-
Wanamgambo wa ADF washambulia vituo vya afya na kuua watu 7 DRC
Oct 21, 2022 11:28Watu wasiopungua saba wameuawa katika shambulio lililofanywa na watu wenye silaha katika eneo moja la mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
-
Askari walinda amani 3 wa UN wauawa nchini Mali
Oct 18, 2022 07:46Askari watatu walinda amani wa Umoja wa Mataifa wameuawa baada ya msafara wao wa magari kukanyaga bomu huko kaskazini mwa Mali.
-
Wanajeshi 7 wa Djibouti wauawa katika shambulio la wabeba silaha
Oct 09, 2022 14:34Askari saba wa jeshi la Djibouti wameuawa katika shambulio la genge moja la waasi wanaobeba silaha kaskazini mwa nchi.
-
Maelfu waandamana Uingereza kulaani mauaji ya raia mweusi
Sep 11, 2022 12:06Maelfu ya watu wamefanya maandamano katika mji mkuu wa Uingereza, London kulaani mauaji ya mtu mmoja mwenye asili ya Afrika yaliyofanywa na askari polisi wa nchi hiyo.
-
Kadhaa wauawa katika mapigano mapya ya kikabila Blue Nile, Sudan
Sep 02, 2022 12:00Kwa akali watu saba wameuawa huku makumi ya wengine wakijeruhiwa katika mapigano mapya ya kikabila yaliyozuka katika jimbo la Blue Nile, kusini mwa Sudan.
-
Magaidi wa ADF waua wanavijiji 40 mashariki ya DRC
Aug 31, 2022 07:27Raia wasiopungua 40 wameuawa katika wimbi la mashambulzi yaliyofanywa na kundi moja la kigaidi mashariki ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
-
Kuuawa bintiye Dugin na kupanuka zaidi mgogoro wa Russia na Ukraine
Aug 24, 2022 09:38Rais Vladimir Putin wa Russia ametuma salamu zake za rambirambi kwa wazazi wa Darya Dugina, binti ya Alexander Dugin, mwananadharia mashuhuri wa Russia. Putin ameutaja uhalifu huo kuwa "mbaya na ukatili" na akamuelezea Darya Dugina kama mtu aliyekuwa mwerevu, mwenye talanta na moyo wa kweli wa utaifa wa Russia.
-
Utafiti: Polisi ya Marekani imeua raia 700 ndani ya miezi 7
Aug 05, 2022 01:14Mamia ya raia wameuawa na askari polisi wa Marekani tokea mwanzoni mwaka huu 2022 hadi sasa, huku duru mbalimbali zikiendelea kulaani ukatili wa polisi ya nchi hiyo dhidi ya raia hususan Wamarekani wenye asili ya Afrika.
-
Askari 12 wa Sudan Kusini wauawa katika jimbo lenye utajiri wa mafuta
Jul 23, 2022 11:23Wanajeshi wasiopungua 12 wa Sudan Kusini wameuawa huku wengine 13 wakijeruhiwa katika shambulio la waasi kaskazini mwa nchi.
-
Waliouawa katika mapigano ya kikabila Sudan wapindukia 100
Jul 21, 2022 12:42Idadi ya watu waliouawa katika machafuko ya kikabila katika jimbo la Blue Nile kusini mashariki mwa Sudan imeongezeka na kufikia watu 105.