Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Marekani

  • Rais Rouhani: Maadui wamekasirishwa na maendeleo ya Iran

    Rais Rouhani: Maadui wamekasirishwa na maendeleo ya Iran

    Jan 01, 2018 12:43

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa mafanikio ya taifa la Iran katika nyanja mbalimbali za kiuchumi, kisiasa na kikanda yamewatia hasira na kuwaghadhibisha maadui.

  • Mkuu wa Kamati ya Bunge ya Usalama wa Taifa: Lengo la Marekani ni kuvuruga amani ndani ya Iran

    Mkuu wa Kamati ya Bunge ya Usalama wa Taifa: Lengo la Marekani ni kuvuruga amani ndani ya Iran

    Jan 01, 2018 04:36

    Mkuu wa Kamati ya Sera za Nje na Usalama wa Taifa ya Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran, Alaeddin Boroujerdi amesema lengo la Marekani ni kutaka kuvuruga amani na usalama nchini.

  • Rais Rouhani: Marekani haina haki ya kujifanya ina uchungu na taifa la Iran

    Rais Rouhani: Marekani haina haki ya kujifanya ina uchungu na taifa la Iran

    Jan 01, 2018 01:04

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, rais wa Marekani ambaye miezi kadhaa iliyopita aliwatuhumu watu wa taifa la Iran kuwa ni magaidi, hana haki ya kujifanya ni mwenye uchungu na nchi hii.

  • Tehran: Israel, US hazina ufahamu juu ya taifa la Iran

    Tehran: Israel, US hazina ufahamu juu ya taifa la Iran

    Dec 31, 2017 11:23

    Waziri wa Mambo ya Ndani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema utawala wa Kizayuni wa Israel, Marekani na nchi nyingine zinazojifanya kutetea haki za Wairani hazina ufahamu wowote kuhusu taifa la Iran.

  • Mikusanyiko ya watu wa Iran yatumiwa vibaya na Marekani, vyombo vya habari ajinabi

    Mikusanyiko ya watu wa Iran yatumiwa vibaya na Marekani, vyombo vya habari ajinabi

    Dec 31, 2017 04:25

    Katika hali ambayo wananchi wa Iran wamekuwa wakijumuika katika maeneo kadhaa kulalamikia ughali wa baadhi ya bidhaa, utawala wa Marekani na baadhi ya vyombo vya habari ajinabi na vilivyo dhidi ya Mapinduzi, vimetumia vibaya mikusanyiko hiyo na kujaribu kuichochea ielekee katika mkondo wa fujo na ghasia.

  • Rais Erdoğan azionya Marekani na Israel kuhusiana na kadhia ya Quds

    Rais Erdoğan azionya Marekani na Israel kuhusiana na kadhia ya Quds

    Dec 31, 2017 00:01

    Rais Recep Tayyip Erdoğan wa Uturuki amezionya serikali ya Marekani na utawala wa Kizayuni juu ya hatua zao za kuchukua maamuzi dhidi ya mji wa Quds (Jerusalem).

  • Bahram Qassemi: Wananchi wa Iran hawatishiki na makelele ya viongozi wa Marekani

    Bahram Qassemi: Wananchi wa Iran hawatishiki na makelele ya viongozi wa Marekani

    Dec 30, 2017 11:04

    Katika radiamali kwa matamshi ya uingiliaji wa viongozi wa Marekani katika masuala ya ndani ya Iran, Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, raia wa taifa hili hawatilii umuhimu nara za utumiaji fursa wa kupenda kujionyesha za viongozi wa Marekani.

  • Ayatullah Araki: Lengo la Marekani ni kuvuruga irada ya taifa

    Ayatullah Araki: Lengo la Marekani ni kuvuruga irada ya taifa

    Dec 30, 2017 10:44

    Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa ya Kukurubisha Madhehebu ya Kiislamu amesema: "Lengo la Marekani ni kuvuruga irada ya taifa la Iran."

  • Helikopta za Marekani zawaokoa viongozi wa Daesh Deir ez-Zor, Syria

    Helikopta za Marekani zawaokoa viongozi wa Daesh Deir ez-Zor, Syria

    Dec 30, 2017 00:57

    Katika kuendeleza uungaji misaada ya Marekani kwa makundi ya kigaidi na ukufurishaji la Daesh, helikopta za kivita za nchi hiyo zimeonekana usiku wa kuamkia leo zikiruka kuelekea mji wa Deir ez-Zor nchini Syria na kuwabeba viongozi kadhaa za kundi la kigaidi la Daesh (ISIS) na kuwapeleka mji wa Al-Hasakah, kaskazini mashariki mwa Syria.

  • Rex W. Tillerson: Korea Kaskazini inamkosesha usingizi Trump

    Rex W. Tillerson: Korea Kaskazini inamkosesha usingizi Trump

    Dec 29, 2017 12:20

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, Rex W. Tillerson amesema kuwa, Korea Kaskazini ndio tishio kubwa kwa usalama wa Marekani na kwamba, tangu Rais Donald Trump wa Marekani alipoingia madarakani amekuwa akiwaza sana juu ya nchi hiyo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS