-
Radiamali ya Wairaki kufutia vitisho vya Marekani na utawala haramu wa Israel
Oct 08, 2018 09:36Intisar Hassan al-Musawi, mjumbe wa muungano wa al-Fat'hi nchini Iraq ametoa indhari kwa Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel na kuonya kuwa jibu kwa vitisho na uvamizi wowote dhidi ya ngome za harakati ya Hashdu sh-Sha'abi, litakuwa chungu na kali.
-
Afrika Kusini yapongeza ushindi wa Iran dhidi ya Marekani katika mahakama ya ICJ
Oct 07, 2018 04:18Idara ya Uhusiano na Ushirikiano wa Kimataifa ya Afrika Kusini imepongeza hatua ya Mahakama ya Kimataifa ya Uadilifu (ICJ) kuiagiza Washington isimamishe vikwazo vyake vya upande mmoja dhidi ya Iran haraka iwezekanavyo.
-
Ripoti: Kuna ubaguzi katika kesi za Wamarekani wenye asili ya Afrika kwenye mahakama za Marekani
Oct 06, 2018 22:57Gazeti la New York Times limeripoti habari ya kuweko ubaguzi katika mahakama za Marekani hasa kuhusiana na utoaji hukumu wa kesi zinazohusiana na mauaji dhidi ya Wamarekani wenye asili ya Afrika.
-
Wamarekani: Korea Kaskazini haijasimamisha miradi yake ya nyuklia!
Oct 06, 2018 22:56Watafiti kadhaa ya Marekani wamedai kwamba, uchunguzi wao umebaini kuwa Korea Kaskazini inaendelea na shughuli zake za nyuklia huku ikiilaumu Washington kuwa inapuuza kutekeleza makubaliano yaliyofikiwa katika mkutano wa viongozi wa nchi hizo mbili mwezi Juni mwaka huu.
-
JCPOA, fursa kwa ajili ya kujitegemea kifedha Ulaya
Oct 06, 2018 22:56Rais Donald Trump wa Marekani amekuwa akikosoa makubaliano ya nyuklia ya JCPOA ambayo yalifikiwa kati ya Iran na kundi la 5+1 ikiwemo na Marekani yenyewe na kuyatataja makubaliano hayo kuwa ndiyo mabaya zaidi kuwahi kufikiwa.
-
Safari ya Putin nchini India, mapambano ya Moscow na New Delhi dhidi ya vikwazo vya Marekani
Oct 05, 2018 03:07Russia na India zimeimarisha zaidi uhusiano wao katika nyanja mbalimbali za kiuchumi, kijeshi na silaha za nyuklia katika kipindi cha baada ya Vita Baridi na wakati huo huo zikiwa wanachama wa kundi la Brics, zinafnya jitihada za kupanua zaidi ushirikiano wa pande mbili.
-
Hatua za Donald Trump na kuongezeka hali ya kutokuwa na imani walimwengu kwa Marekani
Oct 02, 2018 23:12Siasa za upande mmoja za Rais Donald Trump wa Marekani zimepelekea kuongezeka hali ya kutengwa nchi hiyo ulimwenguni.
-
Zarif: Iran haitapoteza muda kufanya mazungumzo na US
Oct 02, 2018 04:43Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Tehran katu haitafanya mazungumzo na Marekani madhali Washington itaendelea kukataa kukumbatia uhalisia wa mambo na muamana.
-
Bei ya nyumba yapanda zaidi Marekani, huku uwezo wa kununua ukishuka
Oct 01, 2018 04:50Licha ya madai ya Rais Donald Trump wa Marekani ya kuboreka hali ya kiuchumi nchini humo, gazeti la New York Times limeandika habari ya ongezeko la bei ya nyumba na kupungua uwezo wa kununua makazi kwa raia wa nchi hiyo.
-
Trump aishinikiza Saudia iendelee kurundika silaha za Marekani
Sep 30, 2018 10:51Rais Donald Trump wa Marekani ameitaka Saudi Arabia iongeze bajeti yake ya masuala ya kijeshi huku akisisitiza kwamba Washington haipokei kiwango cha fedha ambacho inastahili kupokea kutoka Riyadh.