Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

mauaji

  • Mchumba wa Khashoggi akosoa kimya cha Marekani kwa mauaji ya mwanahabari huyo wa Saudia

    Mchumba wa Khashoggi akosoa kimya cha Marekani kwa mauaji ya mwanahabari huyo wa Saudia

    May 17, 2019 02:56

    Mchumba wa Jamal Khashoggi, mwandishi habari mkosoaji wa utawala wa Aal-Saud aliyeuawa ndani ya ubalozi mdogo wa Saudi Arabia mjini Istanbul, Uturuki mwaka jana ameitaka Marekani kuanzisha uchunguzi wa mauaji ya kutisha ya mpenzi wake huyo ambaye alikuwa amepanga kufunga naye ndoa kabla ya kuuawa.

  • UN: Watu 56 wameuawa katika mapigano yanayoendelea Libya

    UN: Watu 56 wameuawa katika mapigano yanayoendelea Libya

    Apr 11, 2019 09:28

    Umoja wa Mataifa umesema mapigano kati ya vikosi vya Serikali ya Maafikiano ya Kitaifa na vile vinavyoongozwa na Jenerali Khalifa Haftar nchini Libya yamesababisha watu 56 kupoteza maisha kufikia sasa.

  • Watu 60 wauawa katika mapigano ya kikabila nchini Burkina Faso

    Watu 60 wauawa katika mapigano ya kikabila nchini Burkina Faso

    Apr 04, 2019 03:25

    Watu wasiopungua 60 wameuawa katika mapigano ya kikabila kaskazini mwa Burkina Faso.

  • Facebook, You Tube zashtakiwa kwa kurusha mubashara mauaji ya Waislamu New Zealand

    Facebook, You Tube zashtakiwa kwa kurusha mubashara mauaji ya Waislamu New Zealand

    Mar 26, 2019 03:07

    Baraza la Waislamu nchini Ufaransa (CFCM) limeifungulia mashitaka mitandao ya kijamii ya Facebook na You Tube kwa kurusha hewani mubashara mauaji ya kutisha ya Waislamu nchini New Zealand.

  • Watu zaidi ya 130 wauawa Mali, UN yashtushwa na mauaji hayo

    Watu zaidi ya 130 wauawa Mali, UN yashtushwa na mauaji hayo

    Mar 24, 2019 03:31

    Watu zaidi ya 130 wameua baada ya wavamizi waliobeba silaha kushambulia kijiji cha watu wa kabila la Fulani katika eneo la Ogossagou katikati mwa Mali.

  • Wachimba migodi 5 wauawa katika eneo la Oromia, Ethiopia

    Wachimba migodi 5 wauawa katika eneo la Oromia, Ethiopia

    Mar 19, 2019 23:03

    Watu waliobeba silaha wameshambulia timbo (mgodi) na kuua wachimba migodi watano katika eneo la Oromia magharibi mwa Ethiopia.

  • Imarati yashutumiwa kufanya njama za kurejesha utawala wa kidikteta Tunisia

    Imarati yashutumiwa kufanya njama za kurejesha utawala wa kidikteta Tunisia

    Mar 01, 2019 23:17

    Waziri Mkuu wa zamani wa Tunisia amefichua kuwa, Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) unafanya njama za kufelisha juhudi za kuimarisha demokrasia nchini humo kupitia hilo za kuyafelisha mapinduzi ya wananchi wa nchi hiyo na kuurejesha madarakani utawala wa kidikteta.

  • Ripoti: Israel imeficha nyaraka laki 3 kuhusu mauaji ya kinyama dhidi ya Wapalestina

    Ripoti: Israel imeficha nyaraka laki 3 kuhusu mauaji ya kinyama dhidi ya Wapalestina

    Feb 26, 2019 04:29

    Mwandishi wa habari wa Kiyahudi anayeishi jimboni California nchini Marekani amefichua kuwa, utawala wa Kizayuni wa Israel umeficha nyaraka laki tatu zinazohusu jinai za kutisha za utawala huo haramu yakiwemo mauaji ya Wapalestina.

  • Watu 9 wauawa katika wimbi jipya la mapigano Sudan Kusini

    Watu 9 wauawa katika wimbi jipya la mapigano Sudan Kusini

    Feb 06, 2019 04:00

    Kwa akali watu tisa wameripotiwa kuuawa katika wimbi jipya la mapigano katika jimbo la Amadi, magharibi mwa nchi hiyo changa zaidi barani Afrika.

  • Uturuki kupeleka kadhia ya mauaji ya Khashoggi katika Umoja wa Mataifa

    Uturuki kupeleka kadhia ya mauaji ya Khashoggi katika Umoja wa Mataifa

    Jan 25, 2019 01:08

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Uturuki amesema kuwa umewadia wakati wa kufanyika uchunguzi wa kimataiifa kuhusu mauaji ya mwandishi habari na mkosoaji wa utawala wa kifalme wa Saudi Arabia, Jamal Khashoggi.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS