-
Marekani inaendeleza uhasama dhidi ya Iran
Jun 07, 2016 10:00Naibu Waziri wa Uchumi wa Iran amesema msingi wa sera za serikali ya Marekani ni kuendeleza sera za uhasama dhidi ya Iran.
-
Ulaya yatofautiana na Marekani kuhusu kuwekewa vikwazo DRC
Jun 07, 2016 03:30Nchi za bara Ulaya zimetilia shaka hatua ya Marekani kushinikiza kuwekewa vikwazo Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kwa lengo la kumtaka Rais Joseph Kabila wa nchi hiyo asigombee urais kwa muhula wa tatu.
-
Waislamu wa Marekani waendeleza juhudi za kukabiliana na chuki dhidi ya Uislamu
Jun 06, 2016 10:10Taasisi moja ya Kiislamu katika jimbo la New Mexico nchini Marekani imetangaza kupanua harakati zake kwa ajili ya kukabiliana na chuki dhidi ya dini hiyo ya mbinguni.
-
Jaberi Ansari: Madai ya Marekani dhidi ya Iran hayana itibari
Jun 06, 2016 09:35Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran ameitaja ripoti iliyotolewa na Marekani ambayo imeiweka Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika orodha ya nchi zinazoyaunga mkono makundi ya kigaidi kuwa isiyo na itibari.
-
'Marekani ni muungaji mkono mkuu wa ugaidi Mashariki ya Kati na Dunia'
Jun 05, 2016 02:04Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imesema Marekani ndio muungaji mkono mkubwa zaidi wa magaidi wa kundi la ISIS au Daesh na makundi mengine ya kigaidi duniani.
-
Mwanandondi Muhammad Ali aaga dunia akiwa na miaka 74
Jun 04, 2016 03:31Bingwa wa ndondi raia wa Marekani mwenye asili ya Afrika, Muhammad Ali ameaga dunia akiwa na umri wa miaka 74.
-
Iran iko tayari kwa vita vya muda mrefu na Marekani
Jun 04, 2016 00:08Kamanda mwandamizi wa kijeshi Iran amesema, Tehran iko tayari kwa vita vigumu na Marekani.
-
Nchi za Afrika zaiunga mkono China katika mzozo na Marekani
Jun 03, 2016 10:03Naibu mwenyekiti wa Umoja wa Afrika (AU) Erastus Mwencha ameunga mkono msimamo wa China katika suala la bahari ya kusini ya China na kutoa wito kwa nchi husika kutoa fursa ya kuanza mazungumzo kwa ajili ya kutatua suala hilo.
-
Msomali aliyefanya jinai za kivita anafanya kazi uwanja wa ndege Marekani
Jun 02, 2016 23:24Imearifiwa kuwa, mtuhumiwa wa jinai za kivita raia wa Somalia anafanya kazi katika uwanja wa ndege wa kimataifa katika mji wa Washington D.C nchini Marekani.
-
Maandamano ya kulaani uingiliaji wa Marekani wa mambo ya ndani ya Yemen
Jun 01, 2016 23:36Makumi ya wananchi wa Yemen wamefanya maandamano kaskazini magharibi mwa nchi hiyo kulaani uingiliaji wa Marekani katika masuala ya ndani ya nchi yao.