-
Video: Mwanamke wa kwanza Muislamu kuvaa sare katika jeshi la polisi la Marekani azungumza
Aug 27, 2016 07:52Afisa wa kwanza wa kike wa polisi wa Marekani, ameanza kazi katika jeshi hilo kwa kuvaa sare ya Hijabu katika mji wa Dearborn kwenye jimbo la Michigan.
-
Kisingizio cha Marekani cha kutaka kuwepo kijeshi Sudan Kusini
Aug 25, 2016 09:38Marekani imedai kuwa kuwepo wanajeshi wake huko Sudan Kusini kutasaidia kuhitimisha machafuko ya kisaisa na mashambulizi ya wabeba silaha nchini humo.
-
Ripoti: Mashambulio ya anga yanayoongozwa na Marekani yameua zaidi ya watu 6,000 Syria
Aug 24, 2016 23:48Mashambulio ya anga yaliyofanywa na kile kinachoitwa Muungano wa kupambana na Daesh unaoongozwa na Marekani yameua zaidi ya watu 6,000 nchini Syria tangu muungano huo ulipoanzisha operesheni zake hizo mwishoni mwa mwaka 2014.
-
Meya wa Gillette alaani kundi lenye chuki dhidi ya Uislamu kutaka kuchoma moto Qur'an
Aug 23, 2016 23:45Meya wa mji wa Gillette katika jimbo la Wyoming nchini Marekani amelaani vikali mpango wa kundi moja lenye chuki dhidi ya dini ya Uislamu kutaka kuchoka moto kitabu kitukufu cha Qur'an katika moja ya maandamano mjini hapo.
-
Mamilioni ya dola zatumika kwenye kampeni za uchaguzi wa rais Marekani
Aug 21, 2016 11:02Vyombo vya habari vya Marekani vimefichua matumizi makubwa kupindukia ya fedha katika kampeni za uchaguzi wa rais wa nchi hiyo.
-
"Silaha za Marekani zinachochea ugaidi Mashariki ya Kati"
Aug 18, 2016 09:51Mgombea wa urais kwa tiketi ya Chama cha Kijani nchini Marekani amesema kuna haja ya kuwekewa vikwazo vya silaha nchi zinazochochea machafuko na ugaidi katika eneo la Mashariki ya Kati na kusisitiza kuwa, Washington imechangia pakubwa hali ya mchafukoge na harakati za ugaidi katika nchi za eneo hilo.
-
Mashambulizi ya anga ya Marekani kaskazini mwa Libya yamegonga mwamba
Aug 17, 2016 03:31Mchambuzi mmoja wa masuala ya Libya ameeleza kuwa mashambulizi ya anga yanayofanywa na Marekani katika mji wa Sirte kaskazini mwa Libya kwa kisingizio cha kupambana na kundi la kigaidi la Daesh hayajazaa matunda.
-
Wafungwa 15 wa Guantanamo wahamishiwa Imarati
Aug 16, 2016 23:28Wizara ya Ulinzi ya Marekani (Pentagon) imewahamisha wafungwa 15 wa jela ya kutisha ya Guantanamo na kuwapeleka katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE), ukiwa ni uhamisho mkubwa zaidi wa wafungwa hao kufanywa na utawala wa Rais Barack Obama wa Marekani.
-
Imam na msaidizi wake wauawa kwa risasi New York, Marekani
Aug 14, 2016 02:35Imam wa msikiti mmoja katika jimbo la New York nchini Marekani ameuawa kwa kufyatuliwa risasi katika mazingira ya kutatanisha.
-
Erdogan: Marekani ichague ima Fathullah Gulen au Uturuki
Aug 11, 2016 08:57Katika kile kinachoonekana kuendelea kuingia doa uhusiano kati ya Ankara na Washington, Rais wa Uturuki ametoa machaguo mawili kwa Marekani.