-
Sisitizo la Katibu Mkuu wa Hizbullah juu ya ulazima wa kuwa macho na chokochoko za Marekani
Oct 12, 2016 23:14Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesisitiza kuwa Marekani ina mkono katika migogoro na machafuko yanayoendelea kushuhudiwa katika eneo la Mashariki ya Kati na amewataka wananchi na viongozi wa mataifa ya eneo hili kuwa macho na njama za Washington na washirika wake za kushadidisha machafuko na migogoro hiyo.
-
China yakosoa chokochoko za kijeshi za Marekani barani Asia
Oct 12, 2016 04:20Waziri wa Ulinzi wa China, Chang Wanquan, amekosoa vikali chokochoko za kijeshi za Marekani katika eneo la bara Asia
-
Kimbunga cha Matthew chaingia kwa kasi Marekani
Oct 09, 2016 04:50Idadi ya watu waliopoteza maisha kutokana na kimbuga cha Matthew nchini Marekani imeongezeka na kupindukia watu 13, huku tufani hiyo iliyotokea eneo la Carribean ikiendelea kusababisha maafa makubwa nchini Marekani.
-
US kusitisha msaada wa kijeshi kwa Saudia dhidi ya Yemen?
Oct 09, 2016 04:13Kufuatia malalamiko na makelele ya jamii ya kimataifa, Marekani imesema inaangalia upya iwapo itaendelea kuipa Saudi Arabia msaada wa kijeshi katika hujuma zake za anga dhidi ya Yemen au la.
-
Misri yachukizwa na tahadhari iliyotolewa na Marekani
Oct 09, 2016 01:14Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Misri imekosoa vikali tahadhari ya kiusalama iliyotolewa na Marekani kwa raia wake wanaoishi katika nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Mgogoro wa Syria na ukwamishaji wa viongozi wa Marekani
Oct 08, 2016 02:50Marekani imekuwa ikifanya njama mbalimbali za kukwamisha jitihada za kuutafutia ufumbuzi wa kisiasa mgogoro wa nchi ya Kiarabu ya Syria, suala ambalo limewafanya maafisa wa Umoja wa Mataifa washindwe kuvumilia na kuamua kuilalamikia Marekani kwa njama zake hizo.
-
Israel yawateka nyara wanaharakati wanawake wakielekea Gaza
Oct 06, 2016 12:16Jeshi la majini la utawala wa Kizayuni wa Israel limewateka nyara wanaharakati wanawake wa Marekani akiwemo Ann Wright, mwanadiplomasia mashuhuri na mtetezi wa haki za binadamu, wakiwa kwenye boti wakielekea katika Ukanda wa Gaza.
-
Kongo DR yakosoa vikwazo ilivyowekewa na Marekani
Oct 06, 2016 10:59Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imekosoa vikali hatua ya Marekani kuwawekea vikwazo maofisa wa ngazi za juu wa serikali ya Kinshasa, kwa shabaha ya kuathiri mwelekeo wa kisiasa wa nchi hiyo.
-
Wamarekani wengi wahofia wizi wa kura katika uchaguzi wa rais
Oct 03, 2016 00:31Wamarekani waliowengi wana hofu kuwa kutajiri wizi wa kura katika uchaguzi wa rais unaotazamiwa kufanyika tarehe 8 mwezi ujao wa Novemba.
-
Barret: Polisi ya Marekani imejifunza ukatili kutoka Israel
Oct 02, 2016 04:41Mchanganuzi wa masuala ya siasa na mwandishi wa habari wa Marekani amesema ukandamizaji, dhulma na ukatili unaofanywa na maafisa wa polisi wa Marekani dhidi ya Wamarekani wenye asili ya Afrika umetokana na mafunzo waliyopokea kutoka utawala wa Kizayuni wa Israel.