-
China na Marekani zatunishiana misuli juu ya Bahari ya China Kusini
Jul 13, 2016 23:38China imeionya Marekani na waitifaki wake katika eneo dhidi ya kugeuza kadhia ya Bahari ya China Kusini kuchochea taharuki na vita.
-
Jumuiya za Kiislamu Marekani zapinga propaganda chafu katika vitabu vya shule
Jul 13, 2016 10:49Kundi linalojumuisha jumuiya 15 kubwa za Kiislamu nchini Marekani limelalamikia kitendo cha kuwekwa propaganda chafu dhidi ya Uislamu katika vitabu vya shule za jimbo la California.
-
Amnesty yaeleza wasiwasi kutokana na kukamatwa waandamanaji Marekani
Jul 11, 2016 12:27Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limeeleza wasiwasi wake mkubwa kutokana na kukamatwa waandamanaji wanopinga ukatili wa polisi nchini Marekani.
-
Mwanae bin Laden aitisha Marekani kuwa atalipiza kisasi
Jul 10, 2016 23:04Mwana wa kiume wa Osama bin Laden, kinara wa zamani wa mtandao wa kigaidi wa Al Qaeda ametuma ujumbe wa sauti na kuitishia Marekani kuwa, atalipiza kisasi damu ya baba yake.
-
Wamarekani waendelea kupinga ubaguzi wa rangi na ukatili wa polisi
Jul 09, 2016 23:25Marekani imegubikwa na wingu zito la maandamano ya wananchi wanaopinga ukatili na mauaji yanayofanywa na polisi wazungu dhidi ya raia wenye asili ya Afrika.
-
Iran yakosoa Kongresi ya Marekani kuzuia uuzwaji ndege za Boeing
Jul 08, 2016 08:45Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema Marekani inapaswa kuondoa matatizo yanayoibuka nchini humo kuhusu utekelezwaji mapatano ya nyuklia yajulikanayo kama Mpango wa Pamoja wa Utekelezwaji JCPOA.
-
Polisi 4 wa Marekani wauawa Dallas, maelfu wapinga ukatili wa polisi
Jul 08, 2016 03:50Maafisa 4 polisi ya Marekani wameuwa baada ya 11 miongoni mwao kupigwa risasi katika maandamano ya wananchi wanaopinga ukatili wa polisi ya nchi hiyo dhidi ya Wamarekani weusi katika mji wa Dallas, Texas.
-
Mlipuko nje ya ubalozi mdogo wa Marekani Jeddah, Saudi Arabia
Jul 04, 2016 09:45Bomu limelipuka nje ya jengo la ubalozi mdogo wa Marekani mjini Jeddah, Saudi Arabia na kuwajeruhi maafisa wawili wa polisi.
-
Uchunguzi kuhusu Marekani kuitungua ndege ya abiria ya Iran
Jul 02, 2016 08:50Kwa munasaba wa kukumbuka jinai ya kivita ya Marekani kuitungua ndege ya abiria ya Iran mnamo Julai 3 mwaka 1988, kumeitishwa kikao cha kujadili mitazamo ya kisheria kuhusu tukio hilo.
-
Kukiri Marekani kuhusu kuuawa raia na ndege zake zisizo na rubani
Jul 02, 2016 03:42Hatimaye serikali ya Marekani imekiri wazi kwamba, zaidi ya raia 116 wameuawa wakati wa mashambulio ya ndege zake zisizo na rubani.