-
Marekani yaziuzia nchi za Ghuba ya Uajemi silaha za zaidi ya dola bilioni 33
Sep 18, 2016 05:49Serikali ya Marekani imeziuzia baadhi ya nchi za Baraza la Ushirikiano la Ghuba ya Uajemi silaha zenye thamani ya zaidi ya bilioni 33 tangu mwaka 2014 hadi leo hii.
-
Marekani yaziuzia nchi za Ghuba ya Uajemi silaha za zaidi ya dola bilioni 33
Sep 18, 2016 02:38Serikali ya Marekani imeziuzia baadhi ya nchi za Baraza la Ushirikiano la Ghuba ya Uajemi silaha zenye thamani ya zaidi ya bilioni 33 tangu mwaka 2014 hadi leo hii.
-
Boti za Kivita za Iran zazitia kiwewe meli za kivita za Marekani
Sep 17, 2016 23:17Boti za kivita za Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu IRGC zimezitia kiwewe na kuzidhalilisha meli za kivita za Marekani katika eneo la Ghuba ya Uajemi.
-
Uturuki yaitaka rasmi Marekani kumtia mbaroni Fethullah Gülen na kumkabidhi kwake
Sep 13, 2016 09:14Serikali ya Uturuki imeitaka rasmi Marekani kumtia mbaroni Fethullah Gülen na kumkabidhi kwake.
-
Msikiti wateketezwa moto na wenye chuki dhidi ya Uislamu Marekani
Sep 13, 2016 03:12Kituo cha Kiislamu katika jimbo la Florida Marekani kimeteketezwa moto na watu wenye chuki dhidi ya Uislamu.
-
Russia yaitaka Marekani iache kueneza ubabe wake duniani
Sep 13, 2016 02:16Waziri wa Ulinzi wa Russia amesema kuwa, Marekani haipaswi kuzilazimisha nchi zingine duniani zifuate sera zake.
-
Miaka 15 baada ya mashambulizi ya Septemba 11 nchini Marekani
Sep 11, 2016 08:11Imepita miaka 15 tangu kujiri mashambulizi ya kigaidi ya Septemba 11 nchini Marekani. Miaka 15 iliyopita tarehe 11 Septemba 2001, Marekani ilikumbwa na mashambulizi ya kigaidi yaliyoutikisa pia ulimwengu.
-
Kongamano kubwa la Waislamu lafanyika katika jimbo la Chicago, Marekani
Sep 04, 2016 23:53Kongamano kubwa la 53 la Jamii ya Kiislamu ya Amerika ya Kaskazini (ISNA) linafanyika katika jimbo la Chicago nchini Marekani.
-
Marekani inaunga mkono hujuma za Saudia dhidi ya Wayemen
Sep 02, 2016 22:50Kiongozi wa harakati ya Ansarullah nchini Yemen amelaani vikali Marekani kwa kutoa misaada ya kijeshi na kisiasa kwa Saudi Arabia katika mashambulizi yake ya kudondosha mabomu dhidi ya watu wa Yemen.
-
Rais Rouhani: Chimbuko la ugaidi katika eneo chanzo chake ni utendaji wa Marekani
Aug 28, 2016 03:19Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema chimbuko na kuenea ugaidi katika Mashariki ya Kati ni matokeo ya utendaji wa Marekani katika vita dhidi ya Iraq na Afghanistan na mgogoro wa Syria.