Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Marekani

  • Amnesty Internationa: Jeshi la Cameroon linatesa raia katika kambi za jeshi la Marekani

    Amnesty Internationa: Jeshi la Cameroon linatesa raia katika kambi za jeshi la Marekani

    Jul 20, 2017 00:01

    Shirika la kutetea haki za bindamu la Amnesty International limefichua kwamba, jeshi la serikali ya Cameroon linatesa raia hadi kufa katika kambi za majeshi ya Marekani na Ufaransa nchini humo.

  • Zarif: Wimbo wa Marekani dhidi ya Iran ni wa kukaririwa, umepitwa na wakati

    Zarif: Wimbo wa Marekani dhidi ya Iran ni wa kukaririwa, umepitwa na wakati

    Jul 19, 2017 23:36

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, madai yanayotolewa na Marekani dhidi ya Iran hayana jipya, ni ya kukaririwa na hayaakisi uhakika wa mambo.

  • Mwandishi wa Algeria: Saudia ni silaha inayotumiwa na Marekani kuwahujumu Waislamu

    Mwandishi wa Algeria: Saudia ni silaha inayotumiwa na Marekani kuwahujumu Waislamu

    Jul 19, 2017 12:49

    Mwandishi maarufu wa nchini Algeria Haddat Hizam, amesema kuwa kinyume na madai yanayotolewa, Saudia si tu kwamba haina na nafasi yoyote yenye maslahi katika eneo, bali ni nyenzo bora inayotumiwa na Marekani kuwalenga Waislamu.

  • Rouhani: Marekani haiwezi kusimamia haki za binadamu na uthabiti duniani

    Rouhani: Marekani haiwezi kusimamia haki za binadamu na uthabiti duniani

    Jul 19, 2017 10:00

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa Marekani kwa kupuuza na kukanyaga makubaliano ya kimataifa iliyoyatia saini yakiwemo makubaliano kati yake na Paris, Cuba, Amerika ya kaskazini na Asia ya Mashariki haiwezi kusimamia haki za binadamu, sheria,amani na usalama duniani.

  • Ongezeko la Chuki dhidi ya Waislamu Marekani

    Ongezeko la Chuki dhidi ya Waislamu Marekani

    Jul 18, 2017 21:58

    Kumeshuhudiwa ongezeko kubwa la chuki dhidi ya Waislamu nchini Marekani.

  • Kim Jong-un: Marekani bado haijafahamu vilivyo uwezo wa Korea Kaskazini

    Kim Jong-un: Marekani bado haijafahamu vilivyo uwezo wa Korea Kaskazini

    Jul 18, 2017 13:05

    Kiongozi wa Korea Kaskazini, Kim Jong-un amesema kuwa, vitisho vya hivi karibuni vya Rais Donald Trump wa Marekani dhidi ya nchi yake, ni vya kijinga.

  • Wasudan elfu 50 watimuliwa Saudia kwa sababu ya matatizo ya kiuchumi ya Riyadh

    Wasudan elfu 50 watimuliwa Saudia kwa sababu ya matatizo ya kiuchumi ya Riyadh

    Jul 18, 2017 11:04

    Jumla ya Wasudan elfu 50 wanaoishi nchini Saudia, wametakiwa kuondoka nchi hiyo kabla ya muda waliopewa na serikali ya Riyadh kumalizika.

  • Marekani yakiri Iran imeheshimu makubaliano ya nyuklia

    Marekani yakiri Iran imeheshimu makubaliano ya nyuklia

    Jul 18, 2017 03:12

    Serikali ya Marekani imetangaza kuwa, Iran imeheshimu makubaliano ya nyuklia yaliyotiwa saini baina ya Tehran na kundi la 5+1 maarufu kwa jina la makubaliano ya JCPOA.

  • Siasa mpya za Trump ni kuingilia zaidi masuala ya ndani ya Libya

    Siasa mpya za Trump ni kuingilia zaidi masuala ya ndani ya Libya

    Jul 16, 2017 23:54

    Gazeti la al Quds al Arabi limeandika kuwa, serikali ya Donald Trump ya nchini Marekani inatumia kisingizio cha makundi ya kigaidi kuingilia masuala ya ndani ya Libya.

  • Stratijia ya Marekani dhidi ya Iran imefeli

    Stratijia ya Marekani dhidi ya Iran imefeli

    Jul 16, 2017 23:53

    Mshauri wa ngazi za juu wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, nguvu ya Marekani imo katika hali ya kusambaratika na kwamba, kuanzia mwaka 2025 na kuendelea nguvu itatoka katika ulimwengu wa Magharibi na kuhamia mashariki mwa dunia na barani Asia.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS