-
Ripoti ya Congress ya Marekani Kuhusu Tukio la Benghazi, Libya
Jun 30, 2016 02:50Baada ya kukamilika mchakato wa vyama viwili vikuu vya Marekani vya Democrat na Republican kuwateua wagombe wao ambao watawania kiti cha urais yaani Hilary Clinton na Donald Trump kwa utaratibu, pande mbili sasa zimeanza kuchafuana katika kampeni.
-
Kerry akiri kuhusu nafasi muhimu ya Iran katika mapambano dhidi ya ugaidi
Jun 29, 2016 02:51Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Marekani amesema kuwa kushiriki Iran katika vita dhidi ya kundi la Daesh huko Iraq ni jambo lenye umuhimu na taathira.
-
Silaha za CIA na Saudia zaibwa Syria na kutumiwa kuulia Wamarekani
Jun 27, 2016 23:36Ripoti mpya iliyotolewa na gazeti la New York Times la nchini Marekani inaonesha kuwa, silaha ambazo zilitumwa na Shirika la Kijasusi la Marekani CIA na Saudia kwa magaidi, zimeibwa na kuuzwa kimagendo nchini Jordan.
-
Waislamu Marekani wataka kudhaminiwa usalama
Jun 27, 2016 23:33Baraza la Uhusiano wa Uislamu na Marekani (CAIR) limeitaka serikali ya nchi hiyo kuzidisha usalama na kulinda misikiti ya vituo vya Kiislamu husuan katika jimbo la New York.
-
Brigedia Jenerali Jazayeri: Saudia haina haki ya kuingilia mambo ya Iraq
Jun 27, 2016 11:30Afisa mwandamizi wa jeshi la Iran amesema Saudi Arabia na watawala wake hawana haki ya kuingilia mambo ya ndani ya Iraq na kwamba wanapaswa kuheshimu matakwa ya Wairaqi.
-
Maoni: Ukosefu wa usalama umeongezeka Marekani
Jun 27, 2016 11:29Matokeo ya uchunguzi mpya wa maoni yameonesha kuwa, Wamarekani wengi wanaamini kuwa, nchi hiyo inakabiliwa na ukosefu wa amani mkubwa zaidi kuliko ilivyokuwa huko nyuma.
-
Hizbullah: Magaidi wanaoungwa mkono na Saudia na US, hatari M/Kati
Jun 24, 2016 22:41Katibu Mkuu wa harakati ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon amesema makundi ya kigaidi yanayoungwa mkono kwa hali na mali na Saudia na Marekani yanatishia usalama wa eneo hili la Mashariki ya Kati.
-
Iran: Magaidi tuliowakamata wakiri kutumwa na Saudia na US
Jun 24, 2016 22:20Kamanda mwandamizi wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu la Iran IRGC amesema wanachama wa magenge ya kigaidi waliokamatwa hivi karibuni hapa nchini wakipanga njama za kutekeleza mashambulizi ya bomu wamekiri kwamba walipokea ufadhili kutoka Saudi Arabia na Marekani.
-
Takwimu kuhusu matukio ya ufyatuaji risasi nchini Marekani
Jun 23, 2016 22:37Takwimu mpya zinaonyesha kujiri matukio 50 ya ufyatuaji risasi katika majimbo tofauti huko Marekani katika kipindi cha masaa 24 pekee.
-
Bahrain kumvua uraia Sheikh Qassim kunaiweka US na UK njia panda
Jun 23, 2016 03:27Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch limekosoa vikali hatua ya utawala wa Bahrain kumvua uraia msomi mashuhuri wa Kiislamu, Ayatullah Sheikh Isa Qassim na kusema kuwa kitendo hicho kimeziweka Marekani na Uingereza katika njia panda.