Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Marekani

  • $206m zatumika kueneza hofu na chuki dhidi ya Uislamu Marekani

    $206m zatumika kueneza hofu na chuki dhidi ya Uislamu Marekani

    Jun 21, 2016 23:35

    Imebainika kuwa kueneza chuki na woga dhidi ya Uislamu na Waislamu nchini Marekani kumegeuzwa kuwa biashara yenye kugharimu mamilioni ya dola za nchi hiyo.

  • Ripoti: Idadi ya Wamarekani weusi wanaofungwa jela ni mara 5 zaidi ya Weupe

    Ripoti: Idadi ya Wamarekani weusi wanaofungwa jela ni mara 5 zaidi ya Weupe

    Jun 19, 2016 10:11

    Ripoti mpya imefichua kuwa Wamarekani wenye asili ya Afrika wako katika hatari ya kuburuzwa jela mara tano zaidi kuliko wenzao Weupe.

  • Saudia yakariri wito wake kwa Marekani kuishambulia kijeshi Syria

    Saudia yakariri wito wake kwa Marekani kuishambulia kijeshi Syria

    Jun 18, 2016 02:30

    Kwa mara nyingine tena utawala wa Saudi Arabia umeitaka Marekani kuishambulia kijeshi Syria na kusisitiza kuwa mashambulizi ya anga dhidi ya majengo ya serikali ndo yataweza kumuondoa mamlakani Rais Bashar al-Assad wa nchi hiyo.

  • Sanders ataka mabadiliko katika chama cha Democratic Marekani

    Sanders ataka mabadiliko katika chama cha Democratic Marekani

    Jun 17, 2016 03:53

    Bernie Sanders anayewania nafasi ya kuwakilisha chama cha Demicratic katika uchaguzi ujao wa rais nchini Marekani ametoa wito wa kufanyika mabadilliko ya kimsingi ndani ya chama hicho akisema kuwa kinadhibitiwa na matajiri na wafadhili.

  • Kiongozi Muadhamu aonya kuhusu njama za maadui wa Iran

    Kiongozi Muadhamu aonya kuhusu njama za maadui wa Iran

    Jun 15, 2016 04:05

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ametahadharisha juu ya njama za maadui wanaoazimia kukwamisha maendeleo ya Iran.

  • Wanaharakati: Marekani haina nia ya kubadilisha sheria ya kumiliki silaha

    Wanaharakati: Marekani haina nia ya kubadilisha sheria ya kumiliki silaha

    Jun 15, 2016 02:57

    Wasomi, wadadisi wa mambo na watetezi wa haki za binadamu nchini Marekani wamesema serikali ya Washington haina azma ya kuangalia upya sheria ya kumiliki silaha licha ya mauaji ya kutisha ya hivi karibuni ya Orlando.

  • Iran yaitaka Marekani ichukue hatua zaidi kutekeleza mapatano ya nyuklia

    Iran yaitaka Marekani ichukue hatua zaidi kutekeleza mapatano ya nyuklia

    Jun 14, 2016 22:24

    Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imesema Marekani inapaswa kuchukua hatua zaidi katika utekelezwaji wa mapatano ya nyuklia kwa kuziruhusu benki kufanya biashara na Iran baada ya kuondolewa vikwazo.

  • Mauaji ya kutisha Orlando, Marekani

    Mauaji ya kutisha Orlando, Marekani

    Jun 13, 2016 03:24

    Watu wasiopungua 50 wameuawa na wengine 53 kujeruhiwa katika ufyatuaji wa risasi uliotokea katika jimbo la Florida nchini Marekani.

  • Baraza la Waislamu Marekani lalaani mauaji ya Orlando

    Baraza la Waislamu Marekani lalaani mauaji ya Orlando

    Jun 13, 2016 02:27

    Baraza la Mahusiano ya Kiislamu Marekani (CAIR) limelaani hujuma katika mji wa Orlando nchini Marekani ambapo watu wasiopungua 50 waliuawa jana katika klabu moja huku wengine 53 wakijeruhiwa.

  • Marekani yashinikiza kufungwa akaunti 3,000 zaidi za 'Hizbullah'

    Marekani yashinikiza kufungwa akaunti 3,000 zaidi za 'Hizbullah'

    Jun 11, 2016 03:26

    Zaidi ya akaunti 3,000 za benki za watu wanaoaminika kuwa na mafungamano na harakati ya Hizbullah ya Lebanon zinatazamiwa kufungwa karibuni hivi, kufuatia mashinikizo ya Marekani.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS