-
Takwa la Jimbo la California kupiga kura ya kujitenga na Marekani hapo 2019
Nov 23, 2016 00:46Kundi moja linalotaka jimbo la California lijitenge na Marekani limewasilisha pendekezo la kuondolewa kipengee katika katiba ya jimbo inayoitaja California kuwa sehemu 'isiyotenganika' na Marekani.
-
Bunge la Iran lalaani hatua ya Bunge la Marekani
Nov 22, 2016 12:59Wajumbe wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu, Bunge la Iran, wamelaani hatua ya wajumbe wa Bunge la Marekani kurefusha kwa muda wa miaka 10 sheria ya kuiwekea Iran vikwazo.
-
Maandamano ya kuwaunga mkono Waislamu Marekani yaendelea, mara hii ni wakazi wa Kentucky
Nov 21, 2016 23:15Wakazi wa jimbo la Kentucky nchini Marekani wamefanya maandamano kwa kukusanyika mbele ya kituo cha Kiislamu cha mji huo kuwaunga mkono Waislamu hususan baada ya uchaguzi wa rais uliompa ushindi Donald Trump, mfanyabiashara mwenye misimamo ya chuki dhidi ya wafuasi wa dini hiyo.
-
Meja Jenerali Ataollah Salehi: Marekani ni adui nambari moja wa taifa la Iran
Nov 21, 2016 10:42Kamanda Mkuu wa Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Marekani ni adui nambari moja wa taifa la Iran na ni tishio kwa mataifa yote ya Mashariki ya Kati.
-
Uchunguzi: Marekani ilishinikiza kutimuliwa kamanda wa Kenya, Sudan Kusini
Nov 20, 2016 04:40Uchunguzi uliofanywa na shirika moja la kimataifa la kutathmini masuala ya sera umefichua kuwa, Marekani ilishinikiza kufutwa kazi kamanda wa ngazi za juu wa jeshi la Kenya aliyekuwa akisimamia Kikosi cha Umoja wa Mataifa cha kulinda amani nchini Sudan Kusini (UNMISS).
-
Russia: Marekani inafanya propaganda chafu kuhusu hospitali za Aleppo
Nov 20, 2016 00:54Msemaji wa Wizara ya Ulinzi ya Russia amesema kuwa, madai ya kushambuliwa hospitali katika mji wa Aleppo nchini Syria ni wenzo wa kipropaganda unaotumiwa na Marekani dhidi ya serikali ya Moscow.
-
Hatua mpya ya Bunge la Marekani dhidi ya Iran
Nov 19, 2016 04:32Wawakilishi wa Bunge la Marekani ambalo linadhibitiwa na Warepublican juzi walipasisha mpango ambao unazuia kuiuzia Iran ndege zaidi ya 100 za abiria aina ya Boeing.
-
Marekani yataka Machar awekwe katika orodha nyeusi
Nov 19, 2016 00:59Marekani imelitaka Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limuweka kiongozi wa waasi wa Sudan Kusini, Riek Machar katika orodha nyeusi kwa tuhuma za kupanga njama ya kuipindua serikali ya Rais Salva Kiir.
-
Kukasirishwa nchi za Magharibi na uamuzi wa Russia wa kujitoa ICC
Nov 18, 2016 23:18Hatua ya Russia ya kutangaza kujitoa katika Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC imezikasirisha nchi za Magharibi za Ulaya na Marekani.
-
Wademocrat wakosoa sheria ya uchaguzi US baada ya ushindi wa Trump
Nov 16, 2016 11:08Seneta mmoja wa chama cha Democrat nchini Marekani ameandaa muswada wa kuifanyia marekebisho Sheria ya Uchaguzi ya nchi hiyo kufuatia ushindi wa Donald Trump wa chama cha Republican katika uchaguzi wa wiki iliyopita.