-
Zarif: Marekani imekiuka mapatano ya nyuklia na Iran
Jul 16, 2017 23:22Waziri wa Mambo ya Nje ya Iran Mohammad Javad Zarif amesema Marekani imekiuka utekelezaji wa ahadi zake katika mapatano ya nyuklia ya Iran.
-
Qassemi: Watawala wa Marekani wapate funzo kutoka matukio yaliyopita
Jul 15, 2017 09:23Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema: "Watawala wapya wa Marekani wapate funzo kutoka matukio yaliyopita na kwa msingi huo wakizungumza na taifa la Iran watumie lugha ya heshima."
-
Alaeddin Boroujerdi: Mshindwa mkuu katika vita vya Mosul ni Marekani na washirika wake
Jul 15, 2017 03:23Mkuu wa Kamisheni ya Usalama wa Taifa na Siasa za Kigeni ya Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Alaeddin Boroujerdi amesema kuwa, Marekani na washirika wake katika eneo hili wakiwemo wale wa nchi za Ulaya ndio walioshindwa kufuatia kukombolewa mji wa Mosul kutoka mikononi mwa kundi la Daesh.
-
Wakorea Kusini: Tutaendeleza maandamano hadi US iondoe ngao yake nchini kwetu
Jul 14, 2017 09:56Sambamba na kumbukumbu ya mwaka wa kwanza wa makubaliano kati ya Korea Kusini na Marekani kwa ajili ya kuwekwa ngao ya makombora ya Marekani aina ya THAAD nchini humo, raia wa Korea Kusini wamefanya maandamano makubwa katika miji mbalimbali wakipinga mpango huo.
-
Marekani ina ndoto ya kijinga ya kuuangusha mfumo wa Kiislamu Iran
Jul 14, 2017 03:18Kamanda wa ngazi za juu nchini Iran amepuuzilia mbali matamshi ya Waziri wa Ulinzi wa Marekani aliyasema Washington inataka kuuangusha mfumo wa Kiislamu wa Iran na kusema hiyo ni 'ndoto ya kijinga'.
-
Dakta Zarif aitaka Marekani iangalie upya misimamo yake kuhusu JCPOA
Jul 13, 2017 22:46Waziri wa Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, makubaliano ya nyuklia yaliyofikiwa kati ya Iran na madola sita makubwa duniani ni yalikuwa makubaliano kimataifa na kwamba, Marekani inapaswa kuangalia upya misimamo yake kuhusiana na makubaliano haya ya kimataifa.
-
Wamarekani wazidi kufyatuliana risasi ovyo, 27 wauliwa katika maeneo tofauti
Jul 13, 2017 10:39Kituo cha kusajili takwimu zinazotokana na vitendo vya utumiaji silaha nchini Marekani kimeripoti kuwa, watu 27 wameuawa kwa risasi katika maeneo mbalimbali nchini humo.
-
Mtafiti wa Kiirani aliyekuwa anashikiliwa Marekani aachiliwa huru
Jul 12, 2017 03:42Mtafiti wa Kiirani wa masuala ya kensa aliyekamatwa hivi karibuni mara tu baada ya kuwasili Marekani ameachiliwa huru na kurudishwa humu nchini.
-
Marekani yafanya njama za kujipenyeza zaidi nchini Libya
Jul 11, 2017 23:34Serikali ya Libya imetangaza kuwa itaongeza idadi ya wanajeshi wake nchini Libya
-
Marekani yakiri kuuwa mamia ya raia Syria na Iraq
Jul 08, 2017 22:20Wizara ya Ulinzi ya Marekani (Pentagon) imekiri kuwa, ndege za kivita za nchi hiyo na waitifaki wake zimeuwa mamia ya raia huko Syria na Iraq.