Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Marekani

  • Boroujerdi: Marekani inaendelea kuwaunga mkono magaidi Syria

    Boroujerdi: Marekani inaendelea kuwaunga mkono magaidi Syria

    Jan 28, 2018 11:41

    Mkuu wa Kamisheni ya Usalama wa Taifa ya Siasa za Kigeni ya Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amesema kuwa, vitendo vya Marekani zinaonesha kuwa Washington ingali inaunga mkono ugaidi na vitendo vya kuvuruga amani na utulivu pamoja na kutaka kuzigawa vipande vipande nchi za eneo hili ikiwemo Syria.

  • Muqtada Sadr akosoa hatua ya US ya kuua askari wa Iraq

    Muqtada Sadr akosoa hatua ya US ya kuua askari wa Iraq

    Jan 28, 2018 04:27

    Muqtada Sadr, Kiongozi wa Harakati ya Sadr ya Iraq amelaani mauaji ya hivi karibuni ya askari wa nchi hiyo ya Kiarabu yaliyotekelezwa na ndege za kivita za Marekani katika mkoa wa Anbar.

  • Hizbullah: Tumejiandaa dhidi ya hatua mbaya zozote za Marekani

    Hizbullah: Tumejiandaa dhidi ya hatua mbaya zozote za Marekani

    Jan 27, 2018 13:20

    Mwakilishi wa bunge na mjumbe wa ngazi ya juu wa Harakati ya Kiislamu ya Hizbullah nchini Lebanon amesema kuwa, safari ya hivi karibuni ya ujumbe wa Wizara ya Fedha ya Marekani mjini Beirut, ni ukiukaji wa mamlaka ya kujitawala ya Lebanon na kwamba Hizbullah imeshajiandaa kukabiliana na hatua mbaya zozote za Marekani dhidi yake.

  • Zarif arudisha mapigo, asema Saudia na Marekani waliisaidia Daesh kwa silaha

    Zarif arudisha mapigo, asema Saudia na Marekani waliisaidia Daesh kwa silaha

    Jan 27, 2018 00:46

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Muhammad Javad Zarif amesema Saudi Arabia na Marekani haziwezi kupotosha ukweli wa mambo kuhusu misaada na ufadhili wao kwa kundi la kigaidi la Daesh.

  • "Trump ni hatari kwa dunia, yumkini asimalize muhula wake"

    Jan 26, 2018 04:32

    Mwekezaji bilionea mashuhuri wa Marekani, George Soros ameutaja utawala wa Rais Donald Trump kama hatari kwa dunia, na kusisitiza kuwa, kushtadi upinzani dhidi ya kiongozi huyo kutamfanya asahaulike kabisa duniani kufikia mwaka 2020 au hata kabla ya hapo.

  • Sisitizo kwa Umoja wa Ulaya la kujitoa katika makucha ya Marekani

    Sisitizo kwa Umoja wa Ulaya la kujitoa katika makucha ya Marekani

    Jan 26, 2018 00:29

    Kansela wa Ujerumani, Angela Merkel, amesema mbele ya Baraza la Kimataifa la Uchumi mjini Davos Uswisi kwamba nchi za Ulaya zinapaswa kubadilisha siasa zao za kuitegemea Marekani katika masuala ya ndani na nje ya bara hilo.

  • Zarif: Iran iliwaangamiza magaidi wa ISIS ambao walipata silaha kutoka Marekani, Saudia

    Zarif: Iran iliwaangamiza magaidi wa ISIS ambao walipata silaha kutoka Marekani, Saudia

    Jan 26, 2018 00:28

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Mohammad Javad Zarif amesema Marekani na Saudi Arabia ndio waliowapa magaidi wa ISIS au Daesh silaha.

  • Iran yasema utawala wa Kizayuni wa Israel ni chanzo cha matatizo Mashariki ya Kati

    Iran yasema utawala wa Kizayuni wa Israel ni chanzo cha matatizo Mashariki ya Kati

    Jan 26, 2018 00:27

    Naibu Mwakilishi wa Jamhuri ya Kiislamu Iran katika Umoja wa Mataifa amesema utawala wa Kizayuni wa Israel ndio kitovu cha matatizo Mashariki ya Kati ambapo sera zake za uvamizi na kujitanua zimefanya hali kuwa mbaya zaidi.

  • Rais Santos wa Colombia: Trump huwezi kuongoza nchi kwa Twitter

    Rais Santos wa Colombia: Trump huwezi kuongoza nchi kwa Twitter

    Jan 25, 2018 10:29

    Rais Juan Manuel Santos wa Colombia amesema kuwa, siasa na mahusiano ya kigeni hayawezi kuongozwa kwa mtandao wa kijamii wa Twitter.

  • Mashambulizi ya drone za Marekani katika maeneo ya mpaka wa Pakistan na Afghanistan

    Mashambulizi ya drone za Marekani katika maeneo ya mpaka wa Pakistan na Afghanistan

    Jan 25, 2018 04:22

    Mashambulizi ya ndege zisizo na rubani za Marekani (drone) katika maeneo ya mpaka wa Pakistan na Afghanistan yanaendelea kuua watu wasio na hatia.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS