Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Marekani

  • Naigeria yamsaili balozi wa Marekani, baada ya Trump kuwatukana Waafrika

    Naigeria yamsaili balozi wa Marekani, baada ya Trump kuwatukana Waafrika

    Jan 16, 2018 03:01

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Nigeria imemwita na kumsaili balozi wa Marekani mjini Abuja ikiwa ni katika kupinga matamshi ya kejeli na matusi yaliyotolewa na Rais Donald Trump wa Marekani dhidi ya Afrika na Waafrika.

  • Watu 43 wauawa katika ufyatulianaji risasi Marekani

    Watu 43 wauawa katika ufyatulianaji risasi Marekani

    Jan 15, 2018 04:07

    Watu wasipoungua 43 wameuawa katika kipindi cha masaa 24 nchini Marekani katika matukio ya ufyatulianaji risasi nchini humo.

  • Rais Rouhani: Marekani imezidi kujidhalilisha kwa kukataa kuheshimu JCPOA

    Rais Rouhani: Marekani imezidi kujidhalilisha kwa kukataa kuheshimu JCPOA

    Jan 14, 2018 12:27

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema, Marekani imefeli kimataifa na katika uingiliaji wake wa masuala ya ndani ya Iran.

  • Burkina Faso: Hatua ya Trump dhidi ya Quds inapaswa kuzuiwa

    Burkina Faso: Hatua ya Trump dhidi ya Quds inapaswa kuzuiwa

    Jan 14, 2018 04:29

    Naibu Spika wa Bunge la Burkina Faso ametoa mwito wa kusimamishwa utekelezwaji wa mpango wa Marekani wa kuuhamishia mjini Quds Tukufu, ubalozi wake ulioko Tel Aviv.

  • Wizara ya Mambo ya Nje Iran yamjibu Trump, Tehran haitafanya mazungumzo kuhusu JCPOA

    Wizara ya Mambo ya Nje Iran yamjibu Trump, Tehran haitafanya mazungumzo kuhusu JCPOA

    Jan 13, 2018 10:48

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imetoa taarifa rasmi ikitangaza kuwa, kwa mara nyinghine tena Rais wa Marekani amelazimika kurefusha muda wa kusitisha vikwazo vya nyuklia vya Iran licha ya juhudi zake za mwaka mzima za kutaka kufuta makubaliano ya nyuklia ya JCPOA.

  • Uturuki yawaonya raia wake dhidi ya kusafiri Marekani, kisa usalama

    Uturuki yawaonya raia wake dhidi ya kusafiri Marekani, kisa usalama

    Jan 13, 2018 00:15

    Uturuki imewapa tahadhari raia wake dhidi ya kusafiri nchini Marekani kutokana na kile inachokitaja kuwa sababu za kiusalama.

  • Wanafunzi Marekani wenye asili ya Afrika na Latini waendelea kubaguliwa mno katika shule

    Wanafunzi Marekani wenye asili ya Afrika na Latini waendelea kubaguliwa mno katika shule

    Jan 12, 2018 01:16

    Matokeo ya ripoti mpya ya uchunguzi yanaonyesha ongezeko la hali ya juu la umasikini na ubaguzi dhidi ya wanafunzi wenye asili ya Kiafrika na malatino, katika shule za Marekani.

  • Rais Putin: Kiongozi wa Korea Kaskazini ni mtu mwenye uwezo mkubwa wa akili

    Rais Putin: Kiongozi wa Korea Kaskazini ni mtu mwenye uwezo mkubwa wa akili

    Jan 12, 2018 01:07

    Rais Vladmir Putin wa Russia amesema kuwa, Kim Jong-un Kiongozi wa Korea Kaskazini, ni mtu mwenye uwezo mkubwa wa akili na aliyepikika.

  • Erdoğan: Tutakabiliana na Marekani baada ya kukataa kumrejesha Gülen

    Erdoğan: Tutakabiliana na Marekani baada ya kukataa kumrejesha Gülen

    Jan 12, 2018 01:03

    Rais Recep Tayyip Erdoğan wa Uturuki ametishia kwamba, ikiwa Marekani itaendelea kukataa ombi la Ankara la kumrejesha nyumbani Fethullah Gülen ambaye anatafutwa na Uturuki, basi nchi hiyo nayo italazimika kuchukua hatua za kukabiliana na Washington.

  • Waislamu wa Marekani kupewa mafunzo ya kukabiliana na vitendo vya chuki dhidi ya dini yao

    Waislamu wa Marekani kupewa mafunzo ya kukabiliana na vitendo vya chuki dhidi ya dini yao

    Jan 11, 2018 12:38

    Baraza la Mahusiano ya Kiislamu nchini Marekani (CAIR) lina mpango wa kutoa mafunzo maalumu ya njia za kukabiliana na vitendo vya chuki dhidi ya Uislamu nchini humo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS