-
Trump: Obama na Hillary Clinton waliunda kundi la kigaidi la Daesh
Aug 11, 2016 03:27Mgombea urais wa Marekani kwa tiketi ya chama cha Republican, Donald Trump amesema kuwa, Rais Barack Obama na waziri wa zamani wa mambo ya nje wa nchi hiyo Hillary Clinton ndio walioanzisha kundi la kigaidi la Daesh.
-
Marekani yaiomba Russia isaidie kumaliza mzingiro Aleppo
Aug 09, 2016 09:26Balozi wa Marekani katika Umoja wa Mataifa ameiomba Russia itumie ushawishi wake ili kuvunja mzingiro katika mji wa Aleppo.
-
Askari waliostaafu Marekani watishia kuwachinja Waislamu Texas
Aug 09, 2016 09:17Wanajeshi waliostaafu katika jimbo la Texas nchini Marekani wametishia kuwakata vichwa kwa mapanga Waislamu watakaoenda kutekeleza ibada ya swala katika msikiti mmoja jimboni hapo.
-
Mme na mke washushwa kwenye ndege Marekani, kisa Waislamu
Aug 06, 2016 03:16Mwanamme mmoja na mkewe wa Marekani wameshushwa kwenye ndege ya shirika la Delta Airlines baada ya wahudumu kadhaa wa ndege hiyo kuwa na wasi wasi nao kwa kuwa ni Waislamu.
-
Mashambulizi ya ndege za Marekani nchini Libya yalaaniwa na jeshi la serikali
Aug 04, 2016 03:17Jeshi la Libya limelaani mashambulizi ya anga ya ndege za kijeshi za Marekani katika mji wa Sirte nchini humo.
-
Waislamu wa Marekani; kitovu cha kinyang'anyiro cha uchaguzi wa rais
Aug 01, 2016 02:20Hotuba ya Khizr Khan, baba wa askari mmoja Mmarekani Muislamu aliyeuawa katika vita vya Iraq, kwa mara nyengine tena imeifanya hali na nafasi ya Waislamu kuwa kitovu cha kinyang'anyiro cha uchaguzi wa rais wa nchi hiyo.
-
Utafiti: Jinai zimeongezeka katika miji mikubwa Marekani
Jul 31, 2016 23:25Utafiti mpya umefichua kuwa uhalifu na jinai za kutisha zimeongeza kwa kiasi kikubwa katika miji mikubwa ya Marekani.
-
Kukataa Iraq kushiriki Marekani katika operesheni ya kuukomboa mji wa Mosul
Jul 31, 2016 00:00Waziri wa Ulinzi wa Iraq Khalid al-Ubaidi amesema nchi hiyo haihitaji ushiriki wa kijeshi wa Marekani kwa ajili ya kuukomboa mji wa Mosul.
-
Jordan avunja kimya, akemea mauaji ya Wamarekani weusi
Jul 26, 2016 12:26Nyota wa zamani wa mchezo wa mpira wa kikapu nchini Marekani, Michael Jordan amevunja kimya chake kuhusu mauaji yanayofanywa na polisi wazungu wa nchi hiyo dhidi ya Wamarekani weusi na taathira mbaya za mauaji hayo ya kibaguzi.
-
Uganda: Hatubabaishwi na matamshi ya vitisho ya Marekani
Jul 24, 2016 03:37Katika kile kinaachoonekana ni kuzidi kuingia doa uhusiano wa Uganda na Marekani, Waziri wa Teknolojia ya Habari na Mawasiliano wa nchi hiyo ya Afrika Mashariki amesema serikali ya Kampala haibabaishwi na matamshi ya vitisho yaliyotolewa hivi karibuni na Washington.