-
Jaribio la kombora jipya la Marekani lafeli
Feb 01, 2018 04:19Jaribio la kombora jipya la Marekani lilifanywa jana katika jimbo la Hawaii la nchi hiyo limefeli.
-
Russia: Ushahidi uliotolewa na Marekani dhidi ya Iran ni butu
Feb 01, 2018 00:09Russia imesema kuwa ushahidi uliotolewa na Marekani ikidai kuwa Tehran imewapa makombora wapiganaji wa harakati ya al Huothi nchini Yemen ni butu na hauna mashiko.
-
Korea Kaskazini: Serikali ya Marekani ni mkiukaji mkubwa wa haki za binaadamu duniani
Jan 31, 2018 11:45Serikali ya Korea Kaskazini sambamba na kulaani vikali siasa za serikali ya Rais Donald Trump wa Marekani, imesema kuwa Washington ni mkiukaji mkubwa wa haki za binaadamu duniani.
-
PLO: Hakuna mazungumzo na Marekani bila ya kufutwa uamuzi wa Trump kuhusu Quds
Jan 31, 2018 04:40Katibu wa kamati ya utendaji ya Harakati ya Ukombozi wa Palestina (PLO) amesisitiza kuwa, hakutafanyika mazungumzo au maonyesho yoyote yale na Marekani madhali Rais Donald Trump wa nchi hiyo hajafuta uamuzi wake wa kuitangaza Beitul-Muqaddas kuwa mji mkuu wa utawala haramu wa Israel.
-
Madai ya ovyo ya Marekani na kuzidi kuchanganyikiwa White House
Jan 31, 2018 03:58Katika kipindi cha miezi kadhaa iliyopita, serikali ya Donald Trump nchini Marekani imeongeza uadui wake dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
MintPress News: Marekani imefadhili machafuko ya hivi karibuni nchini Iran
Jan 30, 2018 23:53Mtandao wa habari wa Marekani wa MintPress News umefichua kwamba, Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Marekani imefadhili machafuko yaliyotokea hivi karibinu nchini Iran kwa kutoa zaidi ya dola milioni moja.
-
Wapalestina wavuruga warsha ya Marekani Ukingo wa Magharibi
Jan 30, 2018 23:52Wapalestina wenye ghadhabu wamevuruga warsha ya biashara iliyoandaliwa na Marekani katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
-
Marekani, chanzo cha kuzidi kuwa mbaya hali ya Ukanda wa Gaza
Jan 30, 2018 23:51Shirika la Kuhudumia Wakimbizi wa Kipalestina la Umoja wa Mataifa UNRWA limesema katika radiamali yake kwa hatua ya Rais wa Marekani iliyo dhidi ya Palestina kwamba, uamuzi wa Donald Trump wa kuipunguzia misaada taasisi hiyo utashadidisha hali mbaya ya kibinadamu katika Ukanda wa Gaza.
-
Kiongozi: Lengo la Marekani katika kuhamishia Afghanistan magaidi wa ISIS ni kuhalalisha uwepo wake katika eneo
Jan 30, 2018 04:46Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amebainisha masikitiko yake makubwa kutokana na kuuawa watu wasio na hatia katika hujuma za hivi karibuni za kigaidi nchini Afganistan na kusema: "Lengo la Marekani katika kuhamishia Afghanistan magaidi wa ISIS (Daesh) ni kuhalalisha uwepo wake katika eneo sambamba na kudhamini usalama wa utawala wa Kizayuni."
-
Zarif: Trump anawasilisha ushahidi bandia dhidi ya Iran katika Baraza la Usalama
Jan 30, 2018 04:23Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Mohammad Javad Zarif amesema Rais Donald Trump wa Marekani anategemea ushahidi bandia kueneza chuki dhidi ya Iran duniani.