-
Kamal Kharrazi: Ulimwengu usimame na kukabiliana na ubeberu wa Marekani
Jul 15, 2018 23:08Mkuu wa Baraza la Kistratijia la Uhusiano wa Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, vikwazo vya Marekani dhidi ya taifa hili ni vya kidhulma na kuongeza kwamba, jamii ya kimataifa inapaswa kusimama kidete na kukabiliana na vikwazo hivyo.
-
Indhari kali ya Ufaransa dhidi ya siasa za kibiashara za Trump
Jul 15, 2018 05:35Jean-Yves Le Drian, Waziri wa Mambo ya Nje wa Ufaransa amekosoa siasa za kiuchumi zinazotekelezwa na Rais Donald Trump wa Marekani kuuhusu Umoja wa Ulaya.
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia akosoa malengo ya Marekani Syria
Jul 15, 2018 02:36Baada ya kuibuka machafuko ya ndani nchini Syria mwaka 2011, Marekani na waitifaki wake walianza kuunga mkono makundi ya kigaidi yaliyoibua ghasia kwa lengo la kuipundua serikali halali ya nchi hiyo.
-
Palestina yaitaka China isaidie utatuzi wa mgogoro wa Mashariki ya Kati
Jul 14, 2018 09:40Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Palestina ameashiria njama na hatua za ukwamishaji mambo za Marekani katika kupatiwa ufumbuzi mgogoro wa Mashariki ya Kati na kuitaka China isaidie juhudi za kuupatia ufumbuzi mgogoro huo.
-
Dogu Perinçek: Uturuki ni lazima ishirikiane na Iran
Jul 14, 2018 09:29Mkuu wa chama cha Patriotic nchini Uturuki, amesisitiza juu ya ulazima wa nchi hiyo kushirikiana na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, hata baada ya Tehran kuwekewa vikwazo.
-
Rouhani: Nchi nyingi za dunia zimetangaza kutofuata sheria za ndani za Marekani
Jul 14, 2018 09:13Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametangaza kuwa, serikali ya Tehran imekuwa na mazungumzo mazuri na nchi mbalimbali za Ulaya, China, Russia, nchi jirani na mataifa muhimu ya Asia na akthari ya nchi hizo zimetangaza kwamba, hazifuati sheria za ndani za Marekani.
-
Wamarekani waandamana Washington kutetea Palestina
Jul 13, 2018 22:51Raia wa Marekani wamefanya maandamano mjini Washington wakipinga mpango wa Marekani dhidi ya Palestina uliopewa jina la "Muamala wa Karne".
-
Al Houthi: Uislamu wa Kimarekani ni wa kinafiki
Jul 13, 2018 22:51Katibu Mkuu wa harakati ya Ansurulla nchini Yemen amesema kuwa Uislamu wa Kimarekani, Kisaudia na Kiimarati ni Uislamu wa kinafiki unaopingana na asili ya Uislamu.
-
Barua ya Syria kwa UN kufuatia jinai za muungano wa kijeshi wa Marekani
Jul 13, 2018 22:50Wizara ya Mambo ya Nje ya Syria imemwandikia barua Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa na Mwenyekiti wa Baraza la Usalama la umoja huo ikitaka kuchunguzwa jinai zilizofanywa na muungano vamizi wa kijeshi wa Marekani katika viunga vya mji wa al Bukamal nchini humo.
-
Velayati: Iran haiondoki Syria kwa vitisho vya Marekani
Jul 13, 2018 10:45Mshauri wa Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu katika Masuala ya Kimataifa amesisitiza kuwa Iran na Russia zitaendelea kuwepo huko Syria na kwamba Iran haitaondoka nchini humo kwa vitisho vya Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel.