Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Marekani

  • Hashdu Shaabi: Hatuhitajii Marekani katika operesheni ya Mosul

    Hashdu Shaabi: Hatuhitajii Marekani katika operesheni ya Mosul

    Nov 02, 2016 11:10

    Kikosi cha kujitolewa cha Hashdu Shaabi kinachoshirikiana na jeshi la Iraq katika operesheni ya kuukomboa mji wa Mosul toka mikononi mwa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh kimesema vikosi hivyo havihitajii muungano wa kijeshi wa Marekani katika mapambano hayo.

  • Sudan yakosoa kurefushwa vikwazo dhidi yake na Marekani

    Sudan yakosoa kurefushwa vikwazo dhidi yake na Marekani

    Nov 01, 2016 11:08

    Serikali ya Sudan imekosoa vikali hatua ya Marekani ya kuirefushia vikwazo Khartoum kwa muda wa mwaka mmoja mwingine.

  • Seneta wa Marekani afichua uhusiano wa Washington na Daesh

    Seneta wa Marekani afichua uhusiano wa Washington na Daesh

    Oct 26, 2016 11:30

    Seneta mmoja wa chama cha Republican nchini Marekani amesema uhusiano kati ya Washington na kundi la kigaidi la Daesh umechangia kusambaratisha usalama na utulivu katika eneo la Mashariki ya Kati.

  • Kushadidi tuhuma baina ya Trump na Clinton, kuelekea uchaguzi Marekani

    Kushadidi tuhuma baina ya Trump na Clinton, kuelekea uchaguzi Marekani

    Oct 25, 2016 04:36

    Ushindani katika kampeni za urais nchini Marekani umeshika kasi ikiwa ni siku chache zimesalia kabla ya kufanyika uchaguzi wa rais nchini humo.

  • Ongezeko kubwa la uhalifu wa chuki za kidini dhidi ya Waislamu nchini Marekani

    Ongezeko kubwa la uhalifu wa chuki za kidini dhidi ya Waislamu nchini Marekani

    Oct 24, 2016 02:48

    Ripoti mpya iliyotolewa inaonyesha kuwa, uhalifu unaotokana na chuki dhidi ya Waislamu umeongezeka kwa kiwango kikubwa nchini Marekani.

  • Mdahalo wa mwisho wa Trump na Clinton, mbio za uchaguzi wa rais Marekani

    Mdahalo wa mwisho wa Trump na Clinton, mbio za uchaguzi wa rais Marekani

    Oct 20, 2016 23:02

    Mdahalo wa tatu na wa mwisho wa televisheni wa wagombea uchaguzi wa rais Marekani kwa mara nyingine tena umegubikwa na utata huku mada kuu zikiwa ni kufichuliwa nyaraka za WikiLeaks zinazomhusu mgombea wa chama cha Democrat Hillary Clinton, wahamiaji, sera za kigeni na kashfa za kimaadli za Donald Trump, mgombea wa chama cha Republican.

  • Malalamiko ya China kuhusiana na manuva ya kijeshi ya Marekani na Korea Kusini

    Malalamiko ya China kuhusiana na manuva ya kijeshi ya Marekani na Korea Kusini

    Oct 20, 2016 00:29

    Oktoba 18 Wizara ya Ulinzi ya China ilitoa taarifa ya kulalamikia manuva ya kijeshi yanayofanywa na Marekani kwa kushirikiana na Korea Kusini katika eneo hilo.

  • Larijani: Marekani inachochea ugaidi kupitia vita

    Larijani: Marekani inachochea ugaidi kupitia vita

    Oct 18, 2016 03:31

    Spika wa Majilisi ya Ushauri ya Kiislamu yaani Bunge la Iran amesema Marekani inachochea ugaidi katika eneo hili la Mashariki ya Kati na duniani kote kwa ujumla kwa kutumia anga ya vita na mapigano.

  • Marekani, Saudia, Israel ni waungaji mkono wa magaidi wa Daesh

    Marekani, Saudia, Israel ni waungaji mkono wa magaidi wa Daesh

    Oct 17, 2016 23:40

    Kamanda wa ngazi za juu wa jeshi nchini Syria amesema, kuna ushahidi wa kutosha kuwa Marekani, Saudi Arabia na Israel ni waungaji mkono wakuu wa magaidi wa ISIS (Daesh) huko Syria na Iraq.

  • Hasira za Marekani na Israel kwa uamuzi wa UNESCO kuhusu Quds

    Hasira za Marekani na Israel kwa uamuzi wa UNESCO kuhusu Quds

    Oct 15, 2016 00:24

    Uamuzi wa Shirika la Elimu, Sayansi na Utamaduni la Umoja wa Mataifa (UNESCO) wa kusisitiza kuwa Mayahudi hawana uhusiano wowote ule na Masjidul Aqsa, (Kibla cha Kwanza cha Waislamu) wala mji wa Quds, umewahamakisha sana viongozi wa utawala wa Kizayuni na Marekani

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS