-
40% ya Waingereza, 33% ya Wamarekani wanaunga mkono kususiwa Israel
Jun 01, 2016 02:21Zaidi ya thuluthi moja ya Wamarekani na karibu nusu ya wananchi wa Uingereza wanaunga mkono kususiwa na kuwekewa vikwazo utawala wa kizayuni wa Israel.
-
Iran yaitaka Marekani kuchukua hatua zaidi juu ya makubaliano ya nyuklia
May 31, 2016 23:37Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameitaka Marekani kuchukua hatua zaidi katika kutekeleza makubaliano ya nyuklia ya Vienna, kati ya Tehran na kundi la 5+1.
-
Mashinikizo yailazimisha US kusimamisha kuizuia Saudia mabomu ya vishada
May 28, 2016 02:21Kufuatia mashinikizo ya jamii ya kimataifa na mashirika ya kutetea haki za binadamu, Marekani imesimamisha kwa muda muamala wa kibiashara wa kuiuzia Saudi Arabia mabomu ya vishada.
-
Wajapan waandamana kulaani ziara ya Rais wa Marekani Hiroshima
May 27, 2016 23:19Maelfu ya wananchi wa Japan wameandamana kulaani kitendo cha Rais Barack Obama wa Marekani cha kukataa kuomba radhi kwa jinai zilizofanywa na nchi yake za kuishambulia kwa mabomu ya nyuklia miji ya Hiroshima na Nagasaki ya nchi hiyo.
-
Frangieh: Marekani haina uwezo wa kuidhoofisha Hizbullah
May 27, 2016 23:17Mkuu wa harakati ya el Marada ya Lebanon amesema kuwa, vikwazo vya kifedha vilivyowekwa na Marekani dhidi ya Hizbullah haviwezi kuidhoofisha harakati hiyo ya muqawama wa Kiislamu.
-
Ayatullah Khatami: Utawala wa Aal Saud haustahiki kusimamia Haram Mbili Tukufu
May 27, 2016 09:57Khatibu wa Swala ya Ijumaa ya leo hapa Tehran amesisitiza kuwa utawala wa Aal Saud haustahiki kusimamia Haram Mbili Tukufu za Makka na Madina.
-
Jimmy Carter: Marekani ni ghala kubwa la ubaguzi wa rangi
May 25, 2016 03:02Rais wa zamani wa Marekani Jimmy Carter amesema Donald Trump, mgombea urais kwa tiketi ya chama cha Republican katika uchaguzi wa rais wa nchi hiyo ni mbaguzi wa rangi.
-
Marekani yaendelea kukaidi kuomba radhi kwa kuua malaki ya watu Japan kwa mabomu ya atomiki
May 23, 2016 23:20Rais wa Marekani ameapa kuwa hatoiomba radhi Japan kwa kuishambulia kijeshi nchi hiyo kwa mabomu ya atomiki.
-
Trump ajikosha, asaka kura za Waislamu wa Marekani kwa udi na uvumba
May 23, 2016 02:57Donald Trump, anayewania kuteuliwa na chama chake cha Republican kugombea urais wa Marekani na ambaye ni maarufu kwa maneno ya chuki dhidi ya Waislamu, hivi sasa anaonekana kuhaha kutafuta kura za Waislamu.
-
Waislamu Uingereza waendesha kampeni maalumu za kuutambulisha Uislamu
May 21, 2016 23:52Jumuiya ya Waislamu wa Uingereza imeitisha kikao maalumu cha kujibu maswali ya wanafunzi wa Vyuo Vikuu kuhusiana na Uislamu na utamaduni wa Kiislamu.