2018 04:30

    Serikali ya Liberia imeanzisha uchunguzi kuhusu visa vya kubakwa wasichana wa shule inayosimamiwa na shirika moja la Marekani nchini humo.

  • Zarif: Vikwazo vipya vya US dhidi ya Iran vinakiuka maamuzi ya ICJ

    Zarif: Vikwazo vipya vya US dhidi ya Iran vinakiuka maamuzi ya ICJ

    Oct 18, 2018 10:34

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Marekani imekubuhu na ni mraibu mkubwa wa kuyawekea mataifa mengine vikwazo, na kwamba vikwazo vipya dhidi ya Tehran ni ukiukaji wa moja kwa moja kwa maamuzi ya hivi karibuni ya Mahakama ya Kimataifa ya Uadilifu (ICJ).

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS