-
Zarif: Uhai wa JCPOA unategemea kufungumana kikamilifu US
Jan 11, 2018 04:24Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Tehran haitaendelea kufungamana na makubaliano ya nyuklia ya JCPOA, iwapo Marekani itayakiuka.
-
EU kufanya mkutano wa dharura wa wafadhili wa Palestina
Jan 11, 2018 04:21Umoja wa Ulaya na Norway zinatazamiwa kufanya kikao cha dharura cha nchi wafadhili wa Palestina karibuni hivi, baada ya Marekani kutishia kuikatia misaada taasisi ya Umoja wa Mataifa inayoshuughulikia wakimbizi wa Kipalestina.
-
Mmishonari wa Marekani afungwa miaka 40 kwa kunajisi mayatima
Jan 11, 2018 04:17Raia wa Marekani kutoka jimbo la Arkansas ambaye alikuwa anafanya kazi kama mmishonari nchini Haiti amehukumiwa kifungo cha miaka 40 jela, baada ya kupatikana na hatia ya kuwanajisi mabinti wakiwemo wa umri wa miaka sita.
-
De Niro: Trump ni mpumbavu na mwendawazimu
Jan 11, 2018 00:28Mkurugenzi na mtayarishaji maarufu wa filamu wa Marekani amemtaja Rais Donald Trump wa nchi hiyo kuwa ni mpumbavu na mwendawazimu.
-
Tehran yalaani azimio la Kongresi ya Marekani dhidi ya Iran
Jan 10, 2018 12:38Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amelaani azimio lililopasishwa na Kongresi ya Marekani ikiunga mkono machafuko ya hivi karibuni hapa nchini na kusema: Azimio hilo linaloingilia masuala ya ndani ya nchi nyingine ni suala lisilokubalika.
-
Mahmoud Abbas: Marekani haina hadhi tena ya kuwa mpatanishi katika mgogoro wa Palestina
Jan 10, 2018 01:05Rais wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina, Mahmoud Abbas amesema kuwa, uamuzi uliochukuliwa na Rais Donald Trump wa Marekani kuhusu Quds tukufu (Jerusalem) ni hatari sana na umeharibu sura ya nchi hiyo katika duru za kimataifa.
-
HRW: Marekani, Uingereza na Ufaransa zisitishe kuiuzia silaha Saudi Arabia
Jan 08, 2018 04:32Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Kutetea Haki za Binadamu la Human Rights Watch amezitaka Marekani, Uingereza na Ufaransa ziache kuiuzia silaha Saudi Arabia.
-
Uislamu kuwa dini ya pili kwa ukubwa nchini Marekani 2040
Jan 07, 2018 04:23Uchunguzi uliofanywa na kituo cha utafiti cha Pew nchini Marekani umeonesha kuwa, idadi ya Waislamu nchini humo itakuwa ya pili kwa ukubwa, baada ya Ukristo kufikia mwaka 2040.
-
Iran, Russia zalitaka Baraza la Usalama lisifuate mashinikizo ya Marekani
Jan 06, 2018 03:54Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Russia zimekosoa udhaifu wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa wa kukubali mashinikizo ya Marekani ya kuitisha kikao cha dharura kuhusu maandamano ya hivi karibu nchini Iran.
-
Wamarekani wapanga foleni ndefu kununua kitabu kinachomshambulia Trump
Jan 05, 2018 23:30Shirika la habari la Associated Press la nchini Marekani limetangaza habari inayosema kuwa wananchi wengi wa nchi hiyo wamepanga foleni ndefu wakisubiri kwa hamu kununua kitabu kinachomshambulia rais wa nchi hiyo, Donald Trump.