-
Noam Chomsky: Marekani imepoteza nguvu zake duniani
May 10, 2016 10:33Noam Chomsky, msomi na mwananadharia mashuhuri nchini Marekani amesema nchi hiyo imepoteza nguvu ilizokuwa nazo duniani.
-
Larijani: Iran kuishtaki Marekani ICC kwa kuiba mabilioni ya dola zake
May 10, 2016 03:19Spika wa Majilisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amekosoa hatua ya Marekani kuzuia dola bilioni 2 za nchi hii katika benki zake na kusisitiza kuwa kadhia hiyo haitasha hivi hivi bila kupata jibu.
-
Kukiri Obama kuwepo ubaguzi na tofauti za kitabaka nchini Marekani
May 09, 2016 03:28Rais Barack Obama wa Marekani amekiri kuwa kungali kuna ubaguzi wa rangi na tofauti za kitabaka ndani ya jamii ya nchi hiyo na kutaka zichukuliwe hatua muhimu kukabiliana na suala hilo.
-
Neematzadeh: Marekani ndio inayokwamisha Iran kujiunga na WTO
May 09, 2016 00:11Waziri wa Viwanda, Madini na Biashara wa Iran amesema tatizo la Iran kujiunga na Shirika la Biashara Duniani (WTO) ni la kisiasa na linatokana na upinzani wa Marekani.
-
Iran kuendelea na mazoezi ya kijeshi
May 08, 2016 00:15Waziri wa Ulinzi wa Iran Brigedia Jenerali Hussein Dehqan amesema Jamhuri ya Kiislamu haioni kizingiti chochote katika kufanya mazoezi ndani ya maji yake katika Ghuba ya Uajemi.
-
Jaji aliyepinga vitendo vya ulawiti Marekani asimamishwa kazi
May 07, 2016 11:54Jaji wa Mahakama Kuu katika jimbo la Alabama nchini Marekani, amesimamishwa kazi kutokana na kutoa amri kwa majaji wengine kutohalalisha vitendo vya ngono vya watu wa jinsia moja.
-
Zarif: Iran itakabiliana na hatua zisizo za kisheria za Marekani
May 07, 2016 08:22Mohammad Javad Zarif Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran ameshiriki katika kikao cha wabunge wateule wa bunge la 10 la Iran na kutoa hotuba kuhusu maudhui ya "Utunguaji Sheria, Mahitajio na Mbinu".
-
Obama: Mienendo na rekodi ya Trump ichunguzwe
May 07, 2016 02:56Rais Barack Obama wa Marekani ametoa wito wa kutathminiwa na kuchunguzwa mienendo ya sasa na ya huko nyuma ya Donald Trump, mwanasiasa anayetaka kuchaguliwa kuwania urais nchini humo kupitia chama cha Republican.
-
HRW: Saudia inatumia mabomu ya vishada ya Marekani nchini Yemen
May 06, 2016 23:49Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch limeikosoa Marekani kwa kuiuzia Saudi Arabia mabomu ya vishada yanayotumiwa na utawala huo wa kifalme dhidi ya raia wasio na hatia wa Yemen.
-
NAM yalaani hatua ya Marekani kupora mali za Iran
May 06, 2016 03:43Harakati ya Nchi Zisizofungamana na Siasa za Upande Wowote (NAM) imelaani hatua ya Marekani ya kupora mali za Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.