-
Ukosoaji mkali wa Papa juu ya nafasi ya Wamagharibi katika kuwaua raia wa nchi za Asia Magharibi
Apr 09, 2019 04:27Nchi za Magharibi kama vile Marekani, Uingereza, Ujerumani na Ufaransa ndio wauzaji wakubwa wa silaha kwa serikali za Asia Magharibi (Mashariki ya Kati) hususan washirika wa Magharibi katika eneo hilo kama vile wanachama wa Baraza la Ushirikiano la Ghuba ya Uajemi, Misri, Jordan, Saudia, Bahrain na utawala haramu wa Kizayuni.
-
Marekani yaendelea kurundika silaha Mashariki ya Kati
Feb 20, 2019 02:40Afisa mwandamizi wa Wizara ya Ulinzi ya Marekani (Pentagon) amesema asilimia 50 ya silaha zilizouzwa na Marekani mwaka jana 2018, zilinunuliwa katika eneo la Mashariki ya Kati.
-
IRGC: Saudia ndiyo roho ya maovu yote Mashariki ya Kati
Feb 19, 2019 15:52Naibu Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran amesema Saudi Arabia ndiyo roho ya maovu yote katika eneo la Mashariki ya Kati na duniani kote kwa ujumla.
-
Meja Jenerali Baqeri: Maadui wanaeneza chuki dhidi ya Iran ili wapate soko la silaha zao Mashariki ya Kati
Feb 11, 2019 03:30Mkuu wa Vikosi vya Ulinzi vya Iran amesema maadui wa Jamhuri ya Kiislamu wameshadidisha jitihada zao za kueneza chuki dhidi Iran (Iranophobia) wakiwa na tamaa na lengo la kusaini mauzo ya silaha zao na nchi za eneo la Mashariki ya Kati.
-
Kuongezeka harakati za kisiasa za Russia Asia Magharibi; kukabiliana na hatua za Marekani
Jan 27, 2019 08:08Katika miaka ya karibuni Russia imezidisha pakubwa harakati zake katika eneo la Asia Magharibi na kaskazini mwa Afrika. Nukta muhimu kuhusu jitihada hizo za Russia ni kuimarisha uwepo wake wa kijeshi huko Syria tangu Septemba mwaka 2015 kwa lengo la kupambana na makundi ya kigaidi na kuiunga mkono serikali halali ya Syria.
-
Russia yaamua kususia mkutano wa Marekani wa Warsaw
Jan 24, 2019 04:05Ikiwa ni katika fremu ya malengo yake inayoyafuatilia katika eneo la Mashariki ya Kati, Marekani ina mpango wa kuitisha mkutano hapo tarehe 13 na 14 mwezi ujao wa Februari huko Warsaw mji mkuu wa Poland chini ya anwani ya "Mkutano wa Amani na Usalama katika Mashariki ya Kati".
-
Hatibu wa Sala ya Ijumaa Tehran: Mashariki ya Kati imegeuka kaburi la matarajio yasiyoweza kufikiwa ya Marekani
Jan 04, 2019 16:48Hatibu wa Sala ya Ijumaa ya leo mjini Tehran amesema kuwa, eneo la Mashariki ya Kati na magharibi mwa Asia limegeuka kuwa kaburi la matarajio yasiyoweza kufikiwa ya Marekani kutokana na mapambano na kusimama kidete kwa taifa la Iran.
-
Qassemi: Iran ndiyo nchi yenye taathira kubwa zaidi Mashariki ya Kati
Jan 01, 2019 14:29Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa, nchi za dunia zimekiri kivitendo kwamba eneo la Mashariki ya Kati haliwezi kushinda na kuondokana na matatizo ya sasa bila ya msaada wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Meja Jenerali Safavi: Marekani haina nafasi tena Mashariki ya Kati
Dec 27, 2018 14:45Msaidizi na Mshauri mwandamizi wa Amiri Jeshi Mkuu wa vikosi vya jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa Marekani haina nafasi tena katika eneo la Mashariki ya Kati na kwa msingi huo Wamarekani wanapaswa kuondoa katika eneo hili.
-
Iran yajibu upayukaji wa waziri mkuu wa utawala wa Kizayuni
Dec 14, 2018 04:34Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa, maneno ya kipuuzi na ya aibu ya waziri mkuu wa utawala wa Kizayuni yanatokana na kuweweseka kwake kuhusu Iran, na kwamba kutoa vitisho vya kijeshi dhidi ya nchi kubwa kama Iran bila ya shaka yoyote hakuwezi kuachwa vivi hivi, bali kutafuatiliwa katika jumuiya na taasisi za kisheria na za kimataifa.