-
Marekani yampendekeza anayewachukia Waislamu kusimamia idara ya wahamiaji UN
Feb 04, 2018 04:46Utawala wa Rais Donald Trump wa Marekani umependekeza mtu anayewachukia Waislamu na mwenye misimamo mikali ya Kikrsito kusimamia Shirika la Umoja wa Mataifa la Wahamiaji IOM.
-
Malengo ya safari ya Tillerson katika nchi za Amerika ya Latini
Feb 04, 2018 04:30Rex Tillerson Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Marekani amedai akiwa Mexico katika safari yake ya kiduru ya kuzitembelea nchi za Amerika ya Latini kuwa Russia ina mpango wa kuingilia masuala ya uchaguzi ya nchi hiyo.
-
Russia yaponda madai ya Marekani dhidi ya Syria
Feb 03, 2018 23:13Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia imekadhibisha madai ya Marekani kwamba Syria imetengeneza na kutumia kizazi kipya cha silaha za kemikali na kusema madai hayo hayana msingi wowote.
-
Ripoti: Kila sekunde 98, mwanamke mmoja hubakwa na kudhalilishwa kijinsia Marekani
Feb 03, 2018 00:08Ripoti iliyotolewa na Shirika la Habari la Huffington Post imeeleza kwamba katika kila sekunde 98, mwanamke mmoja nchini Marekani huwa anabakwa au kudhalilishwa kijinsia.
-
Miamala ya kinafiki ya Marekani na kuwa macho wananchi wa Iran
Feb 02, 2018 04:50Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amewahutubu viongozi wa Marekani akiwaambia kwamba, madai yao ya kuwaunga mkono wananchi wa Iran ni sawa na machozi ya mamba.
-
Arab League: Hujuma dhidi ya Beitul-Muqaddas ni kucheza na moto
Feb 02, 2018 00:49Ahmed Aboul Gheit, Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu amesema kuwa, hujuma na uvamizi dhidi ya Beitul Muqaddas ni sawa na kucheza na moto.
-
Ali Saidi: Kufeli mipango ya Marekani katika eneo ni moja ya mafanikio ya kimataifa ya Iran
Feb 01, 2018 11:44Mwakilishi wa Faqihi Mtawala katika Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (SEPAH) amesema kuwa kushindwa njama za kujitanua za Marekani katika eneo hili ni moja ya mafanikio ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika uga wa kimataifa.
-
Rouhani: Taifa la Iran haliwezi kusahau uvamizi wa Marekani katika eneo
Feb 01, 2018 10:29Katika kile kinachoonekana ni radiamali kwa matamshi ya kinafiki ya hivi karibuni ya Rais Donald Trump wa Marekani, Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema katu taifa hili haliwezi kusahau vitendo vya kivamizi vya Marekani katika eneo hili la Mashariki ya Kati.
-
Sisitizo la Umoja wa Ulaya la kupatiwa suluhisho mgogoro wa Mashariki ya Kati
Feb 01, 2018 07:50Mkuu wa Sera za Nje wa Umoja wa Ulaya Federica Mogherini amesema suluhisho la kuundwa nchi mbili kwa ajili ya mgogoro wa Mashariki ya Kati halina chaguo jengine mbadala la kisiasa lenye itibari na la kudumu.
-
Velayati: Iran ndiyo nchi yenye nguvu zaidi Mashariki ya Kati
Feb 01, 2018 04:27Mshauri wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu katika masuala ya kimataifa amesema kuwa, Iran ndiyo nchi yenye nguvu zaidi katika eneo nyeti zaidi duniani yaani Mashariki ya Kati.