-
Mazungumzo ya Netanyahu na Trump sambamba na kuanza manuva makubwa ya kijeshi ya Marekani na Israel
Mar 06, 2018 23:42Rais Donald Trump wa Marekani ameunga mkono katika mazungumzo yake na Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa utawala ghasibu wa Israel misimamo ya utawala huo katika maeneo yanayokaliwa kwa mabavu na kusema kwamba, yumkini akashiriki katika hafla ya ufunguzi wa ubalozi wa Washington huko Beitul-Muqaddas.
-
Zarif azikosoa nchi za Ulaya kwa kukubali mashinikizo ya Marekani
Mar 05, 2018 13:44Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekosoa baadhi ya matamshi na mienendo ya viongozi wa nchi za Ulaya kuhusuna na utekelezaji wa makubaliano ya nyuklia ya JCPOA na vilevile tabia yao ya kusalimu amri mbele ya mashinikizo ya Marekani.
-
Rais Bashar al-Assad: Muungano wa Marekani unaunga mkono genge la Daesh Syria
Mar 05, 2018 04:41Rais Bashar al-Assad wa Syria amesema kuwa, muungano wa kimataifa unaodaiwa kuwa 'dhidi ya Daesh' chini ya uongozi wa Marekani, kwa sasa umegeuka na kuwa kikosi cha anga cha kundi la kigaidi la Daesh (ISIS) nchini Syria.
-
Trump ataka Marekani iwe na 'rais wa maisha kama China'
Mar 04, 2018 04:42Rais Donald Trump wa Marekani ametoa matamshi yanayoashiria kuwa angependa kuiona nchi hiyo ikiwa na rais wa kudumu maisha.
-
Iran ina ushahidi kuhusu uhusiano wa Marekani na Daesh (ISIS)
Mar 04, 2018 04:30Msaidizi Maalumu wa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika masuala ya kimataifa amesema vyombo vya usalama vya Iran vina ithibati kuhusu uhusiano kati ya Marekani na kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh (ISIS).
-
Watu sita wapoteza maisha, nyumba milioni mbili Marekani zakosa umeme kwa sababu ya baridi kali, mafuriko
Mar 03, 2018 23:07Watu wasiopungua sita wamepoteza maisha na nyumba zaidi ya milioni mbili zimekosa umeme Marekani kutokana na upepo mkali, mvua na theluji huku maelefu ya safari za ndege zikifutwa na ofisi nyingi za serikali zikifungwa.
-
Kongamano la kuwapinga Wazayuni wa Israel lafanyika nchini Marekani
Mar 03, 2018 12:46Jarida la Washington Report kwa kushirikiana na kitengo cha Mashariki ya Kati cha Taasisi ya Utafiti ya Marekani limetangaza habari ya kufanyika kongamano la kuipinga Israel mjini Washington.
-
Pentagon yaonya: Askari 10,000 wa Marekani 'watakufa' vita vikianza tu dhidi ya Korea Kaskazini
Mar 03, 2018 04:26Makamanda wakuu wa jeshi la Marekani wameonya kuwa vita dhidi ya Korea Kaskazini vinaweza kusababisha kuuawa au kujeruhiwa askari wapatao 10,000 wa Marekani katika siku za mwanzoni tu baada ya kuanzishwa vita hivyo, idadi ambayo ni kubwa zaidi kuliko jumla ya askari 7,000 wa nchi hiyo waliouawa vitani katika nchi za Iraq na Afghanistan.
-
Onyo la Waziri wa Mambo ya Nje wa Iraq kwa Marekani
Mar 03, 2018 03:09Waziri wa Mambo ya Nje wa Iraq amesema kuwa nchi hiyo itaendelea kupinga kuanzishwa vituo vya kijeshi vya Marekani katika ardhi ya nchi hiyo.
-
China yazionya nchi zinazofuata sera za kibiashara za Marekani
Mar 03, 2018 01:11Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya China amesema kuwa, ufuataji sera za kibiashara za Marekani unaofanywa na baadhi ya nchi katika uga wa kibiashara, utasababisha madhara kwa biashara ya kimataifa.