Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Marekani

  • Marekani inahofia kuongezeka hali ya mvutano kati ya waitifaki wake Mashariki ya Kati

    Marekani inahofia kuongezeka hali ya mvutano kati ya waitifaki wake Mashariki ya Kati

    Jul 07, 2017 10:35

    Serikali ya Marekani imesema ina wasiwasi wa uwezekano wa kuongezeka hali ya mvutano kati ya Qatar na Saudi Arabia.

  • Chomsky: Marekani inaelekea kwenye maangamizi

    Chomsky: Marekani inaelekea kwenye maangamizi

    Jul 04, 2017 23:36

    Mwanafikra mashuhuri wa Marekani, Noam Chomsky amesema nchi hiyo inaelekea kwenye maangamizi kutokana na fikra za uliberali na mfumo mpya wa soko.

  • Kipindi cha baada ya Daesh nchini Iraq na njama mpya za Marekani

    Kipindi cha baada ya Daesh nchini Iraq na njama mpya za Marekani

    Jul 04, 2017 23:34

    Katika hali ambayo kundi la kigaidi la Daesh linavuta pumzi zake za mwisho nchini Iraq katika siku hizi za kukaribia mwisho operesheni za kijeshi katika mji wa Mosul na kusafishwa sehemu kubwa ya maeneo hayo na uwepo wa magaidi hao na hivyo kuyafanya macho na masikio ya walimwengu kuelekea katika hatua ya mwisho ya uwepo wa Daesh katika nchi hiyo, duru za kisiasa za nchi hiyo ya Kiarabu zimeripoti habari ya kuweko njama mpya za Marekani katika hatua hiyo.

  • Misri na Marekani zaendeleza tuhuma zao dhidi ya Qatar

    Misri na Marekani zaendeleza tuhuma zao dhidi ya Qatar

    Jul 04, 2017 03:25

    Kwa mara nyingine Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Marekani na Misri wameituhumu Qatar kwamba, inaunga mkono ugaidi, kuingilia masuala ya ndani ya nchi majirani na kufanya mahusiano na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.

  • Iran yalaani hatua ya Marekani kutungua ndege yake ya abiria mwaka 1988

    Iran yalaani hatua ya Marekani kutungua ndege yake ya abiria mwaka 1988

    Jul 03, 2017 02:43

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imelaani kitendo kilicho dhidi ya ubinadamu cha meli ya kivita ya Marekani kuitungua ndege ya abiria ya Iran Air Julai 3 mwaka 1988 na kuongeza kuwa Marekani inapaswa kuwajibika kuhusu jinai yake hiyo.

  • China yalaani chokochoko za meli za kivita za Marekani

    China yalaani chokochoko za meli za kivita za Marekani

    Jul 03, 2017 02:35

    China imelaani vikali hatua ya hivi karribuni ya meli ya kivita ya Marekani kukaribia mipaka yake ya majini katika kisiwa kimoja kinachozozaniwa katika Bahari ya China Kusini na kuitaja hatua hiyo kuwa ya kichochezi.

  • HRW: Sasa Marekani ikomeshe uungaji mkono wake kwa Saudi Arabia

    HRW: Sasa Marekani ikomeshe uungaji mkono wake kwa Saudi Arabia

    Jul 03, 2017 00:12

    Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Kutetea Haki za Binadamu la Human Rights Watch (HRW) amesisitizia wajibu wa kusitishwa uungaji mkono wa Marekani kwa utawala wa Saudi Arabia.

  • Mkutano wa kimataifa wa

    Mkutano wa kimataifa wa "Marekani, Haki za Binadamu na Ubeberu" waanza Tehran

    Jul 02, 2017 03:40

    Kongamano la Kimataifa la Marekani, Haki za Binadamu na Ubeberu limeanza mapema leo mjini Tehran likihudhuriwa na wataalamu wa hapa nchini na kutoka nje ya nchi nchi.

  • Umoja wa Afrika waitaka Marekani kuheshimu makubaliano ya hali ya hewa ya Paris

    Umoja wa Afrika waitaka Marekani kuheshimu makubaliano ya hali ya hewa ya Paris

    Jul 02, 2017 02:40

    Mwenyekiti wa Idara ya Tume ya Umoja wa Afrika ya Uchumi wa Vijijini na Kilimo amesema kuwa Marekani inapaswa kushikamana tena na makubaliano ya hali ya hewa ya Paris.

  • Iran kamwe haitalegeza msimamo mbele ya Marekani na maadui wengine

    Iran kamwe haitalegeza msimamo mbele ya Marekani na maadui wengine

    Jul 01, 2017 09:03

    Waziri wa Ulinzi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kamwe haitalegeza msimamo mbele ya maadui na kwamba nchi hii itatoa jibu kali kwa vitisho vyovyote vile.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS