Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Marekani

  • Bunge la Marekani larefusha vikwazo dhidi ya Iran, maandamano dhidi ya Trump yanaendelea

    Bunge la Marekani larefusha vikwazo dhidi ya Iran, maandamano dhidi ya Trump yanaendelea

    Nov 16, 2016 04:20

    Bunge la Marekani limeendelea kuonesha uadui wake dhidi ya Iran kwa kupasisha muswada wa kurefusha vikwazo dhidi ya Tehran kwa miaka kumi zaidi.

  • Marekani yatuhumiwa na ICC kutenda jinai za kivita Afghanistan

    Marekani yatuhumiwa na ICC kutenda jinai za kivita Afghanistan

    Nov 15, 2016 23:26

    Mwendesha Mashtaka Mkuu wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC ametoa taarifa akiituhumu Marekani kwamba, imetenda jinai za kivita nchini Afghanistan.

  • ICC yakiri kuwa Marekani ilitenda jinai za kivita Afghanistan

    ICC yakiri kuwa Marekani ilitenda jinai za kivita Afghanistan

    Nov 15, 2016 04:28

    Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC imesema wanajeshi wa Marekani na maafisa wa shirika la ujasusi la nchi hiyo CIA yumkini wana hatia ya kufanya jinai dhidi ya binadamu nchini Afghanistan.

  • Mogherini: Trump hana uwezo wa kubatilisha JCPOA

    Mogherini: Trump hana uwezo wa kubatilisha JCPOA

    Nov 14, 2016 04:34

    Mkuu wa Sera za Nje wa Umoja wa Ulaya amesema makubaliano ya nyuklia kati ya Iran na kundi la 5+1 hayawezi kubatilishwa na serikali moja kwa kuwa yana baraka kamili ya Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa.

  • Trump: Tutawafunga jela au kuwatimua wahajiri milioni 3

    Trump: Tutawafunga jela au kuwatimua wahajiri milioni 3

    Nov 14, 2016 04:31

    Hata kabla ya kuapishwa, Rais mteule wa Marekani Donald Trump ameahidi kutekeleza ahadi alizozitoa wakati wa kampeni za uchaguzi, likiwemo suala la kuwatimua wahamiaji nchini humo.

  • Majimbo ya Texas na California yataka kujitenga na Marekani

    Majimbo ya Texas na California yataka kujitenga na Marekani

    Nov 14, 2016 00:39

    Majimbo ya Texas na California yanataka kujitenga na Marekani.

  • Trump atahadharishwa na hatua ya kuuhamishia ubalozi wa Marekani Baitul Muqaddas

    Trump atahadharishwa na hatua ya kuuhamishia ubalozi wa Marekani Baitul Muqaddas

    Nov 13, 2016 13:11

    Mwakilishi wa Palestina katika Umoja wa Mataifa amemtahadharisha rais mteule wa Marekani Donald Trump na kutekeleza ahadi aliyotoa ya kuuhamishia katika mji mtukufu wa Baitul Muqaddas ubalozi wa nchi hiyo ulioko Tel Aviv, Israel.

  • Marekani yatajwa mshirika wa jinai za utawala wa Aal Khalifa nchini Bahrain

    Marekani yatajwa mshirika wa jinai za utawala wa Aal Khalifa nchini Bahrain

    Nov 13, 2016 13:03

    Kiongozi wa harakati ya Al-Amalul-Islami ya Bahrain amesema Marekani ni mshirika wa jinai zinazofanywa na utawala wa Aal Khalifa dhidi ya wananchi wa Bahrain.

  • Zarif amuonya Trump asithubutu kukiuka mapatano ya nyuklia ya Iran

    Zarif amuonya Trump asithubutu kukiuka mapatano ya nyuklia ya Iran

    Nov 12, 2016 01:13

    Waziri wa Mambo ya Nje ya Iran Mohammad Javad Zarif ameonya kuwa iwapo rais mteule wa Marekani atakiuka mapatano ya nyuklia, basi Iran ina machaguo mengine ya kukabiliana na hali hiyo.

  • Ayatullah Khatami amtahadharisha Rais mteule wa Marekani kuhusu siasa za vitisho

    Ayatullah Khatami amtahadharisha Rais mteule wa Marekani kuhusu siasa za vitisho

    Nov 11, 2016 12:21

    Khatibu wa Swala ya Ijumaa ya leo katika mji wa Tehran amesema kuwa taifa la Iran halitaiamini serikali yoyote inayoingia madarakani huko Marekani.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS