Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Marekani

  • Silaha za kisasa za Marekani mikononi mwa magenge ya kigaidi

    Silaha za kisasa za Marekani mikononi mwa magenge ya kigaidi

    Dec 05, 2016 03:04

    Habari kutoka nchini Marekani zinasema kuwa, bunge la nchi hiyo limeipa idhini Serikali kuyaimarisha kwa silaha za kisasa magenge ya kigaidi yanayofanya mauaji nchini Syria.

  • Jahangiri: Marekani imekiuka muafaka wa kimataifa

    Jahangiri: Marekani imekiuka muafaka wa kimataifa

    Dec 05, 2016 00:26

    Makamu wa Kwanza wa Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekosoa vikali hatua ya Baraza la Seneti la Marekani ya kupitisha muswada wa kurefusha kwa muda wa miaka 10 mingine Sheria ya Vikwazo Dhidi ya Iran (ISA) na kusema kuwa, kitendo hicho mbali na kuonyesha kuwa Washington haina muamana, pia ni ukiukaji wa makubaliano ya kimataifa.

  • Ubalozi feki wa Marekani nchini Ghana wafungwa baada ya miaka 10

    Ubalozi feki wa Marekani nchini Ghana wafungwa baada ya miaka 10

    Dec 04, 2016 11:39

    Washington imesema ubalozi bandia wa Marekani ambao umekuwa ukiendesha shughuli zake kinyume cha sheria nchini Ghana kwa takriban muongo mmoja umefungwa.

  • Hasira za China kwa uchokozi mpya wa Donald Trump

    Hasira za China kwa uchokozi mpya wa Donald Trump

    Dec 04, 2016 08:14

    Rais mteule wa Marekani, Donald Trump ameikasirisha mno China kwa kitendo chake kisicho cha kidiplomasia cha kuzungumza kwa simu na rais wa kisiwa cha Taiwan ambacho China inakihesabu kuwa ni sehemu isiyotenganishika na nchi hiyo.

  • Zarif: Kurefusha vikwazo kunaonesha kuwa serikali ya Marekani haina muamana

    Zarif: Kurefusha vikwazo kunaonesha kuwa serikali ya Marekani haina muamana

    Dec 03, 2016 04:23

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema, kwa mtazamo wa jamii ya kimataifa kurefushwa vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran kunaonesha kuwa serikali ya Washington haina muamana.

  • HRW: Silaha za Marekani zinatumiwa na Saudia kutenda jinai za kivita Yemen

    HRW: Silaha za Marekani zinatumiwa na Saudia kutenda jinai za kivita Yemen

    Dec 03, 2016 00:55

    Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch kwa mara nyingine limetoa wito kwa Marekani kusitisha uuzaji wake wa silaha kwa Saudi Arabia.

  • Kupasishwa na Seneti ya Marekani muswada wa kurefusha vikwazo dhidi ya Iran

    Kupasishwa na Seneti ya Marekani muswada wa kurefusha vikwazo dhidi ya Iran

    Dec 03, 2016 00:53

    Wajumbe wa Baraza la Seneti la Marekani wamepitisha muswada wa kurefusha kwa muda wa miaka 10 mingine Sheria ya Vikwazo Dhidi ya Iran (ISA).

  • 'Kurefushwa vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran ni ukiukaji mapatano ya nyuklia'

    'Kurefushwa vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran ni ukiukaji mapatano ya nyuklia'

    Dec 02, 2016 12:23

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema muswada wa Bunge la Marekani kurefusha muda wa vikwazo dhidi ya Iran kwa miaka kumi zaidi ni kinyume cha ahadi za Marekani katika mapatano ya nyuklia yajulikanayo kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji JCPOA

  • Trump ateua 'Jibwa Kichaa' kuwa Waziri wa Ulinzi Marekani

    Trump ateua 'Jibwa Kichaa' kuwa Waziri wa Ulinzi Marekani

    Dec 02, 2016 04:34

    Rais mteule wa Marekani Donald Trump amemteua aliyekuwa Kamanda mwandamizi wa jeshi la Marekani Jenerali James Mattis kuwa Waziri wa Ulinzi wa nchi hiyo.

  • CIA yamuonya Trump dhidi ya kukiuka makubaliano ya nyuklia ya Iran

    CIA yamuonya Trump dhidi ya kukiuka makubaliano ya nyuklia ya Iran

    Nov 30, 2016 11:08

    Shirika la Kijasusi la Marekani CIA limemuonya rais-mteule wa nchi hiyo Donald Trump dhidi ya kukiuka makubaliano ya nyuklia kati ya Iran na kundi la 5+1.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS