Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Marekani

  • CIA yamuonya Trump dhidi ya kukiuka makubaliano ya nyuklia ya Iran

    CIA yamuonya Trump dhidi ya kukiuka makubaliano ya nyuklia ya Iran

    Nov 30, 2016 11:08

    Shirika la Kijasusi la Marekani CIA limemuonya rais-mteule wa nchi hiyo Donald Trump dhidi ya kukiuka makubaliano ya nyuklia kati ya Iran na kundi la 5+1.

  • Onyo la mkuu wa CIA kwa Trump kuhusu JCPOA

    Onyo la mkuu wa CIA kwa Trump kuhusu JCPOA

    Nov 30, 2016 09:42

    John O. Brennan, Mkuu wa Shirika la Kijasusi la Marekani CIA amemuonya Donald Trump, rais mteule wa Marekani kutokana na msimamo wake kuhusu makubaliano ya nyuklia ya Iran na kundi la 5+1 yanayojulikana kwa jina la JCPOA na kusisitiza kuwa, haitakuwa busara hata kidogo kufutwa makubaliano yaliyotiwa saini na Tehran na Washington.

  • Kuongeza hujuma na jinai mbalimbali Marekani baada ya ushindi wa Trump

    Kuongeza hujuma na jinai mbalimbali Marekani baada ya ushindi wa Trump

    Nov 30, 2016 01:00

    Kundi moja la Kutetea Haki za Kiraia nchini Marekani limesema katika ripoti yake kuwa, hujuma na jinai mbalimbali ziliongezeka nchini humo humo siku kumi baada ya Donald Trump kutangazwa mshindi wa kiti cha urais.

  • Waislamu Marekani walaani hujuma ya 'kigaidi' Ohio

    Waislamu Marekani walaani hujuma ya 'kigaidi' Ohio

    Nov 29, 2016 10:41

    Viongozi wa Kiislamu nchini Marekani wamelaani vikali kile vyombo vya usalama vimetaja kuwa hujuma ya kigaidi katika jimbo la Ohio, ambapo mwanafunzi mmoja wa Marekani mwenye asili ya Somalia aliwashambulia kwa kisu wanachuo wenzake.

  • Kuongezeka mpasuko ndani ya jamii ya Marekani baada ya uchaguzi wa rais

    Kuongezeka mpasuko ndani ya jamii ya Marekani baada ya uchaguzi wa rais

    Nov 29, 2016 04:24

    Matokeo ya uchunguzi wa maoni yaliyotangazwa siku ya Jumapili yanaonyesha kuwa asilimia 85 ya Wamarekani wanahisi kuwa mpasuko ndani ya nchi hiyo juu ya masuala muhimu umekuwa mkubwa zaidi katika mwaka huu wa 2016 kulinganisha na miaka kadhaa iliyopita; na raia wengi zaidi hawaridhiki na hali ya demokrasia katika nchi yao tangu Donald Trump alipotangazwa mshindi katika uchaguzi wa rais.

  • Kamanda Rahim Safavi: Mporomoko wa uwezo wa kisiasa na kijeshi wa Marekani umeanza

    Kamanda Rahim Safavi: Mporomoko wa uwezo wa kisiasa na kijeshi wa Marekani umeanza

    Nov 28, 2016 23:32

    Msaidizi na Mshauri mwandamizi wa Amiri Jeshi Mkuu wa vikosi vya jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, mwenendo wa kushuka na kuporomoka uwezo wa kisiasa na kijeshi wa Marekani umeanza rasmi.

  • Mpasuko waendelea kushuhudiwa katika jamii ya Marekani baada ya uchaguzi wa rais

    Mpasuko waendelea kushuhudiwa katika jamii ya Marekani baada ya uchaguzi wa rais

    Nov 28, 2016 11:54

    Uchunguzi mpya wa maoni unaonyesha kuwa, zaidi ya asilimia 80 ya Wamarekani wanaamini kuwa, nchi hiyo imekumbwa na mpasuko mkubwa baada ya uchaguzi wa rais uliofanyika hivi karibuni.

  • Askari watano wa Marekani wauawa kaskazini mashariki mwa Syria

    Askari watano wa Marekani wauawa kaskazini mashariki mwa Syria

    Nov 27, 2016 13:27

    Vyombo vya habari vimeripoti kuwa, wanajeshi watano wa Marekani na wanamgambo wawili wa Kikurdi wameuawa katika kambi moja ya kijeshi inayomilikiwa na magenge ya kigaidi katika kiunga cha mji wa Hasakah, kaskazini mashariki mwa Syria.

  • Mkutano wa Waislamu America waanza katika mji wa Detroit, Michigan

    Mkutano wa Waislamu America waanza katika mji wa Detroit, Michigan

    Nov 27, 2016 02:10

    Mkutano wa 12 wa kila mwaka wa Jumuiya ya Kiislamu ya America ya Kaskazini umeendelea leo katika mji wa Detroit kwenye jimbo la Michigan huko Marekani.

  •  Mtazamo wa Kiongozi Muadhamu: Ulazima wa nchi zenye misimamo huru kuwa na nafasi muhimu katika matukio ya Mashariki ya Kati

    Mtazamo wa Kiongozi Muadhamu: Ulazima wa nchi zenye misimamo huru kuwa na nafasi muhimu katika matukio ya Mashariki ya Kati

    Nov 23, 2016 08:54

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Kiislamu amesisitiza kuwa, Iran daima imekuwa ikitoa wito kwa nchi zenye misimamo huru kuwa na nafasi amilifu katika kukabiliana na mashinikizo dhidi ya mataifa na inayataka yasikae kimya na kuwa watazamaji tu wa matukio hayo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS