-
China: Trump asijaribu kabisa kuingilia masuala yetu ya ndani
Nov 10, 2016 10:03Huku ulimwengu ukiwa bado umepatwa na mshangao kufuatia ushindi wa hapo jana wa mgombea wa chama cha Republican nchini Marekani Donald Trump, kwa upande wake vymbo vya habari vya serikali ya Uchina, vimetoa onyo kali kwa rais huyo mteule kutothubutu kuingilia masuala yake ya ndani.
-
Zarif: Trump anapasa kuwa na ufahamu sahihi wa ukweli wa mambo katika eneo na ulimwenguni kwa ujumla
Nov 09, 2016 23:32Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amemtaka rais mpya wa Marekani kuelewa ipasavyo uhakika wa mambo katika eneo la Mashariki ya Kati na ulimwenguni kwa ujumla.
-
Trump ashinda uchaguzi wa rais Marekani, masoko ya hisa yaporomoka
Nov 09, 2016 04:46Masoko ya hisa ya dunia na hususan ya Marekani yameporomoka kwa kiasi kikubwa muda mfupi baada ya Donald Trump wa chama cha Republican kutangazwa mshindi wa uchaguzi wa rais nchini humo.
-
Mamillioni ya Wamarekani wanyimwa haki ya kupiga kura
Nov 09, 2016 04:44Huku matokeo yasiyo rasmi ya uchaguzi wa rais Marekani yakionyesha kuwa Donald Trump wa chama cha Republican amepata ushindi dhidi ya mshindani wake wa chama cha Democrat Hillary Clinton, imebainika kuwa idadi kubwa ya Wamarekani wamenyimwa haki yao ya kupiga kura.
-
Ghasia za uchaguzi Marekani, kadhaa wajeruhiwa California
Nov 09, 2016 01:18Huku matokeo rasmi ya uchaguzi wa rais nchini Marekani yakisubiriwa kwa hamu na shauku, mtu mmoja ameuawa na wengine wanne kujeruhiwa katika tukio la ufyatuaji risasi lililojiri katika jimbo la California.
-
Trump: Mfumo unaotawala Marekani ni fisadi
Nov 08, 2016 01:18Donald Trump mgombea wa kiti cha urais Marekani kwa tikiti ya chama cha Republican ameutaja kuwa fisadi mfumo unaotawala nchini humo.
-
Wamarekani wahofia kutokea mashambulizi ya kigaidi wakati wa uchaguzi
Nov 05, 2016 11:38Viongozi wa serikali ya Marekani wameonya juu ya uwezekano wa kutokea mashambulizi ya kigaidi siku ya uchaguzi wa rais na kuwataka wananchi wajiandae kwa hilo.
-
"Jinai za Marekani ziwekwe paruwanja kimataifa"
Nov 04, 2016 12:21Khatibu wa Sala ya Ijumaa iliyosaliwa leo hapa mjini Tehran ameitaja Marekani kama adui nambari moja wa Ulimwengu wa Kiislamu na kueleza udharura wa kuanikwa hadharani jinai za Washington kimataifa.
-
Hujuma ya ndege za Marekani yaua makumi ya watu Afghanistan
Nov 03, 2016 12:52Makumi ya watu wameuawa katika shambulio la anga lililofanywa na ndege za Marekani, kaskazini mwa Afghanistan.
-
Bennett: Clinton na mumewe wametajirika kwa pesa za Saudia
Nov 03, 2016 00:23Ofisa wa zamani wa jeshi la Marekani na mchambuzi wa siasa amesema mgombea wa urais wa Marekani kwa tiketi ya chama cha Democrat Hillary Clinton na mumewe wake Bill Clinton wamechuma utajiri wao kutokana na kuiuzia Saudi Arabia ushawishi wa serikali ya Washington.