-
Mpango wa Marekani kununua maji mazito ya Iran unaiva
May 19, 2016 02:49Vyombo vya habari vya Marekani vimesema mpango wa serikali ya Washington kununua maji mazito ya nyuklia ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran umeingia katika hatua yake ya mwisho.
-
Wabunge Iran wataka Marekani ilipe fidia
May 17, 2016 23:06Wabunge nchini Iran wamepitisha muswada wa sheria ya kuishurutisha serikali ya Iran kuitaka Marekani iilipe fidia Jamhuri ya Kiislamu kutokana na jinai za Washignton dhidi ya nchi hii na raia wake.
-
Sisitizo la Rouhani kuhusu kutekelezwa kikamilifu mapatano ya nyuklia na pande zote
May 16, 2016 08:22Hassan Rouhani, Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran jana Jumapili alikutana na mabalozi na wawakilishi wa Iran katika nchi za kigeni katika kongamano la "Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA) na Uchumi wa Muqawama; Fursa na Uwezo"
-
Trump: Wakimbizi wa Syria wanapanga shambulizi kama la Septemba 11
May 16, 2016 02:24Donald Trump, mgombea wa kiti cha urais wa chama cha Republican nchini Marekani kwa mara nyingine tena ametoa matamshi yanayodhihirisha misimamo yake ya chuki na ya kibaguzi dhidi ya Uislamu na wageni. Trump amedai kuwa wakimbizi wa Syria nchini Marekani wanapanga njama ya kufanya shambulizi la kigaidi kama la Septemba 11.
-
Iran haitasalimu amri mbele ya ubabe wa Marekani
May 15, 2016 09:17Kamanda mwandamizi wa Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu kamwe haiwezi kulegeza misimamo au kusalimu amri mbele ya vitendo vya ubabe wa Marekani katika eneo.
-
Kongo Brazzaville kuimarisha uhusiano na marafiki zake
May 15, 2016 02:19Jamhuri ya Kongo Brazzaville imesema kuwa, itaendelea kuwa na uhusiano mzuri na marafiki zake, na kwamba mashinikizo ya kigeni hayataifanya nchi hiyo iwasahau marafiki zake.
-
Muuaji wa kijana Mmarekani mweusi aipiga mnada silaha yake
May 12, 2016 23:41George Zimmerman, muuaji wa Trayvon Martin, kijana wa Kimarekani mwenye asili ya Kiafrika ametangaza kuwa anaipiga mnada kwenye mtandao wa intaneti silaha aliyomuulia kijana huyo.
-
Makasisi 71 wa Marekani watuhumiwa kulawiti watoto
May 12, 2016 02:31Dayosisi Kuu ya Kanisa Katoliki katika mji wa Baltimore jimboni Maryland nchini Marekani imefichua majina ya makasisi 71 wanaotuhumiwa kuwalawiti watoto wadogo.
-
Iran itazamisha meli za kivita za Marekani ikitishiwa
May 10, 2016 23:47Kamanda katika Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu la Iran IRGC ameonya kuwa jeshi hilo linaweza kuzamisha meli za kivita za Marekani iwapo zitakuwa tishio kwa nchi hii.
-
Iran kuishtaki Marekani Mahakama ya Kimataifa ya ICJ kwa uporaji mali
May 10, 2016 10:34Rais Hassan Rouhani amesema Iran hivi karibuni itawasilisha lalamiko dhidi ya Marekani katika Mahakama ya Kimataifa ya Uadilifu ICJ, huko The Hague, kufuatia uamuzi wa mahakama moja ya Markeani kuchukua kwa nguvu dola bilioni mbili za Iran zilizoko nchini humo.