-
Maoni: Wamarekani wanaamini Israel imefanya mauaji ya kimbari Gaza
Feb 08, 2024 23:03Nusu ya Wamarekani wanaamini kuwa, kumefanyika mauaji ya kimbari katika Ukanda wa Gaza huko Palestina.
-
Mahakama ya ICJ yaionya Israel na kuitaka iache kufanya mauaji ya kimbari Gaza
Jan 26, 2024 23:09Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ) imeiamuru Israel iache vitendo vya mauaji ya kimbari dhidi ya Wapalestina, na kuchukua hatua za kuwasaidia raia.
-
Kesi iliyofunguliwa na A/Kusini dhidi ya Israel yaendelea kuungwa mkono
Jan 21, 2024 23:28Kwa mara nyingine tena, Ubelgiji imejiunga kwenye safu ndefu ya waungaji mkono wa hatua ya Afrika ya Kusini ya kufungua kesi dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel katika Mahakama ya Kimataifa ya Haki ICJ kutokana na jinai zake za kupindukia dhidi ya watoto wachanga, wanawake, vizee na watu wa kawaida huko Ghaza.
-
Namibia yaikumbusha Ujerumani kwamba ilifanya mauaji ya kwanza ya kimbari ya karne ya 20
Jan 14, 2024 09:43Namibia imepinga uungaji mkono wa Ujerumani kwa msimamo wa Israel katika Mahakama ya Kimataifa ya Haki, (ICJ) ambapo inakabiliwa na mashtaka ya mauaji ya kimbari dhidi ya Wapalestina katika Ukanda wa Gaza.
-
DCI: Mwaka 2023 ndio mwaka umbaya zaidi kwa watoto wa Kipalestina
Jan 11, 2024 23:14Kundi la kimataifa linalofanya kazi katika uwanja wa kulinda watoto duniani limeutaja mwaka 2023 kuwa mwaka wa mauaji ya kimbari ya watoto wa Kipalestina huko Gaza.
-
Wananchi wa Uingereza wataka kufukuzwa balozi wa Israel mjini London
Jan 09, 2024 04:18Wananchi wa Uingereza wametia saini waraka, wakitaka kufukuzwa balozi wa utawala wa Kizayuni wa Israel mjini London kwa sababu ya kuunga mkono mauaji ya kimbari katika Ukanda wa Gaza.
-
Sisitizo la Umoja wa Mataifa kuwa kuhamishwa kwa nguvu wakazi wa Gaza ni sawa na mauaji ya halaiki
Jan 04, 2024 08:00Ripota Maalumu wa Umoja wa Mataifa siku ya Jumatano alisema kuwa kuhamishwa kwa nguvu na kufukuzwa watu wa Gaza ni "mauaji ya halaiki" na kuzionya nchi zisishiriki katika hatua hiyo ya kijinai.
-
Umoja wa Mataifa: Kuwahamisha kwa nguvu Wapalestina wa Gaza ni sawa na mauaji ya kizazi
Jan 04, 2024 07:41Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa, unapinga kile kinachoonekana kama mpango wa kutaka kuwahamisha kwa nguvu Wapalestina wa Ukanda wa Gaza na kusisitiza kuwa, hatua haina tofauti na mauaji ya kimbari.
-
Wanasiasa wataka kufunguliwa mashitaka Wafaransa waliojiunga na jeshi la Israel kuua raia Gaza
Dec 23, 2023 08:29Katika kashfa mpya ambayo inaendelea kutikisa misingi ya jamii ya Ufaransa na sambamba misimamo ya inayobadilika badilika ya serikali ya Paris kuhusu mashambulizi ya Israel Ukanda wa Gaza, mbunge Thomas Portes wa chama cha "Fahari ya Ufaransa" amefichua uwepo wa Wafaransa 4,185 katika safu za jeshi la Israel linaloendelea kuua raia wa Palestina hususan wanawake na watoto wa Gaza.
-
Uchunguzi wa maoni: Wamarekani wengi wanapinga sera ya Biden kuhusu vita vya Gaza
Dec 11, 2023 23:29Uchunguzi wa maoni uliofanywa na televisheni ya Marekani ya CBS News umeonyesha kuwa asilimia kubwa ya Wamarekani wanapinga jinsi Rais Joe Biden anavyoshughulikia vita vya Israel dhidi ya watu wa Ukanda wa Gaza.