-
Trump: Hillary Clinton ni mzizi wa matatizo ya kiusalama duniani
Jul 22, 2016 10:15Mgombea wa kiti cha rais kwa tiketi ya chama cha Republican nchini Marekani, Donald Trump amesema aghalabu ya changamoto za kiusalama zinaoikabili dunia kwa sasa zilisababishwa na hasimu wake wa kisiasa Hillary Clinton, anayetaka kuwa rais kupitia chama cha Democrats.
-
Uchunguzi wa Pew: Wamarekani weusi, wahanga wa ubaguzi wa rangi
Jul 19, 2016 03:29Uchunguzi mpya wa maoni unaonesha kuwa, Wamarekani wengi weusi wanaamini kuwa ni wahanga wa ubaguzi wa rangi.
-
Marekani yakiri, Iran imetekeleza JCPOA
Jul 19, 2016 03:09Balozi wa Marekani katika Umoja wa Mataifa amekiri kwamba, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran hadi sasa imetekeleza vipengee vyote vya makubaliano ya nyuklia maaufu kwa kifupi JCPOA.
-
Zarif: Marekani ina utendaji dhaifu katika utekelezaji mapatano ya nyuklia na Iran
Jul 18, 2016 23:52Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Mohammad Javad Zarif amesema Marekani imekuwa na utendaji dhaifu katika kufungamana na mapatano ya nyuklia yaliyofikiwa mwezi Julai mwaka jana baina ya Iran na madola sita makubwa duniani ya kundi la 5+1.
-
Muqtada Sadr atahadharisha juu ya kutumwa askari wa US, Iraq
Jul 18, 2016 03:14Kiongozi wa Kiislamu nchini Iraq ameitahadharisha Marekani dhidi ya kutuma askari wake zaidi nchini humo kwa kisingizio cha kupambana na ugaidi.
-
Iran yasema Marekani haitekelezi ipasavyo JCPOA
Jul 17, 2016 23:51Mshauri wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu katika Masuala ya Kimataifa ameikosoa Marekani kwa kushindwa kutekeleza ipasavyo makubaliano ya nyuklia ya Vienna, mwaka mmoja tangu yatiwe saini nchini Austria.
-
Ripoti ya siri ya Kongresi: Saudia ilihusika katika mashambulizi ya Septemba 11
Jul 16, 2016 02:18Kongresi ya Marekani imechapicha sehemu moja ya ripoti ya siri kuhusu mashambulizi ya kigaidi ya Septemba 11 mwaka 2001 nchini Marekani mbayo inaeleza uwezekano kwamba Saudi Arabia ilikuwa na uhusiano na watekelezaji wa mashambulizi hayo.
-
Newt Gingrich: Waislamu wafukuzwe Marekani
Jul 16, 2016 00:06Spika wa zamani wa Kongresi ya Marekani amesema kuwa Waislamu wanaoshikamana na sheria za Kiislamu wanapaswa kufukuzwa nchini Marekani.
-
Ijumaa 15 Julai 2016
Jul 15, 2016 00:01Leo ni Ijumaa tarehe 10 Shawwal 1437 Hijria inayosadifiana na 15 Julai 2016.
-
Wamarekani waandamana kulaani ugaidi wa Saudia
Jul 14, 2016 23:41Mamia ya Wamarekani wenye asili ya nchi za Mashariki ya Kati wamefanya maandamano mjini Washington kulaani uungaji mkono wa Saudi Arabia kwa makundi ya kigaidi.