-
Israel na Marekani zaafiki mapatano ya 'kuikabili' Iran
Dec 29, 2017 04:27Imebainika kuwa, maafisa wa ngazi za juu wa Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel walifanya mkutano wa siri mjini Washington hivi karibuni, kujadili mikakati eti ya kuikabili na kuidhibiti Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Lavrov: Marekani inapasa kuondoka huko Syria
Dec 29, 2017 00:10Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia jana alisisitiza kuwa wanajeshi wa Marekani wanapasa kuondoka huko Syria haraka iwezekanavyo baada ya kupata pigo magaidi nchini humo.
-
Mbunge wa Democratic nchini Marekani asema Trump ni tapeli
Dec 28, 2017 04:14Mbunge wa chama cha Democrats nchini Marekani amesema Rais Donald Trump wa nchi hiyo ni mtu tapeli na laghai.
-
Utambulisho Halisi wa Marekani kwa Mtazamo wa Kiongozi Muadhamu
Dec 28, 2017 01:15Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Khamenei Jumatano asubuhi katika mkutano na maafisa na wanachama wa Baraza la Kuhubiri Uislamu kutoka kote Iran aliashiria njama zisizo na kikomo za Marekani za kuvuruga na kuondoa matumaini katika taifa la Iran.
-
Kiongozi Muadhamu: Marekani ndio utawala fisadi na dhalimu zaidi ulimwenguni
Dec 27, 2017 12:23Ayatullah Sayyid Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, Marekani ndio utawala fisadi na dhalimu zaidi ulimwenguni.
-
Russia: Marekani imewapa magaidi kambi zake za kijeshi Syria
Dec 27, 2017 04:11Russia imesema Marekani inatoa mafunzo ya kijeshi katika kambi zake zilizoko Syria kwa magaidi wakiwemo mabaki ya wanachama wa kundi la kitakfiri la Daesh (ISIS) waliofurushwa eneo la Raqqa.
-
Wapalestina 600 wamekamatwa tangu Quds itangazwe 'mji mkuu wa Israel'
Dec 27, 2017 03:50Mamia ya Wapalestina wamekamatwa na kuzuiliwa na maafisa usalama wa utawala haramu wa Israel tangu Rais Donald Trump wa Marekani aitangaze Quds Tukufu kuwa mji mkuu wa utawala huo wa Kizayuni mapema mwezi huu.
-
Ripoti: Uuzaji wa mihadarati Marekani kuongezeka kwa asilimia 45
Dec 26, 2017 04:09Uuzaji 'halali' wa dawa ya kulevya aina ya bangi umeongezeka kwa asilimia 30 mwaka huu nchini Marekani, na mauzo hayo yanatazamiwa kuongezeka hadi asilimia 45 kufikia mwaka ujao 2018.
-
Ayatullah Ahmad Jannati: Hatua yoyote iliyo dhidi ya Uislamu itashindwa
Dec 26, 2017 00:16Ayatullah Ahmad Jannati, Katibu wa Baraza la Kulinda Katiba ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, hatua yoyote ile iliyo dhidi ya Uislamu na Waislamu itashindwa na kusambaratika.
-
Mshauri Mkuu wa Kiongozi Muadhamu: Marekani si dola kubwa tena duniani
Dec 23, 2017 11:50Mshauri Mkuu wa Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi Yote ya Iran amesema kuwa, kushindwa Marekani katika mpango wake wa kuitambulisha Quds (Jerusalem) kuwa ni mji mkuu wa utawala haramu wa Israel kumeonesha kuwa, nchi hiyo si dola kubwa tena duniani.